NJOO KASULU MJINI NIJE KWETU KASKAZINI WILAYA YOYOTE
kilimanjaro
Arusha
Manyara
Tanga
IDARA YA MSINGI 0753045623///0784623525
 
njoo kasulu mjini nije kwetu kaskazini wilaya yoyote.
KILIMANJARO
ARUSHA
MANYARA
TANGA
idara ya msingi 0753045623///0784623525
 
NJOO KASULU MJINI NIJE KWETU KASKAZINI WILAYA YOYOTE
Kilimanjaro
Arusha
Manyara
Tanga
IDARA YA MSINGI 0753045623///0784623525
 
Njoo handeni Tanga nije
Mkuranga
Temeke
Ilala
Kinondoni
Bagamoyo
Kisarawe
Idara sec
0786475050
0715475050
 
Jamani naomba nirudie tena, kwa yeyote aliyopo mikoa ya Njombe, iringa, Mbeya na Morogoro na anataka kuja Singida idara ya sekondari tuwasiliane kwa namba 0758555039
 
Nipo rorya Mara njoo nije Moro, Kilm au Pwani lengo ni kuwa karibu na familia ipo Tanga.. (Sekondari ajira mpya) 0653785778
 
mwl stanley sambikonongo wa elimu msingi,njoo halmashauri ya busokelo(rungwe) nije halmashaur ya dodoma manispaa, morogoro manispaa au kibha
 
mwl stanley sambikonongo wa elimu msingi,njoo halmashauri ya busokelo(rungwe) nije halmashaur ya dodoma manispaa, morogoro manispaa au kibha,0755633753
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

mwalimu idara ya msingi njoo mkuranga hapa pwani nije mtwara manispaa.....
 
wewe ni mwalimu (msingi, sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na jamiiforums ni kwa pm (private messages) ndani ya jf - kwa usalama wako na usiri zaidi.

muhimu:
ni vema kusema upo wapi na ungependa kwenda wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

Jamiiforums



nipo mkoa watabora
wilaya ya kaliua
kata ya usinge
idara ya msingi

kituo kipo centre kabisa

nahitaji kwenda wilaya yoyote katika mikoa ya

iringa
njombe
mbeya

nitafute kwa pm au no 0763930623
 
Back
Top Bottom