Jiang Yang
Senior Member
- Jul 18, 2012
- 182
- 111
- Thread starter
- #61
mnajipa moyo lazma ulichemsha six ndo maana hukusoma ud
majibu kama haya yanadhihirisha ukweli wa Hoja iliyopo.
mnajipa moyo lazma ulichemsha six ndo maana hukusoma ud
Well said kiongozi nipeukweli.
Nadhani watoto watakuwa wamekuelewa vyema. Kwamba shule si chuo bali bongo yako mwenyewe!!
Wanafunzi wanaochukua degree za Engineering toka D.I.T inaaminika wako nondo kwa suala zima la practical, ukilinganisha na wanafunzi toka vyuo vingine vya serikali ikiwemo UDSM ambao inaaminika wao kwa theory ni noma. Hili pia limethibitishwa na mwanafunzi wa UDSM aliyewahi kukutana field na wanafunzi wa D.I.T na alikiri kuona utofauti mkubwa. Unakubaliana na hili?
Kwa nini iwe DIT na UDSM usiseme DIT na ST JOSEPH COLLEGE OF ENGINEERING au UDSM na MIST au na chuo kingine chochote cha elimu ya JUU?
mnajipa moyo lazma ulichemsha six ndo maana hukusoma ud
Hizo ndizo zilikuwa shule maalumu enzi hizo kwa ajili ya kuandaa Wahandisi.\
Nisamehe mkuu, lakini Moshi Tech nayo imo kwenye list. Ni kupitiwa tu
Lengo la elimu ya juu siyo kumfanya mhitimu awe fit practically. Unaposoma elimu ya juu unatakiwa kuijua field husika kwa undani iwezekanavyo na hivyo kuwa na muda mdogo wa practicle. Kuboresha practice is a life long process katika profession. Ukikosa details ya msingi katika hiyo profession huwezi kuwa na mchango katika kuiendeleza profession kiutafiti, kwa sababu ili ufanye utafiti ni lazima ujue kwanza wenzako wameishia wapi.
Umenikumbusha wale clinical officers ambao mwaka wa kwanza tu wnaaanza kujifunza dozi za dawa, baada ya miaka mitatu wanaachiwa vituo waongoze wakati mwanafunzi wa medicine mpaka mwaka wa tatu ndio anaanza kumgusa mgonjwa. Ukiwachukua hawa utasema CO yuko fit zaidi, lakini only in the beggining, after 10 years utakuta tofauti kubwa sana kati ya MD na CO. The same applies kwenye engineering.
Siku ina masaa 24, sasa ni choice ya curiculum kama itayatumia masaa hayo kumfundisha mwanafunzi fundamentals ya somo au itamfundisha moja kwa moja kuwasha mtambo na kuendesha.
Kwa nini iwe DIT na UDSM usiseme DIT na ST JOSEPH COLLEGE OF ENGINEERING au UDSM na MIST au na chuo kingine chochote cha elimu ya JUU?
Lengo la elimu ya juu siyo kumfanya mhitimu awe fit practically. Unaposoma elimu ya juu unatakiwa kuijua field husika kwa undani iwezekanavyo na hivyo kuwa na muda mdogo wa practicle. Kuboresha practice is a life long process katika profession. Ukikosa details ya msingi katika hiyo profession huwezi kuwa na mchango katika kuiendeleza profession kiutafiti, kwa sababu ili ufanye utafiti ni lazima ujue kwanza wenzako wameishia wapi.
Umenikumbusha wale clinical officers ambao mwaka wa kwanza tu wnaaanza kujifunza dozi za dawa, baada ya miaka mitatu wanaachiwa vituo waongoze wakati mwanafunzi wa medicine mpaka mwaka wa tatu ndio anaanza kumgusa mgonjwa. Ukiwachukua hawa utasema CO yuko fit zaidi, lakini only in the beggining, after 10 years utakuta tofauti kubwa sana kati ya MD na CO. The same applies kwenye engineering.
Siku ina masaa 24, sasa ni choice ya curiculum kama itayatumia masaa hayo kumfundisha mwanafunzi fundamentals ya somo au itamfundisha moja kwa moja kuwasha mtambo na kuendesha.
Acha fikra ndogo tofautisha medicine na Engineering umekariri pia kumbuka tunarumbana kuhusu Bachelor holders si vinginevyo ingekuwa Technicians na Engineers ningekubaliana na wewe
Acha fikra ndogo tofautisha medicine na Engineering umekariri pia kumbuka tunarumbana kuhusu Bachelor holders si vinginevyo ingekuwa Technicians na Engineers ningekubaliana na wewe
Udsm wana ideology za ku-FIND JOBS.
D.I.T wana ideology za ku INVENT JOBS
basi! inawatosha.........
Ile ya Dar tech inaitwaje tena? Ntampigia Prof Nyahumwa anikumbushe maana ile ya UDSM ilikuwa BSC kama sikosei. Guys malengo ya hizo degree mbili mnayajua?
Hivi ud wana hatimiliki ya maisha bora baada ya kumaliza chuo?
Acha fikra ndogo tofautisha medicine na Engineering umekariri pia kumbuka tunarumbana kuhusu Bachelor holders si vinginevyo ingekuwa Technicians na Engineers ningekubaliana na wewe
ha ha ha. DIT mnajidanyanya. ni practical gani zinazowafanya muwe juu. Kwanza DIT hamproduce real engineers.
UDSM tupewa Bachelor of science in engineeering while in dit bachelor of engineering . hivi ni vitu viwili tofauti. Our
carriculum is heavy and practical. Tukizungumzia lab kubwa kabisa tanzania ni hizi:
-MECHANICAL LAB- namba moja ni udsm( kila testing ya meh.equipment nchi hii inafanyika pale na wanafunzi kwa
kiasi kikubwa wanafanya hizo.) hakuna kiwanda wala institution yenye lab kubwa kuliko hizi nchi hii
-ELECTRICAL LAB - HIGH VOLTAGE LAB( UDSM ranked number 1 in east africa)
-ELECTRICAL MACHINES LAB(Number 1 in TZ)
-POWER ELECTRONICS LAB( Number one in TZ)
-CHEMICAL ENGINEERING LAB- kwa tanzania hii ndo maabara ya kuaminika, kabla ya kuletwa maabara ya mkemia mkuu, majaribio yote NCHI HII yalifanyika UDSM.Na hizi ni kwa ajili ya wanafunzi na matumizi ya ndani ya nchi
-CIVIL ENGINEERING LAB- udongo WA kila barabara unayotembea we kilaza wa DIT unapimwa kwenye lab hii.
-ELECTRONICS LAB- ( NUMBER 1 IN ALL INSTITUTION IN THIS COUNTRY)
-COMPUTER LAB- NI OVIASI HAKUNA CHUO HAPA TANZANIA CHENYE COMPUTER NYINGI KUZIDI UDSM
.
NISIWAANDIKIE GAZETI- IN PRACTICAL SENSE NO OTHER INSTITUTION HAVE QUALITY LABS AND EQUIPMENT THAN UDSM.
kusoma ramani its not a technical aspect- UDSM IS THE CORE OF TECHNOLOGY IN THIS COUNTRY