ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,557
mwalimu aliyebakwa mbona hajatajwa?
hilo linasaidia kuficha siri kwa wale wote waliokuwa wanamtani..
mwalimu aliyebakwa mbona hajatajwa?
Huyo mwalimu anafundisha biology....kama ndiyo basi walikuwa kwenye mafunzo ya vitendo
wanyongwe!!!
Wanafunzi wanane wa Shule ya Sekondari Bagamoyo wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo kujibu tuhuma za kumbaka mwalimu wao kwa zamu.
Katika kesi hiyo iliyojaza umati mkubwa wa wakazi wa eneo hilo, imedaiwa kuwa wanafunzi hao walimbaka mwalimu huyo kwa zamu na kumsababishia maumivu makali.
Mwendesha Mashtaka wa Polisi, William Mwantela alimwambia Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Said Mkasiwa kuwa wanafunzi hao walitenda kosa hilo Januari 16 mwaka huu katika mazingira ya shule hiyo.
Aliwataja wanafunzi hao kuwa ni Emmanuel Antoni, Fadhili Nassoro, Nassa Yohana, Benjamini Mhina, Yusuph Timothy, Frank Jackson, Frank Kanya na Hamisi Timbwa.
**
Mwendesha mashtaka huyo alidai mahakamani hapo kuwa tukio hilo lilitokea shuleni hapo Januari 16 mwaka huu majira ya saa 9:00 jioni.
*
Hata hivyo, watuhumiwa hao wote walikana shtaka na kesi hiyo imeahirishwa hadi Februari 29 mwaka huu baada ya mwendesha mashtaka huyo kudai kuwa ushahidi haujakamilika.
Awali kabla ya kuahirisha kesi hiyo upande wa utetezi ulimwomba hakimu kuruhusu dhamana na hakimu aliruhusu akitaka kila mmoja adhaminiwe na mtu mmoja mwenye hati na kitambulisho ambaye atasaini hati ya dhamana ya Sh2milioni.
*
Washitakiwa watatu walifanikiwa kutimiza masharti hayo ya dhamana na wako nje, lakini wengine watatano wameshindwa na kupelekwa rumande hadi kesi hiyo itakapotajwa tena siku iliyopangwa.
Sijui hizi shule zinafundisha nini kwa kweli. kuna thread ingine ya wanafunzi kumpiga mwalimu na kumtoa meno!
Yaani vijana wanane ni wengin sana kumuingilia mwana mama mmoja. Lazima huyu mwalimu angezimia kama siyo kufariki, tena vijana ambao ndio kwanza wana motomoto siyo wale wa kupiga moja pembeni kama bata.
Polisi wana kazi kubwa ya kuchunguza tusijelaumu watoto kumbe kuna kubambikiza kesi hapa.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
mwalimu aliyebakwa mbona hajatajwa?
Weka wazi, sheria ipi?Sheria haziruhusu kutaja jina la mbakwaji.
Nitacomment nikisikia utetezi wa hao vijana.
Si bure kuna kitu apo!
Hiyo shule ina msururu wa mikosi...fuatilia utakubali si kitoto.Wanafunzi wanane wa Shule ya Sekondari Bagamoyo wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo kujibu tuhuma za kumbaka mwalimu wao kwa zamu.
Katika kesi hiyo iliyojaza umati mkubwa wa wakazi wa eneo hilo, imedaiwa kuwa wanafunzi hao walimbaka mwalimu huyo kwa zamu na kumsababishia maumivu makali.
Mwendesha Mashtaka wa Polisi, William Mwantela alimwambia Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Said Mkasiwa kuwa wanafunzi hao walitenda kosa hilo Januari 16 mwaka huu katika mazingira ya shule hiyo.
Aliwataja wanafunzi hao kuwa ni Emmanuel Antoni, Fadhili Nassoro, Nassa Yohana, Benjamini Mhina, Yusuph Timothy, Frank Jackson, Frank Kanya na Hamisi Timbwa.
**
Mwendesha mashtaka huyo alidai mahakamani hapo kuwa tukio hilo lilitokea shuleni hapo Januari 16 mwaka huu majira ya saa 9:00 jioni.
*
Hata hivyo, watuhumiwa hao wote walikana shtaka na kesi hiyo imeahirishwa hadi Februari 29 mwaka huu baada ya mwendesha mashtaka huyo kudai kuwa ushahidi haujakamilika.
Awali kabla ya kuahirisha kesi hiyo upande wa utetezi ulimwomba hakimu kuruhusu dhamana na hakimu aliruhusu akitaka kila mmoja adhaminiwe na mtu mmoja mwenye hati na kitambulisho ambaye atasaini hati ya dhamana ya Sh2milioni.
*
Washitakiwa watatu walifanikiwa kutimiza masharti hayo ya dhamana na wako nje, lakini wengine watatano wameshindwa na kupelekwa rumande hadi kesi hiyo itakapotajwa tena siku iliyopangwa.
Sijui hizi shule zinafundisha nini kwa kweli. kuna thread ingine ya wanafunzi kumpiga mwalimu na kumtoa meno!
Atadhalilika in public.
mwalimu aliyebakwa mbona hajatajwa?