Watu wa jf (hasa mmu) wengi "wezi"

hivi mwizi ni yule anayekomment kila uzi au anayeshinda kuangalia nani kacomment?

Safi BT, kazi tunafanya kucomment tunacomment na mshahara tunapata, yeye muache na majungu yake tu, tutamfukuza kazi hajui wengine ni mabosi wake! Kunakazi huwezi fanya ukiwa jamvini lakini nyingine is possible na aache kupoteza Muda kwa kuhesabu nani kacomment ngapi.
 
hivi mwizi ni yule anayekomment kila uzi au anayeshinda kuangalia nani kacomment?
Mkuu sio tu kuangalia nani kakoment lakini pia kuhesabu kakoment mara ngapi,kaaaaaaaazi kweli kweli.Tusife moyo lakini one day tutafika katika kipindi ambacho kila mtu atajali hamsini zake na kuacha watu wengine waishi maisha yao the way they see it fit.
 
Ndio maana wanakuandama hadi unatishia kuondoka, halafu unakaa saa moja unaimiss JF na kurudi tena. Kama jana uliaga, bisha hodi tena maana wewe ni mgeni. Halafu, kama unafanya kazi kwa .....wewe Jinga sana.....osha hii toto.....piga deke ile choooo......kuja hapa ....sogeza hii vitu dukani........lea mimi chai......hutakuwa na muda wa kutoa comment kwenye JF.
 
FYI hakuna raha kama kuongea nikiwa maliwatoni.

Swali la kizushi: Anayeandika posts nyingi na anayesoma posts hizo nyingi tena za watu weeeengi na kuzihesabu kabisa, ni nani kibaka wa muda kwa mwajiri wake?
Asprin anaandika posts 200
kiritimba anasoma posts 200 za Asprin, na kuzihesabu
na za Afrodenzi 300
na za Dena Amsi 200
Na za Rejao 150
Na za king'asti 800.......... yaani unasoma na kuzihesabu tu!

Afu ukitosheka unakuja kufungua thread unachangia posts 100..... kweli we si mwizi wa muda!

Ahsante kwa kunisoma.
Bado niko maliwatoni, niletee toilet paper tafazali.


Nimeshasema mimi huingia humu pale ninapopata mapumziko au nimemaliza shughuli zangu (waweza angalia trend yangu humu ukipenda)....sasa hao ninaowasema ni 24/7 siku 365 kwa mwaka wanacomment tu, au wako likizo mwaka mzima?
 
Kuna waliojiajiri...waliostaafu...waliopo likizo... bila kusahau MULTI-TASKers like me...ZOEA!!

Ndio kila dakika, mwaka mzima wanacomenti tu? hata kama ni shughuli zao wanazifanya saa ngapi? labda kama wote wameajiliwa na jf hapo sawa maana itakua ni kituo chao cha kazi. lakini jf ina nafasi za kazi ngapi kiasi kwamba iajili mamia ya watu...?
 
Tutabisha lakini me binafsi naona ni ukweli,tena hz international companies wameshaanza kulalamika wa tz tunatumia muda mwingi kwa social sites kuliko kufanya kazi na tunapenda kutoa excuse kibao
tupe chanzo cha taarifa hizo backed with empirical evidence pliz!
Retired and resigned premature @mmu(source Kiritimba)
 
Statistics za Kiritimba
Total Posts

Total Posts 449
Posts Per Day 4.54

Huyu jamaa kuna mambo ya yanamsombua
1. Hana Access ya Net ya uhakika
2. Ana wivu hapendi maendeleo ya watu

Mkuu hayo mawili yote si kweli.
1. nina access ya net pengine kuliko hata ulivyokua nayo wewe.
2. sina sababu ya kumwonea wivu mtu ambaye simuoni......nashindwa kuijibu kisawasawa hii. maana kuona wivu (kama ni mtu wa wivu) si mpaka uone fulani ana kitu fulani ndo uone wivu....sasa utaonaje wivu kwa vacuum.
 
Mkuu sio tu kuangalia nani kakoment lakini pia kuhesabu kakoment mara ngapi,kaaaaaaaazi kweli kweli.Tusife moyo lakini one day tutafika katika kipindi ambacho kila mtu atajali hamsini zake na kuacha watu wengine waishi maisha yao the way they see it fit.

kuna mtu alinambia nitaje majina....na mi nikampa jibu fulani hivi...
hpana bana, kwenye ukweli lazima tuambiane. nchi hii itajengwa na vijana, kwa mtindo huu?
 
Nimeshasema mimi huingia humu pale ninapopata mapumziko au nimemaliza shughuli zangu (waweza angalia trend yangu humu ukipenda)....sasa hao ninaowasema ni 24/7 siku 365 kwa mwaka wanacomment tu, au wako likizo mwaka mzima?

majukwaa yako mengi tu kwanini MMU?? kama unaingia humu unapopata nafasi tu, unajuaje kama hao wako humu 24/7?? wawafuatiani?? kwanini usijali ya kwako ukaanza kuchunguza ya wenzako?? acha kuwa kizabizabina! ... JK, FF et al (2011)
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom