mimi ni mwalimu wa shahada natafuta
mwalimu yeyote anayetaka kuja halmashaur
ya urambo tabora.
VIGEZO.
1. Awe mwalimu wa Sekondari
2. Awe anatoka wilaya ya KOROGWE.
Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba
zifuatazo.
0757 400 801
0764 458 502
 
me mwl nipo kilosa -morogoro natafuta mwl wa kubadilishana naye toka mbeya wilaya zote isipokua chunya na ileje idara sec 0758203473/078959055
 
mi np dodoma, wilaya ya mpwapa..mwalimu waa shule ya msing aliyepo kilimanjaro au tanga tubadilishane kitue.nichek 0713022370
 
Habari ndugu wanajf, mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari,nipo Simanjiro Wilayani natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo kutoka Mwanza jiji, Geita mjini, Morogoro mjini na Kagera (Bukoba mjini) kwa alie tayari tuwasiliane kupitia 0713173873
 
Mimi nipo Simanjiro wilayani, aliyeko Mwanza jiji, Morogoro mjini, Geita mjini au Kagera (Bukoba mjini) tuwasiliane kupitia 0713173873
 
mwl mbona unazingua??iyo tigo yako aipatikani,au rombo amna network??nenda shinyanga nikupe m2 right now,
 
natafuta mwl wa kubadilshana toka mbeya wilaya ya rungwe tu aje moro kilosa advantage nina refalii yupo huko idara sec 0789599055
 
natafuta mwl wa kubadilishana kituo ambaye yupo mbeya rungwe tu aje morogoro kilosa ,advantage nina mtu mkubwa yupo huko wilayan itakua rahis sn kubadilishana na nimeshaongea naye tayar 0717174748
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi.

Mimi nipo Kilindi-TANGA, natafuta mwalimu anayehitaji kuja huku aliyeko mikoa ya PWANI, MBEYA, IRINGA au RUVUMA.

Nitumie PM. Karibu.
 
Back
Top Bottom