Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

MamaTuli Dada we acha maana nikisema niandike kila kitu watu watamaliza kusoma kesho, yaani ni mwanaume msumbufu, mtesaji mnyanyasaji sijawi kuonaona, huwa atoa hela kwa kusumbuana kwanza utadhani sio mwanae

Usimlaumu baba mtoto tuu. Nafikiri na wewe ninabidi u take responsibilities. Kwa nini uliwapa namba ya baba yake badala ya namba yako. Au hauna simu? Huoni kuwa kama ungewapa namba yako wala haya yasingetokea? Kama mlikuwa bado mnaishi wote sawa. Lakini mmetengana sijui miaka 6 iliyopita na bado unatumia namba yake?

Unasema ni "mwanaume msumbufu, mtesaji mnyanyasaji sijawi kuonaona" lakini bado unatumia namba yake ya simu kwneye mambo muhimu kama haya. To me you're both to blame kwa mtoto kukosa shule.

niliandika namba zangu mbili na ya ofisini moja, jumla namba tatu na ya baba mtu nashaaa mimi kutokupigiwa simu hata moja, mawsiliano sio mazuri,ni mtu wa shari huwezi kujadiliana nae jambo lolote, kiufupi ni haeleweki kabisa ni mtu wa shari mud wote

Nilikuwa sijaona hii post yako nyingine. Unasema "mawsiliano sio mazuri, ni mtu wa shari huwezi kujadiliana nae jambo lolote" lakini bado unaweka namba yake kwenye fomu. What for? Kama vile unatafuta wa kumlaumu kwa yaliyotokea. Si condone alichofanya huyo ex wako, lakini you should have done better bearing in mind mmeachana miaka sita iliyopita. Hivi siku mtoto wako akijaza fomu ya kushindia lottery utaweka bank details za ex wako ambaye "mawsiliano sio mazuri, ni mtu wa shari huwezi kujadiliana nae jambo lolote"?
 
Usimlaumu baba mtoto tuu. Nafikiri na wewe ninabidi u take responsibilities. Kwa nini uliwapa namba ya baba yake badala ya namba yako. Au hauna simu? Huoni kuwa kama ungewapa namba yako wala haya yasingetokea? Kama mlikuwa bado mnaishi wote sawa. Lakini mmetengana sijui miaka 6 iliyopita na bado unatumia namba yake?

Unasema ni "mwanaume msumbufu, mtesaji mnyanyasaji sijawi kuonaona" lakini bado unatumia namba yake ya simu kwneye mambo muhimu kama haya. To me you're both to blame kwa mtoto kukosa shule.
EMT nisingeandika namba yake ningeambiwa nina dharrau kama wachangiaji wengine wanavyosema, nimeandika pia ameamua kukomesha kwa makusudi, ila kwa hili nimejifunza kitu Kaka ninge mara nyingi huwa inakuja baadaye
 
Kama mie ndio mtoto nikikua nikafanyikiwa angenikoma.

Omba Mungu mwanao asiumie roho

siku moja mbaba huyo atalia machozi ya damu ni shelifishi mkubwa
 
Unajua Husn hata mie namshangaa sana baba Erick! Hata kama ukweli hatuujui still huyo baba hakupaswa kuhamishia hasira zake kwa mtoto. Hata kama alikuwa hataki/anakwepa kulipa ada alichokifanya ni kibaya sana, bora hata angewapiga kalenda then baadae akamwambia mama mtu kuwa halipi na ajipange yeye kama mama amlipie mwanae kuliko kumpotezea mtoto chance ya kusoma! Yaani majukumu hataki alafu bado anataka kuharibu hadi kwa watoto? ........................

nyie kuna kitu hamjakifahamu ndugu zangu! Fuatilia simulizi hii inayonihusu mimi mwenyewe!
Nilizaliwa miaka zaidi ya ishrn ilyopita na wkt ninakua nikajikuta ninaish na mama yangu pekee,alitupenda sana wanae na kutusomesha hadi sasa ndo yeye anahusika na nipo chuo sasa

Ilipofika wkt wa kuhoji baba yetu alipo tulielezwa na mama yetu mambo mengi sana akimtuhumu mzee kwamba hafai na kiufupi alitujengea concept ya kumchukia baba yetu,na alifanikiwa sana.

Kumbe walikuwa na ugomvi wao kwa muda mrefu na mama alitutumia kama ngao kuficha ukorofi wake,na kwa vile waliishi separate,sisi tulikuwa kwa mama.

Nilipomaliza form6 nilikaa na mzee na kupata maelezo yake kuhusu ugomvi wake na mama! Japokua mama kanisomesha had chuo kikuu leo,najuta sana kwa kutokufaham ukwel mapema na kujikuta namchukia baba yangu bure,nilipougundua ukwel nilimtafuta mzee mwenye age kama ya baba yangu nikaomba anisaidie kuomba msamaha kwa baba na baba akanisamehe na ndo mwanzo wangu ku balance kwa wazazi wangu wote na sasa naishi kwa amani moyoni.

Kwa hiyo,naamin kwa aliyefuatilia kisa hiki,atakuwa ameelewa kwanin huyo baba anawaona kama mama na wanae lao moja!
Kumbuka hakuna baba anayependa mtoto wake aegemee upande mmoja tu wa wazazi wkt yeye yupo hai.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ukishaelewa tabia ya mtu ni rahisi ku-deal naye. Ushajua kama huyo ni hopeless, jipange usomeshe watoto wako.
 
