Wassira: Nasisitiza Vincent Nyerere sio Ukoo Wa Nyerere

Mh. Wassira ni mtu wa CCM na pia ni mbunge wa Bunda ambayo iko mkoa wa Mara ambayo makao makuu yake ni Musoma..
Ole Sendeka akimpinga Mh. Nyerere pia anapaswa kumpinga Mh. Wassira kwa kuwa wote wanatoka Musoma.

Kilichonishangaza ni Wassira kushangilia kauli hii ya kibaguzi ya Sendeka kama ZUZU.

Hii imenikumbusha ile hotuba ya JKN, kwamba sisi watanzania ni wajinga. Mtanzania ana dhahabu anakuja mtu chupa anamwambia kwamba ile sio dhahabu anabadilishiwa na chupa halafu huyo matanzania anatoka akichekelea kama ZUZU kumbe alichobadilishia na chupa na dhahabu yake ndiyo imechukuliwa.

Huyo ndiyo Wassira ni kama ZUZU aliyotoa dhahabu na kupewa vipande vya chupa. Fumbo mfumbie MJINGA!
 
Kwanini Wassira anaendelea kukiuka maagizo ya mheshimiwa Tendwa! aliyepiga marufuku kumuongelea Nyerere! au hili ni kwa CHADEMA tu!!!

Tendwa ni Kibaraka tu. Hawezi kuwafanya lolote CCM. Hata Li- Wasira likiamua kuchojoa na kutoa Li-kimba likuubwa jukwaani, yeye atasema Ka.jam.ba tu. Ni mnafiki mpaka anajidharaulisha pamoja na ukoo wake!
 
Wana JF nipo katika mkutano wa CCM katika kijiji cha Ngabobo Kata ya Ngarenanyuki jimbo la Arumeru na mhutubiaji mkuu ni Ole Sendeka mbunge wa Simanjiro na Stephen Wassira Mbunge wa Bunda.

Wassira anasema akija hapa mtu akajitambulisha kwa jina la Nyerere mumfukuze maana anadanganya, Nyerere alishakufa na alikuwa CCM hakuna Nyerere CHADEMA na mtu wa huko Musoma alipozaliwa mwalimu Nyerere na anajiita tu hili jina.

Ole sendeka anasema Wamasai msikubali kuamuliwa na watu wa Musoma, wa Musoma wakae hukohuko kwao huku watuachie wenyewe.

Kibaj anasema mumchague Siyoi kwa kumsaidia ana mzigo mkubwa nyuma yake ana familia kubwa ahurumiwe ili asadie kulisha wanaomtegemea na Mungu atawabariki wote.

Mkutano unafungwa ila kuna makundi makundi yanapinga kauli hizo na wapo wanaokubali.

My Take: CCM hakuna hoja wala mtoa hoja ni vituko tupu

Ni mimi Mgeni wenu wa Jamii Forum

Kumbe SISI EMU wana mawazo ya kuchaguliwa kutegemea na familia inayomtegemea mgombea,na sio kuwaletea maendeleo wananchi kwa ujumla katika jimbo.Huyu jamaa asiwadanganye wana wa Meru,binafsi naamini familia ya siyoi sio maskini kulinganishwa na Wameru.
 
Wana JF nipo katika mkutano wa CCM katika kijiji cha Ngabobo Kata ya Ngarenanyuki jimbo la Arumeru na mhutubiaji mkuu ni Ole Sendeka mbunge wa Simanjiro na Stephen Wassira Mbunge wa Bunda.

Wassira anasema akija hapa mtu akajitambulisha kwa jina la Nyerere mumfukuze maana anadanganya, Nyerere alishakufa na alikuwa CCM hakuna Nyerere CHADEMA na mtu wa huko Musoma alipozaliwa mwalimu Nyerere na anajiita tu hili jina.

Ole sendeka anasema Wamasai msikubali kuamuliwa na watu wa Musoma, wa Musoma wakae hukohuko kwao huku watuachie wenyewe.

Kibaj anasema mumchague Siyoi kwa kumsaidia ana mzigo mkubwa nyuma yake ana familia kubwa ahurumiwe ili asadie kulisha wanaomtegemea na Mungu atawabariki wote.

Mkutano unafungwa ila kuna makundi makundi yanapinga kauli hizo na wapo wanaokubali.

My Take: CCM hakuna hoja wala mtoa hoja ni vituko tupu

Ni mimi Mgeni wenu wa Jamii Forum

Na huyo chipa........ anatoka wapi? au mbona anasemwa hadharani kuwa hatakiwi Arumeru na yeye anakenua meno
 
Kamanda Vincent Nyerere unavyowachanganya hivi vikongwe vya CCM na siasa zao za miaka 47 sina hamu.

Ila kwa safari hii nakuomba USIWAJIBU KITU maana tayari Watanzania tumeshaelewa kwamba kinachowatisha kufa hawa wana-CCM kwa jina hilo lenye ishara ya uadilifu mkubwa ni kutokana na yale aliyofanyiwa Baba wa Taifa na chama hiki.

Wana-CHADEMA wote wanachama wa kawaida pamoja na viongozi wetu wa juu, tangu sasa ingizeni mashine kubwa ya siasa na kuendelea kunadi sera zetu huku mkiwaeleza wananchi jinsi gani sera za CCM zinavyochangia kuwaangamiza kimaendeleo na kwamba CHADEMA tunayo njia mbadala gani kwao.

Huyo Wasira mpuuzeni anazeeka vibaya, usingizi kila mahali, ndio maana mahari yake ilikataliwa kwa misingi ya kupora mke wa Mzee Ndege.

Mkuu hata mimi nashauri CDM waachane na huo ujinga wa MAGAMBA wa kuleta ukabila na mfarakano kwenye jamii na wajikite zaidi kwenye sera na mambo yanayotakiwa kufanywa kwa Wana-Arumeru. Matatizo ya ardhi, maji, huduma za afya na elimu na mengineyo ndiyo mambo wanayotakiwa kuambiwa hawa wananchi kuwa watakabiliana nayo vipi baada ya miaka 50 ya kudanganywa pasipo kupatiwa ufumbuzi wowote
 
Hii ishu ya kujadili ukoo wa Nyerere ni kama inawapoteza wananchi wa Arumeru Mashariki, maana hakuna sasa sera zinazonadiwa badala yake unajadiliwa ukoo wa Nyerere.
 
Wassira ni mlezi wa CCM Arusha, so yeye ni MwanaArusha. Tafakari kwa undani!

Na Vicent Nyerere ni mwenyekiti-mwenza wa kampeni za CHADEMA huko Arumeru Mashariki. So naye Mmeru! How about that?
 
kamanda vincent nyerere unavyowachanganya hivi vikongwe vya ccm na siasa zao za miaka 47 sina hamu.

Ila kwa safari hii nakuomba usiwajibu kitu maana tayari watanzania tumeshaelewa kwamba kinachowatisha kufa hawa wana-ccm kwa jina hilo lenye ishara ya uadilifu mkubwa ni kutokana na yale aliyofanyiwa baba wa taifa na chama hiki.

Wana-chadema wote wanachama wa kawaida pamoja na viongozi wetu wa juu, tangu sasa ingizeni mashine kubwa ya siasa na kuendelea kunadi sera zetu huku mkiwaeleza wananchi jinsi gani sera za ccm zinavyochangia kuwaangamiza kimaendeleo na kwamba chadema tunayo njia mbadala gani kwao.

Huyo wasira mpuuzeni anazeeka vibaya, usingizi kila mahali, ndio maana mahari yake ilikataliwa kwa misingi ya kupora mke wa mzee ndege.

hili li ole sendeka ni kabati lisilo na kitu(bichwa maji) sasa kama anasema wasiwasikilize watu wa musoma yaani wabaki huko huko musoma na huyo wasira aliyekua nae kwenye kampeni ni mtu wa wapi? Ni mjinga sana huyo sendeka na ndio maana wanatabia ya kulala tu bungeni akili zao hazina hata chembe ya uchunguzi wa jambo kabla ya kutafakari na kulitoa kinywani mwao
 
Wananchi wanasema wanataka maji, Mbuguni hakuna maji kabisa,
CCM wao wanasema Vicent sio Nyerere

Wananchi wanasema wanataka mashamba yao warejeshewe,
CCM wanasema DR. Slaa amekimbia upadri,

Wananchi wanasema gharama za maisha zimepanda sana, wanashindwa kununua mafuta ya taa
CCM wanasema Dr. Slaa anampenda sana Josephine,

Wazee wanasema hawapati huduma za afya bure kama serikali inavyosema,
CCM wanasema CHADEMA ni chama cha wachaga

The list goes on and on...........

Halafu watu hawa ndio mnawapa nchi waiendeshe??...........unafikiri wataipeleka wapi??...

THINK!!!!
 
Wana JF nipo katika mkutano wa CCM katika kijiji cha Ngabobo Kata ya Ngarenanyuki jimbo la Arumeru na mhutubiaji mkuu ni Ole Sendeka mbunge wa Simanjiro na Stephen Wassira Mbunge wa Bunda.

Wassira anasema akija hapa mtu akajitambulisha kwa jina la Nyerere mumfukuze maana anadanganya, Nyerere alishakufa na alikuwa CCM hakuna Nyerere CHADEMA na mtu wa huko Musoma alipozaliwa mwalimu Nyerere na anajiita tu hili jina.

Ole sendeka anasema Wamasai msikubali kuamuliwa na watu wa Musoma, wa Musoma wakae hukohuko kwao huku watuachie wenyewe.

Kibaj anasema mumchague Siyoi kwa kumsaidia ana mzigo mkubwa nyuma yake ana familia kubwa ahurumiwe ili asadie kulisha wanaomtegemea na Mungu atawabariki wote.

Mkutano unafungwa ila kuna makundi makundi yanapinga kauli hizo na wapo wanaokubali.

My Take: CCM hakuna hoja wala mtoa hoja ni vituko tupu

Ni mimi Mgeni wenu wa Jamii Forum
\
Tyson hakulala kwenye jukwaaa??????
 
Wameishiwa sera, kimebaki ni matusi tu!1
Nikiunganisha na wimbo alioimba kamata sherehe za CCM huko Kirumba na kuwasingizia kuwa umetungwa na wamama wa Geita naanza kushawishika kuwa hoja yako ni kweli.
 
aibu kubwa kwa babu kushambulia Mjukuu wake!Sendeka naye mgonjwa eti watu wa Musoma wasiwaamulie watu wa Arusha. Na huyo wasira katokea wapi? Huu ni ubaguzi wa ajabu na ni kuishiwa Sera
 
CCM siyo wajinga kukomalia jina la Nyerere na kudai hati miliki yake. Wanajua kuwa kuna wapiga kura wao asilia, hasa wazee wa vijijini, bado wanadhani CCM ya sasa ndiyo ile ya Nyerere iliyokuwa imebeba matumaini ya maisha bora kwa kila mtanzania. Watu wa aina hiyo wanaichagua CCM kwa mazoea kwa sababu tu walikuwa wakimwamini Nyerere na ideology yake ya ujamaa na kujitegemea. Wasingependa jina hilo lihusishwe na chama cha upinzani kwani litawachanganya wapiga kura wao asilia.
 
Wananchi wanasema wanataka maji, Mbuguni hakuna maji kabisa,
CCM wao wanasema Vicent sio Nyerere

Wananchi wanasema wanataka mashamba yao warejeshewe,
CCM wanasema DR. Slaa amekimbia upadri,

Wananchi wanasema gharama za maisha zimepanda sana, wanashindwa kununua mafuta ya taa
CCM wanasema Dr. Slaa anampenda sana Josephine,

Wazee wanasema hawapati huduma za afya bure kama serikali inavyosema,
CCM wanasema CHADEMA ni chama cha wachaga

The list goes on and on...........

Halafu watu hawa ndio mnawapa nchi waiendeshe??...........unafikiri wataipeleka wapi??...

THINK!!!!

To the dogs.
 
Wana JF nipo katika mkutano wa CCM katika kijiji cha Ngabobo Kata ya Ngarenanyuki jimbo la Arumeru na mhutubiaji mkuu ni Ole Sendeka mbunge wa Simanjiro na Stephen Wassira Mbunge wa Bunda.

Wassira anasema akija hapa mtu akajitambulisha kwa jina la Nyerere mumfukuze maana anadanganya, Nyerere alishakufa na alikuwa CCM hakuna Nyerere CHADEMA na mtu wa huko Musoma alipozaliwa mwalimu Nyerere na anajiita tu hili jina.

Ole sendeka anasema Wamasai msikubali kuamuliwa na watu wa Musoma, wa Musoma wakae hukohuko kwao huku watuachie wenyewe.

Kibaj anasema mumchague Siyoi kwa kumsaidia ana mzigo mkubwa nyuma yake ana familia kubwa ahurumiwe ili asadie kulisha wanaomtegemea na Mungu atawabariki wote.

Mkutano unafungwa ila kuna makundi makundi yanapinga kauli hizo na wapo wanaokubali.

My Take: CCM hakuna hoja wala mtoa hoja ni vituko tupu

Ni mimi Mgeni wenu wa Jamii Forum
Kweli hawa watu wamefilisika, wameanza kuleta mambo ya ukabila!!
 
kweli mzee ole sasa anaelekea kubaya sera zimwemwishia hana jipya.....anataka kuleta mambo ya kikabila nyakati hizi
 
Nimependa kauli ya ole sendeka anaposema wamasai wasikubali kushawishiwa na mtu kutoka mara kupata mbunge wao wenyewe.swali hivi wasira nae siku hizi ni mmasai?
 
Very dissapointing. Ole Sendeka ameishiwa kiasi cha kujibanza na kivuli cha ukabila?
ccm kuna timamu aliyesalia? WOTE WAMEPOTEA NA KUPUNGUKIWA NA UTUKUFU WA MUNGU! MUNGU AMEWAKATAA CCM! JE? WAMERU MTAIKATAA! WAMASAI MPO? MTAWAKATAA?
 
Back
Top Bottom