Wassira: Nasisitiza Vincent Nyerere sio Ukoo Wa Nyerere

Kazi ipo! Jina Nyerere ni tishio Arumeru, hadi ifike tarehe 1 mapovu yatawatoka sana, inaonesha Vicent anawanyima usingizi viongozi wa ccm.
Lakini mbona iko wazi tu, Vicent ni mwanaukoo tu katika ukoo wa Nyerere, anaitwa Vicent Josephat Kiboko Nyerere, Wasira, Mkapa sijui nani wote wanalijua hili na huyu kijana hayuko Arumeru kwasababu anatumia jina la Nyerere, yuko pale kama mwanaCHADEMA na ndiye meneja wa kampeni za Chadema hapo Arumeru, sasa kina wasira mapovu yanawatoka.
Mbona hawamsemi yule mbuge wa viti maalum anaetumia jina la Nyerere, na yule alikuwa ni mke wa Madaraka Julius Kambarage Nyerere, na ndoa yao ilishavunjika lakini mbona anatumia jina la Nyerere? Why Vicent Nyerere ambaye huyo mwenye jina Nyerere ni babu yake kabisa?
Ninyi CCM ninyi, mmekosa sera kabisa, na ninawaambia mkiendelea na huu ujinga wenu jimbo mnalipoteza hilo, mmefikia hatua mnapiga kampeni eti Sioi achaguliwe ili apate mshahara wa kutunza familia kwasababu ameachiwa mzigo mkubwa wa kutunza familia? Hii ni sera au ni ujinga? hay endeleeni na ujinga wenu mtakalia Nyerere, sijui sioi kaachiwa familia, wenzenu wanzidi kujipanga,tarehe 1 april jimbo hiloooooooo linago
 
Wana JF nipo katika mkutano wa CCM katika kijiji cha Ngabobo Kata ya Ngarenanyuki jimbo la Arumeru na mhutubiaji mkuu ni Ole Sendeka mbunge wa Simanjiro na Stephen Wassira Mbunge wa Bunda.

Wassira anasema akija hapa mtu akajitambulisha kwa jina la Nyerere mumfukuze maana anadanganya, Nyerere alishakufa na alikuwa CCM hakuna Nyerere CHADEMA na mtu wa huko Musoma alipozaliwa mwalimu Nyerere na anajiita tu hili jina.

Ole sendeka anasema Wamasai msikubali kuamuliwa na watu wa Musoma, wa Musoma wakae hukohuko kwao huku watuachie wenyewe.

Kibaj anasema mumchague Siyoi kwa kumsaidia ana mzigo mkubwa nyuma yake ana familia kubwa ahurumiwe ili asadie kulisha wanaomtegemea na Mungu atawabariki wote.

Mkutano unafungwa ila kuna makundi makundi yanapinga kauli hizo na wapo wanaokubali.

My Take: CCM hakuna hoja wala mtoa hoja ni vituko tupu

Ni mimi Mgeni wenu wa Jamii Forum

aiseeeee,,,..hii kali...so shameless kama its true
 
Kwanza najiuliza who is Wassira, huyu jamaa anatakiwa arudi Gombe ndiko hifadhi yake iliko, hivi anavyohutubia wananchi hawajiulizi amepata wapi guts za kuongea na binadamu while yeye ni SOKWE.......???? halafu huyu Sendeka anavyodai watu wasikubali kuongozwa na watu wa Musoma JE Sokwe yeye ni wa wapi??? Na hivi wanavyosema jamaa apewe kura za huruma aweze kulea familia yao, je kwani jamaa alisha conface kuwa anashida na hela ya kulisha familia? kama ndio basi wote tupewe huo ubunge ili na sisi tuweze kulisha familia.
My concern ni kwamba CCM wakubali tu maji yamefika shingoni. Nchi haiwezi kutawalika na CCM to death, na pia wanatakiwa wakubali matokeo. Kijana mwenyewe Kimeru hajui wala sio mwasiasa, CCM hili litawacost sana. Niliona bango limeandikwa :- SIKUZALIWA MERU, SIKUSOMA MERU, SIJAKULIA MERU, KWELI MIMI SIO CHAGUO LA WAMERU ( SIOI SUMARI). Wameru wakiamua wameamua bwana hakuna..... yetu macho na masikio....
 
