EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
MamaTuli Dada we acha maana nikisema niandike kila kitu watu watamaliza kusoma kesho, yaani ni mwanaume msumbufu, mtesaji mnyanyasaji sijawi kuonaona, huwa atoa hela kwa kusumbuana kwanza utadhani sio mwanae
Usimlaumu baba mtoto tuu. Nafikiri na wewe ninabidi u take responsibilities. Kwa nini uliwapa namba ya baba yake badala ya namba yako. Au hauna simu? Huoni kuwa kama ungewapa namba yako wala haya yasingetokea? Kama mlikuwa bado mnaishi wote sawa. Lakini mmetengana sijui miaka 6 iliyopita na bado unatumia namba yake?
Unasema ni "mwanaume msumbufu, mtesaji mnyanyasaji sijawi kuonaona" lakini bado unatumia namba yake ya simu kwneye mambo muhimu kama haya. To me you're both to blame kwa mtoto kukosa shule.
niliandika namba zangu mbili na ya ofisini moja, jumla namba tatu na ya baba mtu nashaaa mimi kutokupigiwa simu hata moja, mawsiliano sio mazuri,ni mtu wa shari huwezi kujadiliana nae jambo lolote, kiufupi ni haeleweki kabisa ni mtu wa shari mud wote
Nilikuwa sijaona hii post yako nyingine. Unasema "mawsiliano sio mazuri, ni mtu wa shari huwezi kujadiliana nae jambo lolote" lakini bado unaweka namba yake kwenye fomu. What for? Kama vile unatafuta wa kumlaumu kwa yaliyotokea. Si condone alichofanya huyo ex wako, lakini you should have done better bearing in mind mmeachana miaka sita iliyopita. Hivi siku mtoto wako akijaza fomu ya kushindia lottery utaweka bank details za ex wako ambaye "mawsiliano sio mazuri, ni mtu wa shari huwezi kujadiliana nae jambo lolote"?