Wanabodi.
Kaimu Mkurugenzi msaidizi wa Kitengo cha Tiba Asilia kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Paulo Mhame amesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume.
Alisema pamoja na tatizo hilo kuwa kubwa, cha ajabu serikali bado haijakubali kutumia pesa kufanya utafiti wa kuandaa dawa ya kisasa ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume...watu wengi wanamiminika kwa waganga wa asili kusaka dawa alisema.
Mpaka sasa waganga wa jadi zaidi ya 1,000 wamejiandikisha nchini kwa wanatoa dawa za kutibu upungufu wa nguvu za kiume,
Pole i see kumbe na wewe jogoo hawiki kokolikoWanaume wengi siku hizi ni majoka ya Kibisa.
Watu hawajiamini,mwanamme kamili bao la kwanza ni ndani ya dakika 1 hadi tano,sasa watu wamemezeshwa sumu kwamba lazima uende nusu saa bao 1 ukienda chini ya hapo basi una upungufu wa nguvu za kiume,wanaume tujiamini,kama unataka kupiga bao moja kwa nusu saa zipo njia natural(withdrawal) na great foreplay na si kutumia madawa,achaneni na hayo madawa.
Sio majoka ya mdimu...yanazuia watu kuchukua ndimu huku wao hawawezi kula
Jamani acha hizo, dume la mbegu bao1 kwa dakika 1? hapana. mimi mpaka aombe maji ya kunywa ndipo linashuka! ha ha!
Mimi nadhani ni majoka ya kibisa kuliko ya mdimu. Joka la kibisa haliumi pamoja na kupigiwa ngoma na kushikwa shikwa na wacheza ngoma. Wakati mwingine mpaka kichwa chake kinaingizwa mdomoni mwa mcheza ngoma lakini lenyewe limezubaa tu.
punguza kashfa mkuu, unaweza kueleza bila kutumia lugha kali.
Mkuu 20-30 minutes kwa goli la kwanza si mbaya. Ajabu ni kwamba kwa dakika hizo demu wangu anakua ashapiga tatu. Inakuwaje na mabingwa wanatuambia wanawake hawafiki kirahsi?Hii ya nusu saa sijawahi kuexperience. Najua kati ya dakika kumi mpaka ishirini inawezekana kabisa na wala hauhitaji dawa yoyote. Ila inatakiwa stamina ya kutosha.
nzuri, thanks for salamuhabari yako,nakusalimia...
Niwie radhi mkuu wangu.