Ndugu Wanabodi,

Mwalimu Albert Abraham Kuvunga anayefundisha shule ya Sekondari katika wilaya ya Serengeti mkoani Mara anatafuta Mwalimu mwenzake anayefundisha wilaya yeyote mkoani Kilimanjaro wabadilishane vituo vya kazi. Anapatikana kwa namba za simu 0754990507 au 0712919669.
Asanteni
 
Njoo tabora urambo nije
Dodoma,
Kilombero
Kilosa
Gairo
Mvomero
Morogoro vijijin
Moro town
Mufimdi
Kilolo
Rungwe
Busokelo
Rungwe
m
Mbarali
Njombe
Makambako
Dar es salaam wilaya yoyote
Kilwa
Bagamoyo
Chalinze
Mkuranga
Kisarawe. nk
Idara ya secondari kama upo tayari nichek
0686687221
 
Njoo tabora urambo nije
Dodoma,
Kilombero
Kilosa
Gairo
Mvomero
Morogoro vijijin
Moro town
Mufimdi
Kilolo
Rungwe
Busokelo
Rungwe
m
Mbarali
Njombe
Makambako
Dar es salaam wilaya yoyote
Kilwa
Bagamoyo
Chalinze
Mkuranga
Kisarawe. nk
Idara ya secondari kama upo tayari nichek
0686687221
 
Mwl JOFREY wa sec yupo MAKETE-NJOMBE anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka MBEYA POPOTE kasoro IREJE na CHUNYA.
NO:0752020091/0672109743
 
hapo sio kwenu kwani.

Yani mna ukabila ni bora mngeenda kenya,rwanda,burundi ndo zinawafaa.dhambi ya ubaguzi itawatafuna mpka kwenye familia mana ukisema north huyu atadai natokea arusha nawe moshi,mkiwa moshi huyu atadai kwetu ni old moshi,huyu himo,kibosho au mkuu na mkiwa mkuu huyu atadai mie wa mashati,mie mkuu,mie wa kikelelwa,mkiwa mashati mtaanza mie wa koo hiii na huyu wa koo ile mtabaguana mpka mtaanza mie mromani wewe mwislamu.

Ila ndo mlivyo mna damu ya kikenya ya kibaguzi na kupenda hela kuliko mtu

sasa umekosa cha kuandika au mwl mzma ..zingatia haiba jitambue bac.
 
Naitwa mwal. Victoria Shayo nataka kubadilishana kituo na mwalim yeyote wa ngaz y sekondar aje Rungwe mm niende Mbeya jiji, shule ipo barabaran kuna huduma zote za jamii kama umeme, maji, barabara n.k!
 
Naitwa mwal. Victoria Shayo nataka kubadilishana kituo na mwalim yeyote wa ngaz y sekondar aje Rungwe mm niende Mbeya jiji, shule ipo barabaran kuna huduma zote za jamii kama umeme, maji, barabara n.k!

No. O714212223
 
NJOO KASULU MJINI NIJE KWETU KASKAZINI WILAYA YOYOTE.
kilimanjaro
Arusha
Manyara
Tanga
idara ya msingi 0753045623/0784623525.
 
Mwalimu kutoka Bukoba anatafuta mtu wa kubadilishana kituo, idara sekondari kwa aliyetayari kutoka mkoa wa Tanga, pwani na kilimanjaro. Namba za simu 0687766115.
 
Back
Top Bottom