mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,642
yaaani nilivoikimbilia hii siredi ka speed ya light afu nakutana na hivi
Kaacha kuvuta Bangi Kaokoka siku hizi
Si watu kabisa ndio mana wana siku moja duniani,siku ya wanawake duniani kati ya siku 365 za mwaka zingine zote 364 zakwetu. Kwe kwe kwe!!
Hivi Malaika ni wa jinsia gani? kwa majina tu Gabriel,Mikael....na yule muasi Yusufeli.....
na mama yako si mtu?Si watu kabisa ndio mana wana siku moja duniani,siku ya wanawake duniani kati ya siku 365 za mwaka zingine zote 364 zakwetu. Kwe kwe kwe!!