Wanawake sio binadamu

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Eti wanawake sio binadamu kwa kusoma vitabu vitakatifu.......Ukisoma kwa uangalifu utakuja kugundua kuwa wanawake sio binadamu ni ubavu mmoja wa mwanaume....Adamu......
 
kumbe, nilisharuka kama umenkalisha kwenye tuthipick.
Bahati yako, povu lilikokuwa nalo kama nimekunywa OMO
 
Actually watu wengi wametumia aya kutoka vitabu hivyo kuhalalisha kuwa mwanamke at least si sawa na mwanamme.
 
nadhani mambo ya kusema wanawake ni ubavu mmoja ni fikra potofu kama kweli umesoma anatomy vizuri pamoja na
physiology .... utapata majibu
 
Actually watu wengi wametumia aya kutoka vitabu hivyo kuhalalisha kuwa mwanamke at least si sawa na mwanamme.
Wewe unasemaje? mwanamke ni sawa na mwanaume? kwa misingi ipi?
 
Si watu kabisa ndio mana wana siku moja duniani,siku ya wanawake duniani kati ya siku 365 za mwaka zingine zote 364 zakwetu. Kwe kwe kwe!!
 
Wewe unasemaje? mwanamke ni sawa na mwanaume? kwa misingi ipi?

Mimi nasema si sawa na wanaume. Kwa misingi ya kuwa ukiwaangalia umbo na viungo vya uzazi havilingani

Lakini hao wanaotumia aya za biblia, wao wanaonyesha kuwa hawatakiwi kupewa haki sawa kwa vile mwanamme ni kiumbe bora kuliko mwanamke
 
Aisee wewe??!!!

Dah nilijawa na povu mbaya sana..................
Kweli umeniweza yaani leo ningekuwa NN Aisee wewe toto tundu sana kha???

Endelea na habari zako imenibidi nicheke tu
 
dah...niliandaa jibu kabla hata ya kufungua thread...Yo Yo leo ungejibeba......
 
Mmh! Hapa watu wameshikwa pabaya!
Mimi sina la kusema, sijui kwa sababu ya hang-over ya tangu juzi?
 
Aisee wewe??!!!

Dah nilijawa na povu mbaya sana..................
Kweli umeniweza yaani leo ningekuwa NN Aisee wewe toto tundu sana kha???

Endelea na habari zako imenibidi nicheke tu

mbona mmekuja na hasira, halafu mkifungua mnaishia kucheka. yo yo leo kawaweza!
 
.....PAMBUFU.....sana UNATUTIA MUNKARI WATU afu ........wewe unabahati yako
 
Duh Yo yo!!!
ah hii nimeipenda,yaan mtu unajazbika ukiona kchwa cha uzi,ukiangalia ndan tofaut na pcha ya kwanza mtu uliokuwa nayo.
 
Mimi nasema si sawa na wanaume. Kwa misingi ya kuwa ukiwaangalia umbo na viungo vya uzazi havilingani

Lakini hao wanaotumia aya za biblia, wao wanaonyesha kuwa hawatakiwi kupewa haki sawa kwa vile mwanamme ni kiumbe bora kuliko mwanamke
Je wewe si mmoja wa hao?....
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom