Wassira: Nasisitiza Vincent Nyerere sio Ukoo Wa Nyerere

Inawezekana kwenye suala la Vicent Nyerere kuna siri nzito, inawekana Mzee Kiboko Nyerere sio babake Vicent?
Wasira na Mkapa inawezekana wana siri nzito tunaomba watujuze babake na ukoo wake na tuanzie hapo kujadili.
 
CCM hakiwezi kupiga hatua yoyote ya maana kisiasa katika kipindi cha sasa cha uelewa mkubwa kwa wananchi kwa sababu tngu waondoke kwenye ITIKADI ZILE ZA UJAMAA NA KUJITEGEMEA mpaka hivi sasa hawana tena msingi wowote kunakogotea siasa zao.

Hii ndio maana mara nyingi watu wamejaribu kujaza pengo hilo la ki-itikadi kwa kudadavua kwamba huenda sera mama ya chama hiki hivi sasa ni UFISADI NA KUJITEGEMEA. Kwa mantiki hiyo, wala watu wenye akili hawatoona ajabu yoyote inapotokea kwamba hivi sasa kila mwana CCM siasa zao zimegeuka kuwa ni zile za KUKIMBIZANA NA KIVULI CHA MWALIMU NYERERE kote majukwaani.

Na kama hilo halijatosha, nani alidhani kwamba ile CCM ya Baba wa Taifa kingegeuka kuwa ni kinara wa vurugu, uhuni na mauaji kikiongozwa na Mwigullu Nchemba?? Je nai alidhani ile CCM leo hii kingegeuka kuwa KINARA WA UKABILA MAJUKWANI bila aaibu yoyote??

Na kama mtu unabaki umepigwa bumbwazi basi ni wakati mwafaka mkazifahamu hizo sera zake mpya na kujihadhari sana na hicho chama.
 
Ukiendelea kufatilia maneno ya hawa wazee wasira na olesendeka unaweze na wewe ukawa kichaa..hivi hawa wazee wana wake,na watoto kabisaa..halafu wanakubali kukaa jukwaani kuongea uharo kama huu? Hivi wake wa hawa wazee wana uvumilivu kiasi gani? Na watoto wao wanajisikiaje wakiwaona na kuwasikia baba zao wakionge mavi huko arumeru na mbele ya watanzania kwa ujumla?
 
Kwa lugha gongana hizi za CCM...niwazi CDM wamekamata mtu sa.bu.ri huko Arumeru.
 
Inawezekana kwenye suala la Vicent Nyerere kuna siri nzito, inawekana Mzee Kiboko Nyerere sio babake Vicent?
Wasira na Mkapa inawezekana wana siri nzito tunaomba watujuze babake na ukoo wake na tuanzie hapo kujadili.

Wassira asipate shida ya kurudiarudia maneno. Apeleke mashtaka kwa Madaraka Nyerere mwwenye ili ajue mbivu na mbivi. Vinginevyo ni hujuma kwa Sioi
 
Hatuchagui mtu, kwa kumsaidia alee familia yake. Mawazo hayo yanaonyesha jinsi ccm isivyo na viongozi bali ni mazee mambumbumbu,
 
Kwa kauli hizi nina kuhakikishieni kuwa hii ni hujuma dhidi ya Siyoi na CCM kwa ujumla. Naona kinachofanyika kuhakikisha wana mkomoa yule aliyempa tafu Siyoi mpaka akapitishwa kuwa mgombea ubunge. kwa namna yoyote hile Wapiga kura wa Arumeru hawawezi kushawishika kwa kauli hizi zisizo na mashiko kumpa kura zao Siyoi. Wanaarumeru wanazoshida nyingi sana zinazokwamisha maendeleo yao.Hizi polojo wanazozitoa hawa akina 'Mh'.Wassira na wenzake ni dhahiri wanamuhujumu Siyoi na CCM kwa ujumla.

kaka nakuunga mkono, hapa wanmkomoa Lowasa co bure, yaani CCM wanaweza kweli kuchemka kiasi hiki, hapana.
 
ingekuwa kila mtu aachame mdomo halafu aseme anataka awekewe nini mdomoni, mimi ningeweka mavi kwenye mdomo wa wasira.
 
Mwambieni Wasira akalale kama alivyozoe kulala bungeni! aache ulafi wa madaraka wakati ameshazeeka. Hana jipya zaidi ya kutapatapa kama mfa maji! Konyo zakeeee!
 
Nani wa kuujua zaidi ukoo wa Nyerere, Madaraka au Wassira?
Kama 1995 walisema Makongoro Nyerere siyo mtoto wa Mwl. Nyerere wakati huo Makongoro yupo NCCR Mageuzi unashangaa hii ya Vincet Nyerere? CCM imekua mzigo mzito kwa taifa letu na haitaondoka madarakani kwa amani,hawa jamaa watamwaga damu nyingi za Watanzania kabla ya kutimuliwa madarakani.
 
Ukiingia kwenye siasa kichwa kichwa hata kama ni PHD holder mawazo yako yatakuwa kama mtu ambae hajamaliza darasa la saba, badala walete sera za chama ili watu wafanye uamuzi, wao wanazungumzia mambo ya ukabili na jina la ukoo tena la mtu ambae tayari ni mbunge, kupoteza tu muda wa watu
 
Du,h yaani siasa za Bongo zimefikia kusema wa Musoma abakie huko huko Musoma?..Hivi kweli maneno kama haya hayabomoi msingi tuloujenga?...Huyu mpuuzi angekuwa huku majuu nadhani wangemtundika juu ya mti na kumsulubu. Tanzania tunatakiwa kuanza kuwaadhibu watu kama hawa kwa kuwavua Ubunge na nyadhifa zote wanapotamka maneno kama haya kutugawa kwa makabila...
 
Nimeshangazwa na aina ya kampeni za magamba,kwa mfano; Ole Sendeka amesema Wamasai wasiwasikilize watu kutoka Musoma!SWALI JE,Wasira anatoka WAPI? AMA KWEI NYANI HAONI KUNDULE.
 
Back
Top Bottom