Asante sana Shantel ilam nilipiga simj kwa muhusika wa Marian Boys akanieleza nafasi zimejaa na wao hawana makosa na hawakujua kama hatuishi pamoja je nikienda kwa Father jibu litakuwa tofauti? na je Father yupo pale Kerege au Marian GirlsFunga safari nenda kwa yule father wala hana neno....lol sipati picha ingekuwa mimi, baba gani asiyekuwa mstaarabu shule ile inawindwa na watu kibao embu fikiria watoto 6000 tanzania nzima wamefanya wamechaguliwa 120 tu huwezi kuwa proud na mtoto wako???pole sana maskini ka kwangu pia kamepata
nilimtuma mdogo wangu alipita nakukuta jina lake, simu zangu mbilit zana moja ya ofisini ,lakini nashangaa sikupata simu hata moja, nimeshangaa sanaUnajua nimejiuliza kitu, kwenye ile form kuna kuweka namba mbili ya mama na pia baba ina maana hata hawakujaribu yako? na walibandika majibu pale msimbazi jtatu hukwenda?
Hivyo kimsingi vumilia. Ni-pm tuliwazane.
pole naona umepata bahati mbaya sana mie alipigiwa simu baba mtu jpili usiku tukaambiwa kesho yake tuende kulipa hatukwenda tulikuwa tunabishana mtoto aende huko au kuna shule ingine alipata aende hiyo tukaminya mpaka alhamis akapiga padri huyo father mzungu na kutusisitiza tena na hapo alipiga kwangu sasa, nikaamua nikalipie ijumaa, sasa nashindwa kuelewa kwako ni bahati mbaya kiasi gani umepata,embu nenda hukohuko shuleni ukaongeenilimtuma mdogo wangu alipita nakukuta jina lake, simu zangu mbilit zana moja ya ofisini ,lakini nashangaa sikupata simu hata moja, nimeshangaa sana
Umeona ee bombo, watu kwa kupenda vislope!!!!hapo, kwenye blue hapoooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!
Umeona ee bombo, watu kwa kupenda vislope!!!!
Sijakuelewa hadithi yako, ila labda mhusika kakuelewa. Pole.Kwangu mimi huyo baba alifanya vibaya.
Sasa suala la wewe umfanye nini, nadhani ni kumuacha tu matatizo ya wazazi kuachana ni mengi tu tena hilo lako dogo. Kuna wazazi wakiachana wanaenda kutorosha watoto shuleni na kuwahamishia shule nyingine.
Mie pia yalinikuta kama hayo kwa namna tofauti. Tulipotengana na wife (miaka 6 kama wewe) watoto walikuwa wanasoma St mathews. Muhula ulipotimu walikuwa kwake hivyo akawapeleka. Wakati wa kuandikisha watakaojulishwa wakati wa ajali akamuandika bwana anayeishi nae (wakati tuko pamoja alijenga, tulipotengana akahamia huko, AKAOA). Nikanyamaza mpaka leo. Watoto wameenda vyuoni, nilipomuuliza mmoja wao amepewa shilingi ngapi na mama, akasema 5,000 (mama ana uwezo kidogo wa kunywa bia na kuchagua kiburudisho cha siku).
Hivyo kimsingi vumilia. Ni-pm tuliwazane.
MESTOD mtoto niwake kabisa wako watatu na huyu na first born wake na ujauzito wake niliupata nikiwa shule na ndio ilikuwa mwisho wa kusomana kuolewa nimetooka kwenye ndoa, kutokana na vipigo na mabo mengine ambayo siwezi kuyaeleza ni historia ndefu sana
Mkuu tena? Naona kichina tuu hapa!Kwangu mimi huyo baba alifanya vibaya.
Sasa suala la wewe umfanye nini, nadhani ni kumuacha tu matatizo ya wazazi kuachana ni mengi tu tena hilo lako dogo. Kuna wazazi wakiachana wanaenda kutorosha watoto shuleni na kuwahamishia shule nyingine.
Mie pia yalinikuta kama hayo kwa namna tofauti. Tulipotengana na wife (miaka 6 kama wewe) watoto walikuwa wanasoma St mathews. Muhula ulipotimu walikuwa kwake hivyo akawapeleka. Wakati wa kuandikisha watakaojulishwa wakati wa ajali akamuandika bwana anayeishi nae (wakati tuko pamoja alijenga, tulipotengana akahamia huko, AKAOA). Nikanyamaza mpaka leo. Watoto wameenda vyuoni, nilipomuuliza mmoja wao amepewa shilingi ngapi na mama, akasema 5,000 (mama ana uwezo kidogo wa kunywa bia na kuchagua kiburudisho cha siku).
Hivyo kimsingi vumilia. Ni-pm tuliwazane.
Nilipata maelezo hayo baada ya kupiga simu shuleni ili nijue utaratibu unakuaje na kuambiwa nafasi yake ilishatolewa baada ya baba mtu kuwajibu vile. Je baba kama huyu nimfanyaje kwa hili, mtoto amejua na amekosa amani, naombeni ushauri wenu sijawahi kuumia kama nilivyoumia kwa hili.
huyo baba ana akili za viatu,sasa hapo anafikiri anamkomoa nani na wewe mama sio kila jambo la kumueleza mtoto tena kwenye umri huo.
inaonyesha hamna mawasiliano mazuri na mwenzako hata kama mmeachana jaribuni kuwa mnawasiliana kwa ishu muhimu kwa maendeleo ya watoto wenu,haina maana kuharibu future za watoto wenu kwa ugomvi/chuki zinazohusu wazazi.