Wanawake sio binadamu

Any way! wanawake na wanaume wote ni wana-Adamu au bin-Adamu, na mbinguni hakuna wa kike au wa kiume wote wanakuwa kama malaika walivyo.
 
hata sensa iliyokuwa inafanyika zamani haikuhusisha wanawake na watoto, ilikuwa ni wanaume tu, ndo maana leo hii tuna siku ya wanawake duniani.
 
japo wanaoaminika sana kwa uhodari vitani ni wanaume lakini wanawake ni majushaa zaidi katika vita, usiniulize kivipi.
 
Any way! wanawake na wanaume wote ni wana-Adamu au bin-Adamu, na mbinguni hakuna wa kike au wa kiume wote wanakuwa kama malaika walivyo.
Hivi Malaika ni wa jinsia gani? kwa majina tu Gabriel,Mikael....na yule muasi Yusufeli.....
 
Hivi Malaika ni wa jinsia gani? kwa majina tu Gabriel,Mikael....na yule muasi Yusufeli.....

kuna MaSr. nawafaham mmoja anaitwa Gabriel na mwingine Sr. Timoth inakuwaje kuhusiana na majina yao na hao malaika
 
Dah!!,Wewe YO YO!!!
Yani spidi nimeingia kwa spidi nikiwa nimevimba kwa ajili ya kukujibu,
Lkn lol nimesoma humu na nguvu zimeniisha,
Nakutakia siku njema.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom