Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,289
Hiyo hospital ilikuwa kwa mnyamani hospito?
Na uelewa wa huyo nurse/daktari ulikuwaje?Na wakati unafika kuchoma ulikuwa wagonjwa wangapi per 1 nurse?
Watu wanaenda hospitali za private kama Regency au Aga Khan na hawaulizi masuali. Ni tabia ya mtu. Na kiuhalisia si tabia nzuri. Uliza masuala mengi iwezekanavyo ukiwa hospitali. Ni muhimu kwako.