Mkuu kwann usiwe mpole kama ushakamilisha kumbuka Kuna wenzio ata jina halijaenda Tamisemi bado anahangaika na mifumo
Km upole inatosha boss mana nimebadilishana na mtu tokea february2023 lkn mpk leo jina halijatoka kumbuka kwamba mtu akiomba uhamisho nikwamba anachangamoto
 
Km upole inatosha boss mana nimebadilishana na mtu tokea february2023 lkn mpk leo jina halijatoka kumbuka kwamba mtu akiomba uhamisho nikwamba anachangamoto
Sasa utafanya nn ndugu! La msingi ni kufuta subira tu! Na kama unaweza nenda mwenyewe Tamisemi dodoma
 
NJOO NZEGA NIJE MBEYA SONGWE IRINGA NJOMBE SONGEA HALMASHAUR YEYOTE IDARA SEKO MASOM YA SANAA 0629105649
 
Alofanikiwa kwenye mfumo sje hapa atoe ushuhuda,mi nataka nianze upya make ya barua mkononi wameamua kuweka kapuni
 
Wanaukumbi hivi safari hii mbona mkeka wa majina ya uhamisho hautoki?make naona watu wanapata vibali kimyakimya tu
 
Njoo mwanza sengerema_Buchosa nije Dodoma, Pwani Tanga (korogwe,mkinga,handeni na kilindi. Idara uwalimu shule yamsingi
Piga 0679380536
 
Back
Top Bottom