Njoo NEWALA-MTWARA idara ya sekondari mimi nije TANGA wilaya yoyote;TANGA JIJI,MUHEZA,HANDENI,LUSHOTO,KILINDI,KOROGWE AU BUMBULI.Kwa mawasiliano nicheki ktk namba 0783677207,0767665619 au 0717765619.
 
Mimi mwl sinde wa tabora manispaa natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi,napendelea kwenda dar,moro au pwani.....nitumie sms 0766708651.
 
njoo newala,me nije mbeya halmashauri yoyote ile au sumbawanga mjini.idara ya secondary.ni check kwa 0765816326/0788399369
 
njoo newala mtwara,na mimi nije mbeya wilaya yoyote ile au sumbawanga mjini.idara ni elimu sec.ni check kwenye 0788399369 au 0765816326
 
Mwl msingi/sekondari njoo rukwa kalambo tuje mbeya vijijin,mbeya mjin,momba,tukuyu na mbozi tuwasiliane 0762186070
 
Njoo Kondoa idara ya msingi mi nije Kilimanjaro, Tanga au Arusha wilaya yoyote ni PM au tumia 0683212588
 
Wadau kwemaa? kama we ni mwalm idara ya msingi na unapenda kufanyia kaz shy (v) tokea mwanza (nyamagana, ilemela au sengerema) npm faster au 2mia 0762600121
 
kwa mwalm ulyepo morogoro au kibaha na unapenda kubadilishana kituo cha kaz kuja shy (v), changamkia fursa kwa kumtafuta mwenzio kupitia 0714667046 au 0755784435 (idara ya msingi
 
KWA MWALIMU ANAE TAKA KUJA SONGEA MKOA WA RUVUMA.
Idara ya msingi....!.
TOKEA MIKOA IFUATAYO.
1.TANGA.
2.PWANI.
3.MOROGORO.
4.KILIMANJARO.
Mimi nije mkoa wowote kati ya hiyo.
Mawasiliano.
0787552918 na 0713552918
 
NJOO ARUSHA-ngorongoro idara ya sec kutoka mbeya mjn au kyela,moro mjn au ifakala,chalinze,kibaha,mkuranga,kisarawe,bagamoyo au lushoto.ni pm au 0766723300.
 
Back
Top Bottom