Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Kama ni kweli, kijana amekwenda na maji. Atapigwa makombora yote ya Nipashe na Kulikoni na ThisDay aahh kwisha habari yake tuombe iwe kweli tuone. Yatakayojiri .....yetu macho...hadi 2010 tutasikia na kuona mengi sana
 
Habari za ndani toka kwenye kambi ya Masha zinadokeza kuwa Waziri huyo kijana anahaha baada ya nyaraka zinazoonyesha matumizi mabaya ya madaraka katika mradi wa vitambulisho vya taifa kutinga kwa mengi. Wadadisi wa mambo wanachambua kuwa sakata hilo linaweza kabisa kumwondoa waziri huyo kijana katika nafasi yake ya kisiasa. PM

"Kambi ya Masha" katika lugha za kisiasa maana yake loyalists wa Masha. Loyalists wa Masha hawawezi kukuambia Masha anahaha.

Hao waliokuambia watakuwa ni hao "wadadisi wa mambo." Which is well and good, the thing is, though, habari yako ni breaking news lakini, naam, imeshachambuliwa na wadadisi wa mambo. Mdadisi wa mambo mwenyewe asije akawa ni aliyetuletea habari za "wadadisi wa mambo." The great old Paparazi Muwazi!
 
"Kambi ya Masha" katika lugha za kisiasa maana yake loyalists wa Masha. Loyalists wa Masha hawawezi kukuambia Masha anahaha.

Hao waliokuambia watakuwa ni hao "wadadisi wa mambo." Which is well and good, the thing is though, habari yako ni breaking news lakini, naam, imeshachambuliwa na wadadisi wa mambo. Mdadisi wa mambo mwenyewe asije akawa ni aliyetuleletea habari za "wadadisi wa mambo." The great old Paparazi Muwazi!
hahahaha kazi kweli kweli maana breaking news nyingine huwa zinautata sana....

its true how come kambi ya masha ije itoe habari kuwa mtu wao anahaha?...thats insane!..anyways labda one of the them ameamua kumsaliti masha kama Judah kwa kwenda na kutoa nyeti....kujfanya nipo jikoni i know this.
 
...anyways labda one of the them ameamua kumsaliti masha kama Judah kwa kwenda na kutoa nyeti....kujfanya nipo jikoni i know this.

Nakupata vizuri. Ila kama kujifanya na yeye yuko jikoni ungetegemea atoe ka positive spin kuhusu mtu wake. Eti yeye akaenda kummalizaaa.

But then here is another thing, right, say ni msaliti, okay, huyu insider wa upande wa Masha amekuwa wa kwanza kujua kwamba hili bombshell limefika kwa Mengi, sio ingebidi insider wa Mengi ndio ajue kwamba we stumbled on this smoking gun against nemesis wetu and this and that? Unless ni mtu wa Masha ndio ali leak-isha soo akali-direct Mengi's way, kwa hiyo anajua Mengi amelipata! I mean, you follow me, right? Insider wa Masha katoa leak kwamba Mengi kapata nyeti! Amejuaje? Hahahaaaaaa, No, no, you tell me, am I missing inklings here?
 
Nakupata vizuri. Ila kama kujifanya na yeye yuko jikoni ungetegemea atoa ka positive spin kuhusu mtu wake. Eti yeye akaenda kummalizaaa.

But then here is another thing, right, say ni msaliti, okay, huyu insider wa upande wa Masha amekuwa wa kwanza kujua kwamba hili bombshell limefika kwa Mengi, sio ingebidi insider wa Mengi ndio atoe mchongo kwamba we stumbled on this smoking gun against nemesis wetu and this and that? Unless ni mtu wa Masha ndio ali leak-isha soo akali-direct Mengi's way, kwa hiyo anajua Mengi amelipata! I mean, you follow me, right? Insider wa Masha katoa leak kwamba Mengi kapata nyeti! Amejuaje? Hahahaaaaaa, No, no, you tell me, am I missing inklings here?