Hahaha, mwisho wa article, baba aliyemzaa Steve Jobs na kumtelekeza bila aibu anasema "They produced the best" "Steve Jobs was a genius". Masikini mwanawe mwenyewe hata kumuona ukubwani hajawahi.

Kutelekeza mtoto kunamfanya binadamu kuwa hana tofauti na mnyama. Hata wanyama wengine hawafanyi hivyo.

Linganisha na wazazi wa Mario Balotelli (mchezaji wa Man City) who asked the social services for help because of their cramped living conditions, though still mtu unaweza kuuliza why did they decide to have him in the first place if they were living in a cramped conditions.

As the Balotelli's reputation as a footballer grew his biological parents, his biological parents asked for him back. Balotelli later said that his parents only wanted him back because he had become famous and described them as "glory hunters".

But if you go back, as an infant Balotelli had life-threatening complications with his intestines which led to a series of operations. His health problems and the family's cramped living conditions meant his parents decided to ask for the help of social services who recommended that Mario be fostered.

Biological father (left) and Mario with his proud foster parents (right)
article-1300427-0AA00DED000005DC-505_233x352.jpg
article-1300427-0AA00E15000005DC-472_468x368.jpg

Now Mario doesn't even want to meet his siblings. Hapa akiwa na ndugu zake wakati bado wakiwa wadogo
article-1300427-0AA00DC5000005DC-950_468x333.jpg
article-1300427-0AA00DC1000005DC-286_468x328.jpg
 
mweh pole sana dada yangu, kweli uyo aliyekuwa mumeo naha huruma hata mtoto wake du hatar
 
EMT nisingeandika namba yake ningeambiwa nina dharrau kama wachangiaji wengine wanavyosema, nimeandika pia ameamua kukomesha kwa makusudi, ila kwa hili nimejifunza kitu Kaka ninge mara nyingi huwa inakuja baadaye

Nani angekuambia una dharau? Kama ameamua kukomesha kwa makusudi then there is something more we don't know. Na inawezekana kabisa waliochangia hapo juu kukuunga mkono wakabadilisha mawazo kama wakipata the other side of the story.

Hata hivyo kama ningekuwa kwenye nafasi yako nisingeweka namba yake kwenye hizo form ukizingatia tumeachana miaka sita iliyopita, mawasiliano sio mazuri, ni mtu wa shari huwezi kujadiliana nae jambo lolote, ni mwanaume msumbufu, mtesaji mnyanyasaji sijawi kuona. Kwa mtu kama huyo sina hata haja ya kuwa na namba yake kwenye simu yangu. Acha nidharauliwe.
 
hata kama hatuujui undani huyo jibaba hakupaswa kumuharibia mtoto kihivyo. Hebu imagine mmama kahangaika apate shule halafu mtu analeta habari za kizushi. Ugomvi wa wazazi usihamishiwe kwa watoto.

lakini ni muhimu sana kujua tatizo au chanzo cha kutengana maana kuna wengine wanatumia watoto kama sehemu ya kunyanyasia wanaume au kuonyesha wanaume wabaya
 
  • Thanks
Reactions: EMT
unajua watu hawajadadavua vizuri ndugu zangu mimi simlaumu huyo baba hata kidogo kwani mmejua ni nini kiliwafanya waachane? Acheni jamani mambo mengine tuna-commet tu ila undani hatuujui.

Baba Erick hata kama mama wa mtoto alimkosea vipi huyo baba, still hakuna justification yoyote ya kuhamishia kisirani kwa mtoto-tofauti zenu wazazi zibaki kwenu wenyewe hazihusiani kwa namna yoyote na mustakabali wa mtoto
 
EMT nisingeandika namba yake ningeambiwa nina dharrau kama wachangiaji wengine wanavyosema, nimeandika pia ameamua kukomesha kwa makusudi, ila kwa hili nimejifunza kitu Kaka ninge mara nyingi huwa inakuja baadaye

je ulimshirikisha toka mwanza kuhusu kutafuta shule na kwamba mwanao akipata nafasi wanaweza kuwasiliana nae??? je huwa mnakutana au kuwasiliana kuhusu maendeleo ya mtoto???
 
lakini ni muhimu sana kujua tatizo au chanzo cha kutengana maana kuna wengine wanatumia watoto kama sehemu ya kunyanyasia wanaume au kuonyesha wanaume wabaya
hata nikielezea chanzo utasema unataka kusikia kutoka upande wa pili naomba ushauri kwa hili kwanza lililojitokeza
 
Baba Erick hata kama mama wa mtoto alimkosea vipi huyo baba, still hakuna justification yoyote ya kuhamishia kisirani kwa mtoto-tofauti zenu wazazi zibaki kwenu wenyewe hazihusiani kwa namna yoyote na mustakabali wa mtoto

hakuna kitu kizuri kama mipangilio na mahusiano (kuhusishwa) hata kama mtu hajiwezi kiuchumi ..
 
hata nikielezea chanzo utasema unataka kusikia kutoka upande wa pili naomba ushauri kwa hili kwanza lililojitokeza

wewe liweke wazi tatizo hasa ili uweze kupata ushauri zaidi..
  1. je ndoa ilikuwaje??
  2. mliishi kwa muda gani pamoja ???
  3. nini kilipelekea mtengani
  4. je alikuwa na upendo na mtoto wakati mnaishi pamoja??
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom