Anayetaka kuja mwanza, mimi nije wilaya za kyela au mboz au mbarali au wilaya ya mbeya vijijin au mbeya manispaa au rungwe. Idara sec. 0763 24 36 24 au 0788 98 35 97
 
Mwalimu wa shule ya MSINGI yuko SENGEREMA -mwanza anaomba mtu wa kubadilishana Nae alioko MOROGORO MJINI au popote au mkoa wa PWANI kwa mawasiliano no.0786338475.
 
Ndugu walimu wenzangu, nipo HALMASHAURI YA MJI MASASI. Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi(Idara ya Elimu Sekondari) katika MKOA WA MOROGORO hasa MANISPAA YA MOROGORO(Wew uje Mji Masasi mimi nije morogoro manispaa au wilaya yoyote katika mkoa wa mororgoro. Ni pm tuwasiliane
 
Mwl yupo Rukwa idara mcng anatafuta wa kubadilidhana kutoka mikoa ya
Mbeya
Njombe
Iringa
Morogoro
0689976850
 
Natafuta mtu wa kubadirishana nae mim nipo geita nataka kwenda morogoro kama kuna mtu yupo interested an pm. nafundisha secondary
 
njoo kasulu nije kaskazini .IDARA YA MSINGI
KILIMANJARO
ARUSHA
MANYARA
BABATI
TANGA
MOROGORO
0753045623////0784623525
 
Njoo kasulu mjini nije kaskazini .IDARA YA MSINGI
KILIMANJARO
ARUSHA
MANYARA
BABATI
TANGA
MOROGORO
0753045623////0784623525
 
Mm mwl idara sekondori manispaa ya tabora naomba kubadilisha ns mwl yeyote aliye mkoa wa morogoro, dares salaam, au arusha
 
Namba 075763953 mm ni mwl niko manispaa tabora idara ya sekondari nataka kubadilishana na mwl yeyote idara ya sekondar aliyeko mkoa wa morogoro, dares salaam au arusha
 
Anayetaka kuja mwanza, mimi nije wilaya za kyela au mboz au mbarali au wilaya ya mbeya vijijin au mbeya manispaa au rungwe. Idara sec. 0763 24 36 24 au 0788 98 35 97
 
Habari Zenu Wapendwa

Nafuta mwalimu wa Secondary wakubadilishana kituo cha kazi, awe yupo mkoa wa Daresalaama anayehitaji kuhamia Arusha, nafundisha shule ya Elioti Arusha

Tuwasiliane kwa 0682013841

Thanks
 
Back
Top Bottom