DOKEZO Wanafunzi Chuo cha Mwalimu Nyerere na UDSM hatujarudishiwa fedha zetu za ‘refund’ kutoka Bodi ya Mikopo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Dar es Salaam, ipo hivi, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilitoa nyongeza ya mkopo kwenye ada za Wanafunzi ambapo tayari wengine walikuwa wamelipa ada, hivyo ikabidi chuo kirudishe fedha za Wanafunzi ambao walikuwa wameshalipa ada bila kujua kutakuwa na nyongeza ya mkopo.

Vyuo vingine vilivyopata changamoto kama ya kwetu tayari vimewarudishia Wanafunzi wao hiyo ‘Refund’ lakini chuo changu hiki imekuwa ‘kasheshe’ tangu mwanzo wa mwaka huu mpaka sasa hiyo haki ya Mwanafunzi imekuwa changamoto kupatikana.

Tunaomba mkimulike chuo hiki pengine kitakumbuka kimebeba dhima kubwa ya Baba wa Taifa nakitaweza leta haki hii mahala husika maana Wanafunzi wanateseka na hela ya kujikimu wakati chuo kimekumbatia hela zao.

CHANGAMOTO KAMA HIYO IPO UDSM PIA
Wakati naandika andiko hilo nikaona kuna malalamiko yanayofanana na hayo kutoka kwa Mwanafunzi mwenzetu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, nimeona hiyo taarifa kupitia video hii ya huyu Mwanafunzi.

Wanachoweza kufanya ni gharama zote zinazofuata zikatwe kwenye hela wanazodai mpaka watakapomaliza. Watadai Baki Kama itakuwepo.

Hela huwa ni rahisi kuingia, kutoka kwake ni changamoto.
 
Ni ukweli sio uongo, tena waliambiwa waangalie kwenye account zao na hakuna kitu
IMG-20230823-WA0008.jpg
 
Ata moshi cooperative University awaja rudishiwa .vyuo vina cheza saccos hivyo
 
Karibia vyuo vingi inabidi wachunguze labda hawa wakuu kuna biashara wanazifanyia hizo pesa ,kuna ndugu yangu wa NIT aliongezewa kaniambia pesa mpaka sasa danadana mwengine SUA haki nayo hiyo hiyo.
 
Vyuo vingi kama unaendelea na mwaka mwingine wa masomo awarudishi wanaweza kwenye mambo mengine unayopaswa kulipa mwaka ufatao wa masomo
Sasa mtu kalipa zaidi ya 500k halafa kabakiza mwaka mmoja au miwili ambapo kila mwaka atadaiwa direct cost na bima jumla kama 90k..
Kwanini usimrudishie pesa yake
 
Mtu anabidi kupewa haki yake hata Kama ni 10k au 2k maana mambo ya Kesho huwa hayana maana Sana kuzidi leo Mtu anaishi Maisha Magumu bila sababu hela ni hela haya mambo yakudharau hela ndogo tunayo sisi waafrica tu.
 
Sikupingi kabisa.
Nakumbuka kuna mtu alisema wataanza kupata mwanzo wa likizo ila likizo ndio hiyo inaelekea ukingoni
 
Karibia vyuo vingi inabidi wachunguze labda hawa wakuu kuna biashara wanazifanyia hizo pesa ,kuna ndugu yangu wa NIT aliongezewa kaniambia pesa mpaka sasa danadana mwengine SUA haki nayo hiyo hiyo.
Mimi pia ni mwanafunzi mwaka wa tatu (finalist) chuo cha UDOM, hizo barua TUMEANDIKA kurudishiwa izo fedha toka mwezi wa Sita adi Leo tunaelekea kufanya graduation Hamna hata Mia iliorudishwa na tunadai parefu sana. I
 
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Dar es Salaam, ipo hivi, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilitoa nyongeza ya mkopo kwenye ada za Wanafunzi ambapo tayari wengine walikuwa wamelipa ada, hivyo ikabidi chuo kirudishe fedha za Wanafunzi ambao walikuwa wameshalipa ada bila kujua kutakuwa na nyongeza ya mkopo.

Vyuo vingine vilivyopata changamoto kama ya kwetu tayari vimewarudishia Wanafunzi wao hiyo ‘Refund’ lakini chuo changu hiki imekuwa ‘kasheshe’ tangu mwanzo wa mwaka huu mpaka sasa hiyo haki ya Mwanafunzi imekuwa changamoto kupatikana.

Tunaomba mkimulike chuo hiki pengine kitakumbuka kimebeba dhima kubwa ya Baba wa Taifa nakitaweza leta haki hii mahala husika maana Wanafunzi wanateseka na hela ya kujikimu wakati chuo kimekumbatia hela zao.

CHANGAMOTO KAMA HIYO IPO UDSM PIA
Wakati naandika andiko hilo nikaona kuna malalamiko yanayofanana na hayo kutoka kwa Mwanafunzi mwenzetu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, nimeona hiyo taarifa kupitia video hii ya huyu Mwanafunzi.

Ata sisi UDOM hatujarudishiwa izo pesa na barua tuliandika tok mwez wa Sita ad Leo tunaelekea kumaliza hamna Ata Mia tuliopata
 
Mimi pia ni mwanafunzi mwaka wa tatu (finalist) chuo cha UDOM, hizo barua TUMEANDIKA kurudishiwa izo fedha toka mwezi wa Sita adi Leo tunaelekea kufanya graduation Hamna hata Mia iliorudishwa na tunadai parefu sana. I
Uongozi wa wanafunzi vyuoni na TALIHISO wangeshirikiana vyema katika jambo Hill na kuleta shinikizo vyuoni katika uongozi wa chuo kidogo ingeleta ahueni, lakini wamekaa tu kama machawa huku wakichukulia vitu simple.
 
Ata sisi UDOM hatujarudishiwa izo pesa na barua tuliandika tok mwez wa Sita ad Leo tunaelekea kumaliza hamna Ata Mia tuliopata
At least wangetoa muongozo rasmi sababu za kuchelewa hizo pesa na maturation lining ili kutoa mkanganyiko ila wanavyokaa kimya watu wanaweza kuwadhania dhana mbaya .
 
Uongozi wa wanafunzi vyuoni na TALIHISO wangeshirikiana vyema katika jambo Hill na kuleta shinikizo vyuoni katika uongozi wa chuo kidogo ingeleta ahueni, lakini wamekaa tu kama machawa huku wakichukulia vitu simple.
Jumuiya za wanafunzi vyuoni saivi ni takataka, vyuo vinawafanyia wanafunzi wake upumbavu unaotaka wakijua hamna wa kuwatetea.
 
Back
Top Bottom