Mwalimu anaetaka kuja NEWALA mtwara idara msingi tuwasiliane ila awe anatoka Morogoro,Iringa,Njombe,Mbeya na Rukwa katika wilaya yoyote kwa mikoa hiyo 0689976850 au 0768948179
 
Mwl wa Secindary anahitaji kuhama kutoka Monduli Arusha kwenda Mwanza. Ilemela au Nyamagana.

Kama uko mwanza unahitaji kwenda Monduli Ni PM
 
kwa yule aliyeko moshi Arusha na manyara.anataka kuhamia tabora wilaya ya uyui idara ya msingi awasiliane nami kwa na 0782 054 153
 
Back
Top Bottom