Hivi mtoto wa mzee na wa kijana kibaiolɔjia wawezatofautiana?

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Wanajamii mko pouwaa.Kuna swala la kiufahamu kuhusu mtoto anayepatikana mzazi (Baba)akiwa mzee na ambaye anapatikana mzazi (Baba)akiwa kijana je kibaiolɔjia wanawezatofautiana ?Ni swala ambalo limekuwa likimchanganya rafiki yangu(ke) ambaye amepata rafiki ila umri umeemda (me)ana 70 (ke) ana 30 Sasa salooon huko wanamchanganya mbaya kwamba ooooh kwa vile mzee watoto waweza kutokuwa fit in some aspects. Anaomba uzoefu rafiki yangu huyu ushauri wenu ataufanyia kazi.
 
Nabii Ibrahim alimpata Yakobo akiwa mzee mtoto akawa baraka za Ukooo mzima......

King David alimpataa Suleiman akiwa kijana ila mtoto akawaa malayaa dunia nzima hajawahi kutokea malayaa kama yule jamaaaa......
 
Wanajamii mko pouwaa.Kuna swala la kiufahamu kuhusu mtoto anayepatikana mzazi (Baba)akiwa mzee na ambaye anapatikana mzazi (Baba)akiwa kijana je kibaiolɔjia wanawezatofautiana ?Ni swala ambalo limekuwa likimchanganya rafiki yangu(ke) ambaye amepata rafiki ila umri umeemda (me)ana 70 (ke) ana 30 Sasa salooon huko wanamchanganya mbaya kwamba ooooh kwa vile mzee watoto waweza kutokuwa fit in some aspects. Anaomba uzoefu rafiki yangu huyu ushauri wenu ataufanyia kazi.
Vijana wenyewe hawa wa siku hizi, miili haina mazoezi, chips yai kila siku! Magimbi wanaita mawe...!

Aendelea tu na kina mzee "Msekwa"!
 
Back
Top Bottom