Wanawake tu, ndio wajibu swali hili

Hahaaa kuna mama mmoja alikuwa na Tarantula chumbani kwake....licha ya animal control kuja na kumtoa mama hakuridhika. Ilibidi ahame. Kuna watu wana phobia na hao wadudu aisee daah! Hata kama likiwa feki hata kulishika hawataki.

Kuna siku aliingia kiwaviwavi mkubwa huyooo kisha mweusiii, kapitia kwenye njia ya AC. Kwa bahati nikamuona nikaenda kumtoa nje. Basi amini Mungu siku nzima siwezi kulala, mpaka naona nikipanda kitanda kinawasha......hahahah wakati hata hakufika nilimtoa.

Kuna vitu hapana ....vinakera
 
Kwanza napata picha namna watakavyokusulubu kwa maneno.

"yaaani unaleta dharau. Unaita porisi kuja kutoa mdudu"

unaweza ulizwa risiti za furniture zako ziko wapi?lol
mwenyewe unatafuta wallet ilipo na kuwapa chai..
kuna wabongo wenye kutunza risiti????lol
 
nilikuwa najizuia kucheka aisee
halafu huyo mwanamke polisi
alikuwa anasisitiza jamaa ayataje matusi ya nguoni aliyotukanwa
kwa sauti...imagine..
eti 'kwahiyo alikwambia wewe unananihiwa? lol
yaani live matusi...jamaa hadi anaona aibu..lol

The Boss, Kisheria katika kuandikisha maelezo, Polisi hakuna TAFSIDA kabisa, unaelezea tukio kama lilivyotokea`na natusi unayataja kama yalivyo. Emagine mwanamke kabakwa au kaliwa mande, anatakiwa aelezee kama ilivyo, na ndio maana kesi za aina hiyo zinaendeshwa chamber kwa siri ili kulinda maadili.
 
sasa wao wanakuuliza counter..
kila mtu anasikiliza..lol
 
sasa wao wanakuuliza counter..
kila mtu anasikiliza..lol
Hilo ni kosa na kimsingi unaruhusiwa kukataa kutoa maelezo hapo counter............. yupo binti wa kaka yangu aliwahi kubakwa nikampeleka polisi kufungua jalada, wakati wa kuandikisha maelezo, niliomba mwenyewe kutoka nje, maana viungo vya uzazi vilikuwa vinatajwa kama vilivyo........ neno uume au uke au sijui akanifanya hayakutumika kabisa, na badala yake yaitumika maneno halisi kama tunavyofahamu...........................
 
He he he, nicheke kizenji, huduma zote mjuaji wee, unakuwaga umebakiza eneo la logic?

Basi sitii neno tena.

Mimi kumbe polisi wa bongo sitawaweza maana kwanza huwa nna na ujuaji juu nikipewa huduma. lolz

Nikienda hospitali daktari anajuta kunifahamu :]
 
kusema kweli huo ni mtihani mkubwa sana ila mi nadhani ningefanya jitihada zote kuhakikisha kama kweli picha hzo zipo na kama zipo ningekubali jinsi yeye anavyotaka ilimradi nizichukue bila kumwambia k2 chochote nasio kwamba kukurupuka 2 natakiwa niwe na mpango mzuri wa kuweza kumnasa hakuna kitu kinachoshindikana hapa duniani
 
nilikuwa najizuia kucheka aisee
halafu huyo mwanamke polisi
alikuwa anasisitiza jamaa ayataje matusi ya nguoni aliyotukanwa
kwa sauti...imagine..
eti 'kwahiyo alikwambia wewe unananihiwa? lol
yaani live matusi...jamaa hadi anaona aibu..lol

Kwa kesi ya picha, usishangae wakimkamata mtuhumiwa kisha wakala mlungula na kumuachia, halafu wakaomba warushiwe hizo picha kupitia simu zao za mkononi ili kukidhi tamaa zao za kimwili........... utawasikia, "Aroo urikuwa unafadi aisee!" Baada ya hapo binti atajuta maana sasa vitisho vitazidi.............
 
Ukija huku st mwananyamala hospito, ukileta ujuaji dawa yako ni ndogo sana, tunakuchoma fenegan na kristapen kutibu mafua na ukileta maroroso tunakupasua maini badala ya mguu.

Kuhusu hao polisi watoa spider tunawaomba huku kwetu manzese watusaidie kutoa kunguni, viroboto, mende chawa na mijusi, pse Gee

Mimi kwanza huwa nataka maelezo marefu ilikuwaje nikaumwa hivyo nilivyoumwa ili siku ya pili nisiumwe tena (kawaida inaweza pita miaka sijaumwa)

Pili nieleweshwe dawa hiyo ina vitu gani na inafanya kazi vipi, pamoja na side effects zake (nishawahi kudhuriwa na dawa zamani, basi nimekuwa kidogo nna kiji-forbia)

Tatu nitegemee kupona kamili lini ili niweze kujua nirudi hospitali lini kama sijapona

Bila ya kupata majibu hayo, huwa siondoki hospitali ng'oo

BTW: Polisi wa 'Manchester' raha weee, ndani ukimuona spider unamuogopa unawapigia wakuja kumtoa :]]
 
He he he, nicheke kizenji, huduma zote mjuaji wee, unakuwaga umebakiza eneo la logic?

Basi sitii neno tena.

Sijui kufanya kitu nusu nusu, kabla sijenda hospitali (au kupata huduma nyengine) huwa nna jiandaa vilivyo. So huko masuali atakayokutana nayo daktari asiponipa majibu, nitaomba nipatiwe daktari mwengine. Ni haki yangu ya msingi kisheria
 
kama mimi namwacha tu huyo mtu, nakubali anachotaka afu tuone kama ataimaliza.
Namng'ang'ania kila siku mara tatu tena kama ana familia nahamia kwake na mizigo yangu.

Adhabu kubwa ya mgoni wa mkeo, mwachie amuoe kabisa.
 
Sijui kufanya kitu nusu nusu, kabla sijenda hospitali (au kupata huduma nyengine) huwa nna jiandaa vilivyo. So huko masuali atakayokutana nayo daktari asiponipa majibu, nitaomba nipatiwe daktari mwengine. Ni haki yangu ya msingi kisheria

Baadhi ya Madaktari wa bongo hawajazoea challenge, wakikuona wewe ni pasua kichwa, wanakususa, na huwa wanaambiana, utajikuta unapigwa danadana.................
 
Baadhi ya Madaktari wa bongo hawajazoea challenge, wakikuona wewe ni pasua kichwa, wanakususa, na huwa wanaambiana, utajikuta unapigwa danadana.................

madaktari wa bongo
wanajifanya 'miungu watu'
unaomba ushauri wa kitaalam
yeye anakupa nasaha utasema yeye ndo 'mtaalamu wa nasaha'
 
Baadhi ya Madaktari wa bongo hawajazoea challenge, wakikuona wewe ni pasua kichwa, wanakususa, na huwa wanaambiana, utajikuta unapigwa danadana.................

Tatizo letu Watanzania ni hilo, tunakubali ku-compromise haki zetu bila ya sababu za msingi.

Hutakiwi kutibiwa bila kuelewa vizuri unatibiwa nini, dalili, vya kujikinga, na worst case scenario.....you don't know what can save your life.
 
Huyo ni stahili yake, kwanini ukamvulie nguo mwanamme ambae hujafunga nae ndoa?
 
Sijui kufanya kitu nusu nusu, kabla sijenda hospitali (au kupata huduma nyengine) huwa nna jiandaa vilivyo. So huko masuali atakayokutana nayo daktari asiponipa majibu, nitaomba nipatiwe daktari mwengine. Ni haki yangu ya msingi kisheria

Unafanya vizuri sana kwani hata mimi niko hivyo hivyo. Kabla sijafanya kitu huwa najaribu kujielimisha kwanza ili nikienda huko ninakoenda wakiniambia tofauti na nilivyojifunza niwaulize kulikoni.

Ila kwa bongo wataalamu wetu wengi wana ujuzi wa nusu nusu tu kwa hiyo usije shangaa wakaja kukuona kama wajifanya wajua sana kumbe mtu unataka tu kujua zaidi.
 
Kama unataka kujaribu kumfanyia mtu wako ivo, ungejaribu halafu uone atakachokifanya uje uwaambie wenzio hapa na watakoma hata kuthubutu kufikiria kufanya ujinga huo!
Dunia ni nzuri ila wanadamu ndio wabaya kuliko wanyama.
 
Back
Top Bottom