Wanawake tu, ndio wajibu swali hili

Unapomwambia waziwazi kuwa hupo tayari kuendeea kuwa na uhusiano naye kutokana na tabia yake hiyo, anakuonesha hizo picha na kukutishia kwamba atazisambaza mitaani na kwenye mitandao ya kijamiii ili kukudhalilisha. Anachotaka ni kukufanya mtumwa wake, ufanye vile anavyotaka na usithubutu kutaka kuachana naye.

That is blackmailing. Pure and simple.
 
sitakubali blackmail hata siku moja, hizo picha bora azisambaze tu from day one maana mwisho wa siku atazitoa tu.
 
duh hapo utakuwa unamake nae love bila feelings kwa kuogopa picha kuvuja, but break ya kwanza police then RB haibanduki kwa wallet.
 
utamchoma sindano ya ...... inaua faster, mwili ukifanyiwa vipimo inaonekana alikuwa na kisukari au bp
 
Na kama kweli yeye ni gay na haoni hatari yoyote zaidi ya kuona tu unamtangazia biashara,utafanyaje?!,.

Du hapo sasa inabidi nimwache aweke hz pics kwenye net works,then natafuta jinsi ya ku capitalize huo umaarufu nitakaopata kama Kim Kardashian na sex tape hahahhah
 
Gaijin kwanza jiulize maswali haya:
Je, ushahidi unao?
Je, rushwa unayo?
Je, unaweza kuvumilia kejeli za Mapolisi pale kituoni, kumbuka huyo kijana ataonekana ni kidume na wewe utaonekana ni malaya..

umenikumbusha nilienda polisi,nikakuta mtu
anahojiwa na polisi mwanamke...
eti ulidundwa tu bila kujitetea?
we mwanaume gani unadundwa tu?
lol....
mimi huwa siendi polisi kushtaki kwa lolote lile....
naishi kama wapemba vile,polisi sikujui...
nikienda basi ni kushitakiwa tu..lol
 
Ha ha ha Boss......hukucheka huko polisi?

nilikuwa najizuia kucheka aisee
halafu huyo mwanamke polisi
alikuwa anasisitiza jamaa ayataje matusi ya nguoni aliyotukanwa
kwa sauti...imagine..
eti 'kwahiyo alikwambia wewe unananihiwa? lol
yaani live matusi...jamaa hadi anaona aibu..lol
 
Huyo polisi mshenzi kabisa wala hajui kazi yake. agggrrrr
 
Mimi kumbe polisi wa bongo sitawaweza maana kwanza huwa nna na ujuaji juu nikipewa huduma. lolz

Nikienda hospitali daktari anajuta kunifahamu :]
 
Mimi kumbe polisi wa bongo sitawaweza maana kwanza huwa nna na ujuaji juu nikipewa huduma. lolz

Nikienda hospitali daktari anajuta kunifahamu :]

aisee kama umezoea polisi na madokta wa 'MANCHESTER'
basi wabongo watakususa.....hamtawezana...
hata mimi madaktari 'huwa nagombana nao'
anakuandikia dawa,unamuuliza kwa nini hiyo dawa,na sio nyingine
hataki kutoa maelezo ya kueleweka...
 
Mimi kwanza huwa nataka maelezo marefu ilikuwaje nikaumwa hivyo nilivyoumwa ili siku ya pili nisiumwe tena (kawaida inaweza pita miaka sijaumwa)

Pili nieleweshwe dawa hiyo ina vitu gani na inafanya kazi vipi, pamoja na side effects zake (nishawahi kudhuriwa na dawa zamani, basi nimekuwa kidogo nna kiji-forbia)

Tatu nitegemee kupona kamili lini ili niweze kujua nirudi hospitali lini kama sijapona

Bila ya kupata majibu hayo, huwa siondoki hospitali ng'oo

BTW: Polisi wa 'Manchester' raha weee, ndani ukimuona spider unamuogopa unawapigia wakuja kumtoa :]]
 
Mimi kumbe polisi wa bongo sitawaweza maana kwanza huwa nna na ujuaji juu nikipewa huduma. lolz

Nikienda hospitali daktari anajuta kunifahamu :]

Polisi wa bongo hakuna kitu,ndio ,maana me first choice ilikuwa ku,cameroon.
Justice huku ipo mkononi mwako
 
Mimi kwanza huwa nataka maelezo marefu ilikuwaje nikaumwa hivyo nilivyoumwa ili siku ya pili nisiumwe tena (kawaida inaweza pita miaka sijaumwa)

Pili nieleweshwe dawa hiyo ina vitu gani na inafanya kazi vipi, pamoja na side effects zake (nishawahi kudhuriwa na dawa zamani, basi nimekuwa kidogo nna kiji-forbia)

Tatu nitegemee kupona kamili lini ili niweze kujua nirudi hospitali lini kama sijapona

Bila ya kupata majibu hayo, huwa siondoki hospitali ng'oo

BTW: Polisi wa 'Manchester' raha weee, ndani ukimuona spider unamuogopa unawapigia wakuja kumtoa :]]

polisi wa bongo waite uone kama
'hawajachukua pesa yako ya mboga ya kesho' lol
 
BTW: Polisi wa 'Manchester' raha weee, ndani ukimuona spider unamuogopa unawapigia wakuja kumtoa :]]

Hahaaa kuna mama mmoja alikuwa na Tarantula chumbani kwake....licha ya animal control kuja na kumtoa mama hakuridhika. Ilibidi ahame. Kuna watu wana phobia na hao wadudu aisee daah! Hata kama likiwa feki hata kulishika hawataki.
 
Back
Top Bottom