FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,212
Huyu FaizaFoxy bana,anafikiri na huku atapata sapoti na magamba yake!!
Huku maraha tu, support yanini? wote wizi tu.
Huyu FaizaFoxy bana,anafikiri na huku atapata sapoti na magamba yake!!
avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)Huku maraha tu, support yanini? wote wizi tu.
Huku maraha tu, support yanini? wote wizi tu.
avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)
Na wewe ukiwemo,maana na uzee wote huo unavaamiwani unakodolea macho monitor,halafu unawasubiria wajukuu wako wakuletee hela ya vifurushi,wakikutosa unaanza kung'aka!
Mimi nipo safarini natoka ukelewe naenda dar nikifika dar naenda mtwara so mimi simo hata hivyo natumia simu. Hata hivyo mimi nakubaliana na watu kushinda jf coz ni mazoezi.siku tukilianzisha/tukikinukisha kuhusu maandamano asubuhi hadi jioni tupo barabarani kila siku na hapo ndo utashangaa tuna kula nini na saa ngapi. mia
Afu huyu kiritimba si aliaga jana?..mbona bado yupo?..
siku moja jioni niko home nilikuwa napita jukwaa hili......nikawa napitia thread moja baada ya nyingi nilichoshangaa ni kwamba kuna memba mmoja huwa anakuwa wa kwanza kujibu thread.....yaai akichelewa sana mtu mwingine akajibu anayefuatia ni yeye.....halafu kuna kuwwa nakama mtirirko flani hivi wa baadhi ya watu ambao ni commoni sana ndiio maana juz kina memba mmoja huwa anaweka kambi yake huku sasa hiyo juzi akawa jukwaa la siasa...kwenye ile thread ya kizushi iliyoletwa kule ikisema lowasa na chenge wametupwa nje na ccm.....watu walishangaa sana kumuona huyo memba kule..wakawa wanamuuliza hivi..''DA'' na wewe unapenda jukwaa la siasa.????........

za siku shem? Take it easy.Hivi wewe unajua sheria za JF vizuri???? Na kwani napangiwa jukwaa la kwenda??? Watu wengine bana........aahh ngoja ninyamaze.......kwani tatizo lako nini nikichangia thread???? UNACHEKESHA Source: FF
akili yako noumer..unafaa kuwa mwanaintelijensia kitengo cha criminal interrogation
siku moja jioni niko home nilikuwa napita jukwaa hili......nikawa napitia thread moja baada ya nyingi nilichoshangaa ni kwamba kuna memba mmoja huwa anakuwa wa kwanza kujibu thread.....yaai akichelewa sana mtu mwingine akajibu anayefuatia ni yeye.....halafu kuna kuwwa nakama mtirirko flani hivi wa baadhi ya watu ambao ni commoni sana ndiio maana juz kina memba mmoja huwa anaweka kambi yake huku sasa hiyo juzi akawa jukwaa la siasa...kwenye ile thread ya kizushi iliyoletwa kule ikisema lowasa na chenge wametupwa nje na ccm.....watu walishangaa sana kumuona huyo memba kule..wakawa wanamuuliza hivi..''DA'' na wewe unapenda jukwaa la siasa.????........
Kuna watu kila thread yeye anacomment kuanzia asubuhi hadi jioni. Utakuta kwenye thread moja mtu ana comment zaidi ya 20, halafu amecoment thread 20 au 30. kwa wastani kila dakika anakuwa amecoment kitu. Kazi anafanya saa ngapi? naamini wengi wameajiliwa kwa mantik hiyo wanaiba muda wa mwajir na hivyo wanalipwa malipo ambayo hawastahili. huu ni wizi mkubwa.
hata kama umejiajir, lazima ulipwe kutokana na kazi unayoifanya. sasa kama siku nzima wewe unacomment mmu hiyo kazi unafanya saa ngapi? pia mnalipwa malipo haramu. na huu pia ni ufisadi ambao wengi humu wanajifanya kuupinga hali wao ni mafisadi wakuu. kwa mtindo huu uzalendo uko wapi. nchi hii itaendelea kweli.
Fanyeni kazi badala ya kushinda kupiga umbea mitandaoni.
Ngumu kumeza lakini ukweli ndio huo.
Kiritimba,
25.11.2011
za siku shem? Take it easy.
Mbona hii sio issue sana..Kwa mtu anayetaka kuchangia faster anafanya hivi.
Window ya kwanza inakuwa ile ya NEW POST ...haifungi ..kila mara anai RELOAD
Then anakuwa busy na thread nyigine hata 5 kwenye window tofauti .. anachangia ... na kila mara haihitaji kufunga na kufungua window kazi yake ni RELOAD tu!!
Kwa dakika moja anweza Kuzijibu thread zote 5 au hata zaidi bila kufunga na kufugua window mpya..
Na kila aki RELOAD window ya NEW POST anaona kabisa thread mpya ..ambayo haijachangiwa ..kama anania ya kujibu kila New Thread kwa post ya kwanza ... anaweza kabisa ..akichelewa sana atajibu post ya pili au ya Tatu...
Kuona ajabu kuwa mtu alikuwa thread moja ...alafu wewe ukafungua thread nyingine ukamkuta naye kaja huko ...HAKUNA HUO UMBALI ..anacheza na FIXED window zake kadhaa kwa click RELOAD tu!! ...kama ana usongo sana ana RELOAD kila baada ya sekundi ... mwingine anakusubiria ujibu tu (yeye anajibu tayari amesha copy ..anapest..) ... then naye ana UPLOAD...
SOURCE. JAMBOFORUMS!!
Mnaanza kuchakachua siredi ya watu!