No wonder umejiita Kuhani. You sniff! Ngoja uone...

PM
 
Baada ya Masha kushirikiana na kina Rostam Aziz na Lowassa kumhujumu mengi, sana mfanyabiashara huyo naye amefanikiwa kumnasa Masha. Habari za ndani toka kwenye kambi ya Masha zinadokeza kuwa Waziri huyo kijana anahaha baada ya nyaraka zinazoonyesha matumizi mabaya ya madaraka katika mradi wa vitambulisho vya taifa kutinga kwa mengi. Wadadisi wa mambo wanachambua kuwa sakata hilo linaweza kabisa kumwondoa waziri huyo kijana katika nafasi yake ya kisiasa.

PM

PM,

Kuna kitu cha namna hii kimetoka kwenye NIPASHE ya leo. Nimeona headline kwenye TV asubuhi. Najaribu kuipata habari yenyewe kwenye IPPMEDIA Main Page lakini haijawekwa mtandaoni. Hebu ifuatilie.

Habari inasema kwamba Masha ameingilia suala la vitambulisho na katika hilo kasheshe kagombana na Katibu Mkuu Kiongozi (P. Luhanjo). Na kwamba kesi hiyo imefikishwa kwa Pinda. Habari zaidi ziko kwenye Nipashe.
 
Jamaa kaisha alichokoza mwenyewe mzinga wa nyuki sasa asitoke nduki akomae.
Awe makini inaweza ndo ikawa mwisho wake na mwaka 2010 wakammaliza kabisa.
 
Awamu ile tuliambiwa kuwa mafahari wawili wakigombana.....Kisha yakaja maneno(kasa?)kuwa wamepatana na bla,bla nyiiingi...Bottom line ikawa wameyamaliza kiutu uzima!!
Haya ya kumnasa yanatokea wapi tena?Au ndo mambo ya visasi!!

ni ile tu kwamba walijiwekea keep your enemy closer, hapo pa tamu....
 
hahahaha kazi kweli kweli maana breaking news nyingine huwa zinautata sana....

its true how come kambi ya masha ije itoe habari kuwa mtu wao anahaha?...thats insane!..anyways labda one of the them ameamua kumsaliti masha kama Judah kwa kwenda na kutoa nyeti....kujfanya nipo jikoni i know this.

utajuaje kama mmoja wapo alikuwa anamwelezea mpenziwe au anajiongelesha ongelesha kuonyesha jinsi ambavyo anamjali Masha na wengine wakainyaka, kwenye Msafara wa Mamba....... na kwenye Msafara wa kambi ya Masha.......na kambi ya mengi ipo, si mafahali wawili?
 
Hili suala tulishaliongelea sana..limegubikwa na Rishwa..Hakuna kampuni ambyo itapata hii kazi bila kutoa Rushwa..kuendelea na Speculation ya hii kitu..ngoja nikupe kipisi flani hivi
ne of the problems facing African countries is corruption of government officials of the highest order. What most people do not know though is the extent to which these corrupt practices are ENCOURAGED and INSTIGATED by multi-national corporations doing businesses in these African countries. Among the leaders in this corporate MISBEHAVIOUR is Groupe SAGEM, a French company involved in Communications, and Defence and Security. Groupe SAGEM, unfortunately, is among the companies bidding for Ghana's National Identity Cards contract. Not only is the company corrupt; it is also incompetent. Wherever they have been around the globe, they have left their footprints of incompetence. As a man of both Nigerian and Ghanaian parents, I feel it is my duty, to stand up tell the whole world what I know about this company. I was in Nigeria when Groupe SAGEM bribed the then Nigerian government officials to win an ID card contract. It is alleged the company paid close to $50 million in bribes to corrupt Nigerian government officials to win a $300 million ID contract. I am prompted to write this because I am concerned about the fact that, the company would try very hard to win the Ghana contract through corruption - not because their bid is the best, but through influence, as they did in several countries around the globe.
Researching their activities in other countries, I found the following:

  • [*]In Honduras, South America, criminals were able to duplicate identity cards Groupe SAGEM made for Hondurans.
    [*] In Germany, a system created by Groupe SAGEM to pick fingerprints of criminals could not do so though the fingerprints were in national crime database.
    [*] In Malaysia, Groupe SAGEM's incompetence showed in technical problems, and mixing up identities, fingerprints and personal data.
    [*] In South Africa, there were several system rejections.
I therefore urge media houses in Ghana to take up this challenge and investigate Groupe SAGEM further and alert our government officials about the possibility of this company bribing their way to win the contract. In this era of ZERO tolerance, the NPP government should watch carefully members tasked to review the bids so that none of them secretly receive bribe from Groupe SAGEM to corrupt the process because BRIBING is Groupe SAGEM's trademark.

what i know is[FONT=arial,helvetica] an effective national identification system is a key requirement for the proper application and execution of policies and programs in different sectors of the economy. These include[/FONT] [FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] Tax administration[/FONT]
[FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] Crime Control and Administration of Justice[/FONT]
[FONT=arial,helvetica] Financial and Banking System
Educational System[/FONT]
[FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] Healthcare System[/FONT]
[FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] Immigration and Passport system
Motor Vehicle Administration[/FONT]
[FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] Highway Safety
Employment Eligibility Verification.[/FONT]
 
Last edited:
Niko nasikiliza kipindi cha Bunge live, Maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu. Amemuuliza Waziri Mkuu kuhusu Waziri mmoja kuingilia tenda ya kuchapa vitambulisho vya taifa kinyume cha utaratibu. Amembana Waziri Mkuu atoe kauli maana ukiukwaji huo umesharipotiwa kwake na akataja namba ya Barua. Waziri Mkuu amekiri ni kweli suala hilo liko kwake ila Dk. Slaa amekuwa na haraka kuliongelea na kusema kuwa Ofisi ya Waziri Mkuu itamchukulia hatua Waziri huyo baada ya uchunguzi kuthibitisha hilo.

Nadhani Dk Slaa alikuwa akimzungumzia Waziri Masha ambaye thread moja inamtaja Mh Masha kama Waziri mmojawapo aliyekalia kuti kavu.
 
Tumeandika habari hiyo kwa kirefu na kuelezea ni nini kinadaiwa kufanyika.
 
Ubia wa Mh Sitta (Spika) na Mh WM Pinda unaelekea kukiharibu kipindi hiki cha maswali na majibu. Sitta anamkingia mno kifua WM.
 
Niko nasikiliza kipindi cha Bunge live, Maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu. Amemuuliza Waziri Mkuu kuhusu Waziri mmoja kuingilia tenda ya kuchapa vitambulisho vya taifa kinyume cha utaratibu. Amembana Waziri Mkuu atoe kauli maana ukiukwaji huo umesharipotiwa kwake na akataja namba ya Barua. Waziri Mkuu amekiri ni kweli suala hilo liko kwake ila Dk. Slaa amekuwa na haraka kuliongelea na kusema kuwa Ofisi ya Waziri Mkuu itamchukulia hatua Waziri huyo baada ya uchunguzi kuthibitisha hilo.

Nadhani Dk Slaa alikuwa akimzungumzia Waziri Masha ambaye thread moja inamtaja Mh Masha kama Waziri mmojawapo aliyekalia kuti kavu.

jamani hizi 90% zinatuponza sana maana watz hatuchukui 10% unampa mtu tender we unachukua 90% unamuachia 10% sasa Masha ameona asije akakosa bureeeeee JK ulivyokuwa unawachagua hawa wasaidizi wako kipimo cha sifa kilikuwa ni nini? ni A/c statment au Maisha yake na ofisi anazoziongoza, haiwezekani wote wawe wabovu kiasi hicho je wewe ni msafiiii? SIWEZI KUHAMA CCM ILA KWA KWELI MNATULAZIMISHA AIBU HII,
 
Niko nasikiliza kipindi cha Bunge live, Maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu. Amemuuliza Waziri Mkuu kuhusu Waziri mmoja kuingilia tenda ya kuchapa vitambulisho vya taifa kinyume cha utaratibu. Amembana Waziri Mkuu atoe kauli maana ukiukwaji huo umesharipotiwa kwake na akataja namba ya Barua. Waziri Mkuu amekiri ni kweli suala hilo liko kwake ila Dk. Slaa amekuwa na haraka kuliongelea na kusema kuwa Ofisi ya Waziri Mkuu itamchukulia hatua Waziri huyo baada ya uchunguzi kuthibitisha hilo.

Nadhani Dk Slaa alikuwa akimzungumzia Waziri Masha ambaye thread moja inamtaja Mh Masha kama Waziri mmojawapo aliyekalia kuti kavu.

Hili suala nilitegeme sana kutokea,toka kipindi kile linaanza liligubikwa na uwalakini.Hili dili haliweza kupita bila ya kuwa na Rushwa.Huko Nigeria Waziri na Katibu Mkuu wa wizara husika waliweka ndani kwa kupokea rushwa ya dola million 50 ili kuwapa kazi SAGEM.

Tatizo siyo Masha ila ni watu ambao wana Fuatilia hiyo dili.kuna wakati hapa Africa kusini nilishawahi kumuona waziri mmoja naye akifuatilia hiyo dili.

ila so far kuna mawaziri watatu wanafukuzia hiyo dili na sijui nani ataipata...watakaangana wao kwa wao!

Hata juzi kuamishwa kwa Katibu wa Wizara ya mambo ya ndani ni kutokana na hii ishu.Kuna kipindi flani Mhe. Rais ilibidi atengue uteuzi wa Afisa mtendaji wa hii kampuni baada ya kugunduliaka ulikuwa umeandaliwa mpango wa kifisadi.

Muunwgana alionya sana kuhusu hili dili na akamwambia Masha asimamie vyema na Rushwa isijitokeze.SAGEM ni kampuni kubwa na imefanya kazi kubwa sehemu mbali mbali ila Rushwa na haya makampuni makubwa haieoukiki.

Nimeshakuwa Engineer kwa makampuni makubwa kama na ni sera zao.
 
Tatizo siyo Masha ila ni wat ambao wana Fuatilia hiyo dili.kuna wakati hapa Africa kusini nilishawahi kumuona waziri mmoja naye akifguatilia hiyo dili.

ila so far kuna mawziri watatu wanaffkuzia hiyo dili na sijui nani ataipata...watakaangana wao kwa wao!

Mkuu toa maelezo zaidi, hizi statement zako hazijanielewesha.
 
Baada ya Masha kushirikiana na kina Rostam Aziz na Lowassa kumhujumu mengi, sana mfanyabiashara huyo naye amefanikiwa kumnasa Masha. Habari za ndani toka kwenye kambi ya Masha zinadokeza kuwa Waziri huyo kijana anahaha baada ya nyaraka zinazoonyesha matumizi mabaya ya madaraka katika mradi wa vitambulisho vya taifa kutinga kwa mengi. Wadadisi wa mambo wanachambua kuwa sakata hilo linaweza kabisa kumwondoa waziri huyo kijana katika nafasi yake ya kisiasa.

PM

Masha kwa kweli ameshapoteza sifa za uongozi na si ajabu wakati wowote akapigwa chini, anyway-nadhani hakuwa na sifa za uongozi ispokuwa kilichomsaidia ni kuwa kwenye Mtandao wa JK na kwa kweli kwa JK kuendekeza mambo ya mitandao ndo amefiikisha nchii hapa tulipo. La.bda Pinda aweza kumuokoa na mzimu wa Mtandao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom