Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering

ha ha ha. DIT mnajidanyanya. ni practical gani zinazowafanya muwe juu. Kwanza DIT hamproduce real engineers.

UDSM tupewa Bachelor of science in engineeering while in dit bachelor of engineering . hivi ni vitu viwili tofauti. Our

carriculum is heavy and practical. Tukizungumzia lab kubwa kabisa tanzania ni hizi:

-MECHANICAL LAB- namba moja ni udsm( kila testing ya meh.equipment nchi hii inafanyika pale na wanafunzi kwa

kiasi kikubwa wanafanya hizo.) hakuna kiwanda wala institution yenye lab kubwa kuliko hizi nchi hii

-ELECTRICAL LAB - HIGH VOLTAGE LAB( UDSM ranked number 1 in east africa)
-ELECTRICAL MACHINES LAB(Number 1 in TZ)
-POWER ELECTRONICS LAB( Number one in TZ
)

-CHEMICAL ENGINEERING LAB- kwa tanzania hii ndo maabara ya kuaminika, kabla ya kuletwa maabara ya mkemia mkuu, majaribio yote NCHI HII yalifanyika UDSM.Na hizi ni kwa ajili ya wanafunzi na matumizi ya ndani ya nchi

-CIVIL ENGINEERING LAB- udongo WA kila barabara unayotembea we kilaza wa DIT unapimwa kwenye lab hii.

-ELECTRONICS LAB- ( NUMBER 1 IN ALL INSTITUTION IN THIS COUNTRY)

-COMPUTER LAB- NI OVIASI HAKUNA CHUO HAPA TANZANIA CHENYE COMPUTER NYINGI KUZIDI UDSM
.
NISIWAANDIKIE GAZETI- IN PRACTICAL SENSE NO OTHER INSTITUTION HAVE QUALITY LABS AND EQUIPMENT THAN UDSM.
kusoma ramani its not a technical aspect- UDSM IS THE CORE OF TECHNOLOGY IN THIS COUNTRY

je watendaji wapo? Au siasa imetawala?
 
Mkuu huo ndo ukweli kwan kipind nikiwa diplomaa dit mwaka wa pili nilikutana na jamaa wa ud akiwa degree mwaka wa 2 nae 2po field 1 hajui hata kusoma ramani ttizo ud wanajiona sana na wakati kuna mainginia waukweli 2 kutoka vyuo hivyo vya fund

waache waendelee na ideology zao et! UDSM ndo smart kuliko vyuo vyote.
 
Hili limeongelewa sana humu fanya search. Kwa kifupi hakuna michango ya maana maana kila wa UDSM anaona ametukanwa ukisema hivyo, tunakosa discussion ya maana.

Training yoyote huwa ina malengo fulani inayotaka kuyafikia. We have to compare apples with apples ili tuwe sahihi.Sasa Dar tech wanafundihwa na kupewa mafunzo ya vitendo ili wafanye nini na wale wa UDSM nao wanafundishwa na kupewa mafunzo ya vitendo kwa ajiri ya kufanya nini. Mimi naona uzuri wa mtu uko binafsi zaidi kuliko huu wa kutoa kwa mafungu au jumla jumla.
 
Wanafunzi wanaochukua degree za Engineering toka D.I.T inaaminika wako nondo kwa suala zima la practical, ukilinganisha na wanafunzi toka vyuo vingine vya serikali ikiwemo UDSM ambao inaaminika wao kwa theory ni noma. Hili pia limethibitishwa na mwanafunzi wa UDSM aliyewahi kukutana field na wanafunzi wa D.I.T na alikiri kuona utofauti mkubwa. Unakubaliana na hili?

Kwanini unataka kila mtu aamini mambo yako hivyo? Maana mimi technicians wangu wazuri ni watu wa Dar Tech...designers na consultants ni watu wa UDSM. labda utanibadili mawazo leo.....
 
nakubaliana na wewe kwa 96% hata hapa ulipotolea mada hii ni elimu nzuri ya DIT ,najua hata Maxence Melo angesoma huko UDSM tusingekuwa na JF leo hii,wanawapa watu BASIC NZURI SANA ,
 
Last edited by a moderator:
kwa maelezo na Theory tu! Udsm mnatisha.
Mambo yanabadilika ukiritimba sio mpango. Na huu ni mwanzo tu, vyuo vingi vinakuja juu, at the end mtabaki na jina tu

Ushawahi kukaa kwenye panel ya interview kwa wanaotafuta ajira? Hivi suala la umesoma chuo gani linapewa uzito kama wewe mwenyewe utakavyoweza kujiuza? You are missing a point...wakati tunasoma engineers walikuwa wanajiita vipanga sana....as we move along mambo yanakuwa tofauti kabisa. Engineers ndio wanaolalamika sana kama hawatambuliwi. Unajua ni kwanini? Kupenda sifa bila kutambua kwamba professional yoyote ile inahitaji individuaal aifanyie kazi....tusianze kudanganyana hapa kusoma wapi au wapi ndio kutakufanya uwe mambo safi
 
....tusianze kudanganyana hapa kusoma wapi au wapi ndio kutakufanya uwe mambo safi

sasa UDSM waachane na fikra za kuwa ubora wa chuo na jina la chuo ni reason ya kudhani wao ni smart kuliko vyuo vingine na hii iwe challenge kwao, sio waite vilaza, wakati mambo yanaonekana wazi.
 
sasa UDSM waachane na fikra za kuwa ubora wa chuo na jina la chuo ni reason ya kudhani wao ni smart kuliko vyuo vingine na hii iwe challenge kwao, sio waite vilaza, wakati mambo yanaonekana wazi.

Ubora ujenge mwenyewe. Be a competent person. Ukianza kuangalia sana mambo ya jumla jumla ukasahau yanayokuhusu mwenyewe moja kwa moja jua fika unapoteza muda. Nasikitika kuona engineers wengi walivyopoteza mwelekeo. We nenda kwenye halmashauri ukajionee mambo yalivyo utacheka.
 
Ubora ujenge mwenyewe. Be a competent person. Ukianza kuangalia sana mambo ya jumla jumla ukasahau yanayokuhusu mwenyewe moja kwa moja jua fika unapoteza muda. Nasikitika kuona engineers wengi walivyopoteza mwelekeo. We nenda kwenye halmashauri ukajionee mambo yalivyo utacheka.

si unaona serikali yako inatupa priority ya mkopo! Naona inataka kurudisha mwelekeo huo uliopotea kwa engineers.
 
Back
Top Bottom