mwalimu wa sekondari, aje mkoa wa geita wilaya ya geita, shule iko karibu na mji, dk 10 kwa gari kufika shuleni, iko barabarani,. Atokee mikoa ya pwani au zanzibari.
kwa mawasiliano 0753064252
 
Yupo Mwl wa Msingi aliyerudishwa juzjuz kutoka secondary kwend msingi anatafuta mwalimu anayetaka kuhama kuja msingi tokea secondary popote pale Tanzania atafanya kazi. Yeye yupo Muleba Kagera.
 
Natafuta mwl wa kuja wilaya maswa simiyu miniende kasulu mji kigoma idara ya msingi simu 0672533492
 
Nina ndugu yangu in mwl huko Kilimanjaro anatafuta MTU was kubadilishana kituo cha kazi yeye aje Arusha(Meru) au Arusha Dc unaweza nitext kwenye 0766024344 nikuunganishe naye.
 
Mtu aje biharamulo niende mbeya wilaya yeyote, iringa wilaya yeyote, njombe wilaya yeyote au songea wilaya yeyote! idara ya elimu sekondari -masomo ya sanaa.Asante kwa ushirikiano
 
Mwl wa secondary tabora manispaa nataka mwalimu wakubadilishjna kutoka Morogoro manispaa au wılay y kilombero no 0719297747
 
Back
Top Bottom