CHADEMA MKOA WA ARUSHA NA TAIFA, HONGERENI SANA KWA UTEUZI MAKINI WA TIMU YA KAMPENI KULE ARUMERU MASHARIKI PAMOJA NA VIONJO VYA 'SIASA ZA KISTAARABU' KWA WATANZANIA

Katika yeye huyu kijana mdogo mwenzetu asiyejikweza wala kupenda kuonekana kimbelembele, WaTanzania sikilizeni maneno haya kwamba Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kazaliwa upya katikati yetu.

Hakika kuna nuru ya matumaini mapya pale hivyo sote tumsaidie kwa kumpa ushirikiano mkubwa atakaohitaji kwetu.

Uongozi wa CHADEMA mkoa wa Arusha pamoja na uongozi wa chama taifa, hongereni sana kwa umakini wa hali ya juu kumpa 'huyu mwanafunzi wenu wa siasa za kistaarabu CHADEMA' kazi ya kwenda kuongoza kampeni akishirikiana kwa karibu sana na WaTanzania wenzake wakazi wa vijiji vya kule Arumeru Mashariki.

Sote tunafahamu kwamba lengo kuu la chama kufanya uteuzi huu wala haukua kwa ajili ya jina tu la 'Nyerere' bali zaidi uteuzi ulitokana na kiu kubwa ya kwenda kuonyesha WaTanzania wa Arumeru Mashariki nini maana ya 'siasa za kistaarabu' kama ambavyo mlivyopata kumfundisha katika darasa kubwa iliojaa Makamanda Chipukizi wengine kibao (Sugu, Mnyika, Kabwe, Lema, Lissu, Heche, Msigwa, Mdee, Nassari ...) waliopata kusifika na kuogopeka kwingineko nchini.

Hakika kazi nzuri siku zote huleta matunda mazuri kama haya tunayoyasubiria kule Arumeru Mashariki hivi karibuni.


Kazi ipo! Jina Nyerere ni tishio Arumeru, hadi ifike tarehe 1 mapovu yatawatoka sana, inaonesha Vicent anawanyima usingizi viongozi wa ccm.

Lakini mbona iko wazi tu, Vicent ni mwanaukoo tu katika ukoo wa Nyerere, anaitwa Vicent Josephat Kiboko Nyerere, Wasira, Mkapa sijui nani wote wanalijua hili na huyu kijana hayuko Arumeru kwasababu anatumia jina la Nyerere, yuko pale kama mwanaCHADEMA na ndiye meneja wa kampeni za Chadema hapo Arumeru, sasa kina wasira mapovu yanawatoka.

Mbona hawamsemi yule mbuge wa viti maalum anaetumia jina la Nyerere, na yule alikuwa ni mke wa Madaraka Julius Kambarage Nyerere, na ndoa yao ilishavunjika lakini mbona anatumia jina la Nyerere? Why Vicent Nyerere ambaye huyo mwenye jina Nyerere ni babu yake kabisa?

Ninyi CCM ninyi, mmekosa sera kabisa, na ninawaambia mkiendelea na huu ujinga wenu jimbo mnalipoteza hilo, mmefikia hatua mnapiga kampeni eti Sioi achaguliwe ili apate mshahara wa kutunza familia kwasababu ameachiwa mzigo mkubwa wa kutunza familia?

Hii ni sera au ni ujinga? hay endeleeni na ujinga wenu mtakalia Nyerere, sijui sioi kaachiwa familia, wenzenu wanzidi kujipanga,tarehe 1 april jimbo hiloooooooo linago
 
CCM bana! Si na wao wangemwomba Makongoro awe mwenyekiti wa kampeni zao basi?
Cha kushangaza ni kuwa, Vincent alimpigia kampeni sana Kikwete Musoma kwenye uchaguzi wa 2005. Na ni Vincent na timu yake ndio waliomwezesha JK kukubalika sana Musoma. Na Vincent mwenyewe alitaka kugombea ubunge wa Musoma mjini kupitia CCM. Lakini alijua hatapita kwenye kura za maoni kwa sababu ya pesa. Almost yaleyale yaliyomtokea Makongoro 1995. Lakini wote wawili kwa nyakati tofauti walijua wanakubalika zaidi katika majimbo yao. Makongoro aligombea NCCR na kushinda, na Vincent alihamia Chadema na kushinda.
Wao CCM, kwa abudu yao ya pesa, wameacha kijana kama Vincent kuchoropokea Chadema. Na sasa anawasumbua, kwa sababu wanamjua shughuli yake. Wenyewe wameomba kuvua gloves, sasa wamesahau kuna kupigwa vichwa vilevile kama huna gloves.

Kweli kabisa kwa akili timamu, unaweza kumpeleka Wasira na Mkapa kwenye kampeni?? Unapeleka wazee, wakati wapiga kura wengi ni vijana, na wanajua CCM ni chama cha wazee?? Unadhihirisha nini? On top of that, unasema wamchague huyo mgombea wa CCM ili asaidie kulisha familia yake, na kumfuta machozi. Alaa! Ni ajira kumbe na ubani?

Chama kilikuwa kina mjumbe katika kila nyumba kumi nchi nzima, leo kinapelekwa mchakamchaka na chama kinda. Namna gani hawa watu??
 
Siasa nzuri sana. Ole Sendeka anazungumza hayo maneno mtu wa musoma asije kuwaamulia. Amesahahu kuwa Wasira aliyekuwa naye ni mtu wa Musoma na ni Mlezi wa CCM Vijana Mkoa wa Arusha. Ole sendeka ni Mnafiki namba moja Tanzania. Nimefuatilia kauli zake zinavyokizana. Na hakika 2015 ni mwisho wake
 
Kama mleta mada hujadanganya, basi nadhani huyu KIBAJ ni wa kupimwa akili, si mzima. Hatuchagui mtu ili alishe famila yake, tunamchgua ili awe mwakilishi makini wa wananchi. Kwa hili CCM wameshindwa

Tangu lini Kibajaji aliongea point, hii ni dalili kuwa CCM hawana watu wenye busara na kuongea vitu vya maana! Kwa hiyo mtera walimchagua yeye ili alishe familia yake!
 
wassira.jpg



Sleeping sickness (
African trypanosomiasis)

Sleeping sickness is infection with germs carried by certain flies. It results in swelling of the brain.

Causes, incidence, and risk factors

· Sleeping sickness is caused by two germs, Trypanosoma brucei rhodesiense and Trypanosomoa brucei gambiense. The more severe form of the illness is caused by T. rhodesiense.

· Tsetse flies carry the infection. When an infected fly bites you, the infection spreads through your blood.

· Risk factors include living in parts of Africa where the disease is found and being bitten by tsetse flies. The disease is very rare in the United States, and is only found in travelers who have visited or lived in Africa.

Symptoms

· General symptoms include:

· Anxiety

· Drowsiness during the day

· Fever

· Headache

· Insomnia at night

· Mood changes

· Sleepiness (may be uncontrollable)

· Sweating

· Swollen lymph nodes all over the body

· Swollen, red, painful nodule at site of fly bite

· Weakness

Signs and tests

A physical examination may show signs of inflammation of the brain and its covering, the meninges (meningoencephalitis).Tests include the following:

· Blood smear

· Cerebrospinal fluid tests

· Complete blood count (CBC)

· Lymph node aspiration

Most antibody and antigen tests are not very helpful because they cannot tell the difference between current and past infection. Specific IgM levels in the cerebrospinal fluid may be helpful, however.

Treatment

Medications used to treat this disorder include:

· Eflornithine (for T. gambiense only)

· Melarsoprol

· Pentamidine

· Suramin (Antrypol)

· Some patients may receive combination therapy

Expectations (prognosis)

Without treatment, death may occur within 6 months from cardiac failure or from T. rhodesiense infection itself. T. gambiense infection causes the classic "sleeping sickness" disease and gets worse more quickly, often over a few weeks. Both diseases should be treated immediately.

Complications

Complications include injury related to falling asleep while driving or performing other activities, and progressive damage to the nervous system. Sleep becomes uncontrollable as the disease gets worse, and eventually leads to coma.

Inflammation of the heart (myocarditis) may develop.

Calling your health care provider

Call your health care provider if you have symptoms of this disorder. It is important to begin treatment as soon as possible.

Prevention

· Pentamidine injections protect against T. gambiense, but not against T. rhodesiense. Because it is a toxic drug, usuing it for prevention is not recommended.

· Insect control measures can help prevent the spread of sleeping sickness in high-risk areas.
 
sasa nimeanza kuelewa, nadhani Vicent Nyerere ni tishi sana kwa CCM huko Arusha Meru-Arumeru!
 
Wassira... hivi ana elimu gani?

According to some threads hapa siku za nyuma..............!! Mzee kasoma kwa kujiendeleza

Elimu za uzeeni............. Evening classes, mature age entry............. ndiyo matatizo yake!!! Inasemekana mzee zilikuwa hazipandi darasani (utotoni) lakini alilazimisha kitabu ukubwani kwa sababu za siasa pia akapelekwa America kusoma uzeeni ili kumpisha Warioba apate ubunge Bunda miaka ya themanini!! Hizi elimu za kuungaunga huwa hazina mshiko sana ............ mfano Sofia Simba!!!
 
Mtu akiishi na maumivu hata akili inaanza kumruka, kwa mtazamo tu huyu Mzee Wassira anaonekana anamaumivu makali hivyo wakati mwingine anaongea pumba tu cha muhimu ni kumsamehe tu
 
Siasa nzuri sana. Ole Sendeka anazungumza hayo maneno mtu wa musoma asije kuwaamulia. Amesahahu kuwa Wasira aliyekuwa naye ni mtu wa Musoma na ni Mlezi wa CCM Vijana Mkoa wa Arusha. Ole sendeka ni Mnafiki namba moja Tanzania. Nimefuatilia kauli zake zinavyokizana. Na hakika 2015 ni mwisho wake

Inawezekana Wasira alikuwa anapiga usingizi kama kawaida yake akiwa bungeni hivyo hakumsikia!!!

wassira.jpg


No wonder...............!!!
 
Inawezekana Wasira alikuwa anapiga usingizi kama kawaida yake akiwa bungeni hivyo hakumsikia!!!

wassira.jpg


No wonder...............!!!

TEHE TEHE hii picha huwa inanisaidia sana mwanangu collin akigoma kula..nikiileta tu lazima ale msosi..mwenyewe anaita chokwe..khaa hivi jamaa haonekani kama binadamu ee..!!
 
Kweli wanafikiri kwa masaburi yao, ukabila!!!! Na huyo Wasira anaemnadi Sioi!!!!!!!!! na wao wamasai meru!!!!!!!!
pathetic

Ole Sendeka anawaambia wana Arumeru Mashariki wamkatae Nyerere anayemnadi mgombea wa CDM kwa sababu ni wa Musoma halafu anasahau kwamba yupo jukwaa moja na mtu wa Musoma akimnadi mgombea wa CCM. Huyu bwana kweli anafikiri kwa kutumia makalio. Mbaya zaidi hata Wasira akishangilia utumbo huo.
 
Back
Top Bottom