Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Watu wa uhandisi. Hebu acheni kubishana. Tuna kazi kubwa sana za kufanya zaidi ya kubishana. Wahandisi hutenda zaidi ya kuongea, hucalculate zaidi ya kuandika, hureason zaidi ya kushangaa, hutafuta solution badala ya kurepair problems. Kama Tz haina wahandisi basi pia haina madaktari, wahasibu, walimu et el bali ina wanasiasa na wezi watupu! Chezeya engineering wewe, watakucheka watu!