Ni sahihi wanaume kuambiwa nguvu za kiume ni hela

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,850
Ndugu zangu..

Kweli hela ni muhimu ila kuna mahali unafika unakujakutambua kabisa hela haiwezi kukunyanyua mjulege usimame ndindi hasa hasa kwa wale mahanithi, je ni sahihi wanaume kuambiwa nguvu za kiume ni hela hivyo tutafute hela?

Je, hii itajenga au itazidi kubomoa hawa dada zetu walioweka tamaa ya maokoto mbele na kuzidi kugandamiza wanaume kushindwa kusimamisha mjulege kwa stress za kusaka minoti nahuku wanawake wakiendelea kujiuza miili yao direct and indirect kwa kisingizio cha matunzo katika mahusiano ,uchumba na ndoa?
 
Ukisikia Demu anasema Mwanaume ni Pesa, basi tambua huyo ni Malaya almaarufu Mdangaji.

UWABATA TUNAWACHUKIA SANA WANAWAKE WA AINA HIYO NA TUMEAHIDI KUWATOKOMEZA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom