tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Bora mkuu umetoa facts kwa hawa vijana. Wanagombania chuo gani zaidi...teh teh teh! Wakati kila training inaandaa mtu kwa ajiri ya kazi maalumu na sio kufanya kila kitu kama mnavyotaka tuamini hapa. Kwenye design na consultancy, UDSM wako njema sana. Ila kule kwenye kufunga na kufungua DIT wako well organized. Na ndio sababu ya kuwa na vyuo hivyo viwili. Isipokuwa wanatakiwa kujua ni lazima washirikiane ili kusaidia walengwa bila mizengwe...wao wanatafuta nani bora zaidi. Duuuh
mkuu ambaye hajaelewa hapo kwenye red ana matatizo
UDSM wanafundishwa kufikiri wakati hao DIT wanafundishwa kuwa mafundi...hata hawawezi kufanana.