The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Umenikumbusha juzi katika wakati naumwa nilipoenda hospitali daktari akaniuliza 'Kawaida huwa unameza dawa gani za malaria nikamjibu halafu akaniandia hizo hizo nilizomwambia, nikamuuliza ina maana mimi ndio daktari na mimi ndio mgonjwa maana ni kama hizo dawa nime-reccomend mimi halafu wewe umefanya kazi ya kuandika tu kwenye karatasi" Je hizo dawa this zikinikataa what will happen daktari akaanza blah blah blah nikasema mhhh hapa kuna ???????? nyingi sanaMtu hospitali analipia pesa kibao wakati mwengine lakini akitoka pale hawezi hata kubabaisha kukueleza daktari kamwambia nini.
Wanasahau kuwa ule ni mwili wao, na wanatakiwa walau ujue ki-juu juu chanzo cha magonjwa, namna ya kujikinga na dawa ikifika mwilini mwako itafanya kazi gani.