Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
Tena hakuna kitu kinatibua manesi kama hayo maneno yenu ya kiinglish, we nenda pale utumie hilo neno kompromaizi, utajibeba.
Na utamu zaidi uwe waenda kujifungua mmh! Utajua hata kidengereko kwa sekunde.
Kiukweli, unaishi kutegemeana na mazingira. Uwe unajua haki zako au hujui, ukifika leba muhimbili au mwananyamala utatia adabu, tena bila kuulizwa.

Tatizo letu Watanzania ni hilo, tunakubali ku-compromise haki zetu bila ya sababu za msingi.
Hutakiwi kutibiwa bila kuelewa vizuri unatibiwa nini, dalili, vya kujikinga, na worst case scenario.....you don't know what can save your life.