Kwa mwalimu yeyote idara ya sekondari aliyetayari kufanya kazi wilaya ya NEWALA-MTWARA kutoka mikoa ya MBEYA, NJOMBE na IRINGA tubadilishane. Mawasiliano.0759410327
 
Tusidanganyane hapa! "Kitanzania" ndio nini? Na kwa sheria gani inayosema ni mke tu ndiye anayetakiwa kumfuta mume? Mkuu unazungumzia mazoea kama vile ndio sheria. Yeyote anaweza kumfuata mwenza wake. Achana na mazoea ya kizamani ambapo wake wengi walikuwa ni wamama wa nyumbani na wale waliokuwa waajiriwa wengi wao walikuwa katika kazi za nursing na ualimu.

Nipo Mtwara manispaa. nataka wa kubadilishana naye toka Moro manispaa. Idara sekondari. contacts 0765-057495
 
Back
Top Bottom