Watu wa jf (hasa mmu) wengi "wezi"

kuna mtu alinambia nitaje majina....na mi nikampa jibu fulani hivi...
hpana bana, kwenye ukweli lazima tuambiane. nchi hii itajengwa na vijana, kwa mtindo huu?
kwa hiyo umejipa kazi ya utume?
Haya bana endelea ili ujue kila mchuma janga hula na wa kwao,ugomvi huu umeutaka mwenyewe wakikushukia sijui utamlilia nani?
 
Azimio jipya,umesahau,anatakiwa aanze na Ryan Chapelle kwanza!
 
Hah h ..Hakika lazima kwenda tararibu ... kwanza wamuone R Chapelle ... ! Maana kwa huyo JB .. !!! Lazima kwanza upitie FFU ya ukonga ... kujihakikishaia ajira!!
 
Kuna watu kila thread yeye anacomment kuanzia asubuhi hadi jioni. Utakuta kwenye thread moja mtu ana comment zaidi ya 20, halafu amecoment thread 20 au 30. kwa wastani kila dakika anakuwa amecoment kitu. Kazi anafanya saa ngapi? naamini wengi wameajiliwa kwa mantik hiyo wanaiba muda wa mwajir na hivyo wanalipwa malipo ambayo hawastahili. huu ni wizi mkubwa.

hata kama umejiajir, lazima ulipwe kutokana na kazi unayoifanya. sasa kama siku nzima wewe unacomment mmu hiyo kazi unafanya saa ngapi? pia mnalipwa malipo haramu. na huu pia ni ufisadi ambao wengi humu wanajifanya kuupinga hali wao ni mafisadi wakuu. kwa mtindo huu uzalendo uko wapi. nchi hii itaendelea kweli.

Fanyeni kazi badala ya kushinda kupiga umbea mitandaoni.

Ngumu kumeza lakini ukweli ndio huo.

Kiritimba,
25.11.2011

Heko Kiritimba naona umekomaa, si unaona sasa, ungesusasusa ungeyatowaje hayo?.

Nakuunga mkono 90% hili liliwahi kuongelewa kwa wana JF wote na si wale wa MMU tu, nakubaliana na wewe wengi wao ni wizi wa muda wa makazini na au hata muda wao mwingine, wengi humu wamesha kuwa "mateja" wa JF, kuikosa ni muhali.

Lakini kuna hako ka 10% ambako nashindwa kukupa kwa sababu wengine tuko "semi retired" umri hauturuhusu tena kufanya kazi za sulubu na maGozi yetu yanajiweza ukichanganya na vi kodi vya yale majumba yetu ya Kariakoo na vi akiba vya kufanya kazi tangu ujanani vinatuwezesha kuwa hapa 24/7, umeme uwepo usiwepo AlhamduliLlah, tunashkuru kwa yeye kutuwezesha na si kwa ujanja wetu, tunashkuru na wazee waliojituma na kutuwachia vijumba vya urithi walivyovijenga kwa taabu, leo vinatufanya tutambe.

Halafu kuna wengine wapo kazini hapa, nimegunduwa waandishi wa habari uchwara wengi wao vyanzo vya habari ni JF. Mfano hai ni Mzee Mwanakijiji, yeye ni mwandishi wa vijarida "uchwara" vya kwenye mtandao na humu hupoteza wakati mwingi kukusanya mawazo na vyanzo na kuvipindua pindua akayafanya ni yake na yeye ni "teja heavy" la JF.

Na pia kuna wengine ambao ni viajana wa umri mzuri wa kujituma kwa bidii lakini ni wavivu wa kutupwa kwa kudekezwa majumbani kwao kwa kupewa vi laptop na kuwezeshwa kuingia kwenye mtandao, maana hawa hawajui wapate wapi pesa za kulipia vi package vya mitandao bila kupewa nyumbani, ambao hawana zaidi ya kujiingiza humu na kupoteza wakati hawa huitwa ma"potato coach".

All in all, you have got a very good point.
 
Heko Kiritimba naona umekomaa, si unaona sasa, ungesusasusa ungeyatowaje hayo?.

Nakuunga mkono 90% hili liliwahi kuongelewa kwa wana JF wote na si wale wa MMU tu, nakubaliana na wewe wengi wao ni wizi wa muda wa makazini na au hata muda wao mwingine, wengi humu wamesha kuwa "mateja" wa JF, kuikosa ni muhali.

Lakini kuna hako ka 10% ambako nashindwa kukupa kwa sababu wengine tuko "semi retired" umri hauturuhusu tena kufanya kazi za sulubu na maGozi yetu yanajiweza ukichanganya na vi kodi vya yale majumba yetu ya Kariakoo na vi akiba vya kufanya kazi tangu ujanani vinatuwezesha kuwa hapa 24/7, umeme uwepo usiwepo AlhamduliLlah, tunashkuru kwa yeye kutuwezesha na si kwa ujanja wetu, tunashkuru na wazee waliojituma na kutuwachia vijumba vya urithi walivyovijenga kwa taabu, leo vinatufanya tutambe.

Halafu kuna wengine wapo kazini hapa, nimegunduwa waandishi wa habari uchwara wengi wao vyanzo vya habari ni JF. Mfano hai ni Mzee Mwanakiji, yeye ni mwandishi wa vijarida "uchwara" vya kwenye mtandao na humu hupoteza wakati mwingi kukusanya mawazo na vyanzo na kuvipindua pindua akayafanya ni yake na yeye ni "teja heavy" la JF.

Na pia kuna wengine ambao ni viajana wa umri mzuri wa kujituma kwa bidii lakini ni wavivu wa kutupwa kwa kudekezwa majumbani kwao kwa kupewa vi laptop na kuwezeshwa kuingia kwenye mtandao, maana hawa hawajui wapate wapi pesa za kulipia vi package vya mitandao bila kupewa nyumbani, ambao hawana zaidi ya kujiingiza humu na kupoteza wakati hawa huitwa ma"potato coach".

All in all, you have got a very good point.

Nashukuru umemamliza hata yale ambayo mengine niliyasahau na mengine niliamua kuyaacha kwa makusudi kwa matumizi ya ofisi tu.
Ila hapo kwa MMKJ, dah! nadhani mwenyewe akiona au akiambiwa na vijana wake atakuja kukujibu.

Halafu naona kama tunawivana wivana vilee.
Ili isije kuwa tofauti itabidi nisitembelee kabisa jukwaa la siasa.
 
hapo nimeelewa we ni Cdm ahaaa ahaaaa
 
Wewe ulijuajae kama watu wanacomment hivo? Ili ujue watu wanavyocoment lazima nawewe utakuwa unaingia kusoma comment za watu, kama huna cha kucomment waachie wengine wacomment...!
 
Nashukuru umemamliza hata yale ambayo mengine niliyasahau na mengine niliamua kuyaacha kwa makusudi kwa matumizi ya ofisi tu.
Ila hapo kwa MMKJ, dah! nadhani mwenyewe akiona au akiambiwa na vijana wake atakuja kukujibu.

Halafu naona kama tunawivana wivana vilee.
Ili isije kuwa tofauti itabidi nisitembelee kabisa jukwaa la siasa.

Si nilikwambia jana jukwaa la siasa ni mchakamchaka hakuna kujuwana kule. Hapa ni MMU.
 
Back
Top Bottom