mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 2,331
- 4,856
Haiwezekani mpaka sasa binadamu asikijue chanzo chake, na asijue akifa anakwenda wapi? Na kwenye swali hili majibu yamekuwa mengi yenye mashaka na sio majibu halisi, basi kwa kuliona hilo nikaamua na mimi nikae niwaze kama ninavyowaza, sayansi inadai binadamu katokana na nyani, sawa vitabu vya kidini vinasema chanzo cha binadamu ni adamu na hawa, sawa na mimi nasema hivi binadamu akifa anageuka na kuwa kiumbe kingine iwe anakuwa fisi, chura, simba, nk kwahiyo leo ukifa wala usijutie jua unaenda kugeuka nguruwe au panya nina mengi ya kudhibitisha hilo ila naanda uthibitisho nitakuja hapa naimani wengi mtafunguka akili, kuna wale wenzangu na mimi wafia dini yupo tayari aue kisa dini, vuta picha mara paah umeenda kuwa nguruwe vipi Utajisikiaje? Mim naamin hizi dini ni utaratibu tu ambao binadamu kajiwekea kama wanyama porini walivyojiwekea utaratibu wao hivi unataka niambia, mbuzi ana mjua mungu vipi simba na tembo nao wanamjua mungu mbona hawaendi kusali? Unashangaa nini si viumbe wa mungu au?