Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 710
- 288
Tafiti hii ilifanyika lini na wapi? Nauliza tu
yaani Smile usishangae kabisa! thats very real na hiyo ni mwaka 2000, tayari alishakuwa punga, sasa cjui walianza lini kumshikisha ukuta, anaishi US na huwa tunawasiliana mpaka leo! ila huwa namsisitizia aache mayb atabadilika. Smile we acha tu, tena nina rafiki yangu ye kaolewa na mshkaji anagonga na anagongwa alikuja kujua wana watoto wawili kuwa bosi wake mwenyewe ndio alikuwa anampakua, wamedivorce huyo rafiki yangu amepanga kwake na wanae and life goes on!whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat??????????????????????
Smile kitu kingine nikwambie epuka sana wanaume ambao ni mahandsome kupitiliza, halafu wanafanya mazoezi ili kupoteza kuwa wao ni mapunga, na wasafi kupitiliza, yaani malotion, maperfume na madeodorant ya kufa mtu, mmmhhhhh wengi wao ni mapunga! nakwambia tu usije ukaangukia, tafuta tu mwanaume mwenye sura ya kiume, yaani nadhani unanielewa, yaani hata mkitoka inajulikana nani baba, nani mama! na first do yako na wewe kagua angles zote mpaka chamba kama marinda yamekamilika! chunga sana usije olewa na PUNGA! lol! lord have mercy!whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat??????????????????????
daaaah sasa nitamkaguaje my dear?yaani Smile usishangae kabisa! thats very real na hiyo ni mwaka 2000, tayari alishakuwa punga, sasa cjui walianza lini kumshikisha ukuta, anaishi US na huwa tunawasiliana mpaka leo! ila huwa namsisitizia aache mayb atabadilika. Smile we acha tu, tena nina rafiki yangu ye kaolewa na mshkaji anagonga na anagongwa alikuja kujua wana watoto wawili kuwa bosi wake mwenyewe ndio alikuwa anampakua, wamedivorce huyo rafiki yangu amepanga kwake na wanae and life goes on!
Ebu tupe maujanja mkuu, hiyo ya bao 1 nusu saa.
kweli kabisa wanaume wengi hatuna nguvu na inasababishwa na mambo mengi vyakula,ugumu wa maisha na wamawake wenyewe unakuta ofisin mwanmke kajaliwa hips halafu kavaa min ikiinama shida akikaa mbele yako tabu tupu sas wanaume tumeshazoea kuona maumbile ya kike kiholela kwa hiyo kunakuwa hamna cha ajabu hata hisia zinaisha zaman kuona chupi ya mwanamke ni ishu leo hii majumba chupi zote zinaanikwa sehemu moja hata ukiwa kwenye daladal lazima uone chupi in short macho yamezoea kuona maumbile ya kike ya siri ndio maana wadhungu wananyonyona sana ili kuweka ile kitu stable
Duh! Pole sana kwa mkasa. Ila kwa upande mwingine wanasaidia sana katika sekta ya usafiri sema hawana mwongozo
Ebu tupe maujanja mkuu, hiyo ya bao 1 nusu saa.
WOOORRRRDDDDDD KONGOSHO! YAANI HIYO NDIO USISEME! NI JANGA LA KITAIFA! hebu nitulie na Young_Master wangu mie! lolPoleni, afu kuna utafiti nafanya
Hata bamialiasis imeongezeka
Smile kitu kingine nikwambie epuka sana wanaume ambao ni mahandsome kupitiliza, halafu wanafanya mazoezi ili kupoteza kuwa wao ni mapunga, na wasafi kupitiliza, yaani malotion, maperfume na madeodorant ya kufa mtu, mmmhhhhh wengi wao ni mapunga! nakwambia tu usije ukaangukia, tafuta tu mwanaume mwenye sura ya kiume, yaani nadhani unanielewa, yaani hata mkitoka inajulikana nani baba, nani mama! na first do yako na wewe kagua angles zote mpaka chamba kama marinda yamekamilika! chunga sana usije olewa na PUNGA! lol! lord have mercy!
heri msiwe nazo muache uchangudoa..
hii itakuwa ni natural way ya kupunguza maambukizi mapya ya ukimwi..
ukisimamisha kimoja leo hadi mwakaniii .....safi
Wanabodi.
Kaimu Mkurugenzi msaidizi wa Kitengo cha Tiba Asilia kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Paulo Mhame amesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume.
Alisema pamoja na tatizo hilo kuwa kubwa, cha ajabu serikali bado haijakubali kutumia pesa kufanya utafiti wa kuandaa dawa ya kisasa ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume...watu wengi wanamiminika kwa waganga wa asili kusaka dawa alisema.
Mpaka sasa waganga wa jadi zaidi ya 1,000 wamejiandikisha nchini kwa wanatoa dawa za kutibu upungufu wa nguvu za kiume,