Wahandisi wa Tanzania baada ya miaka 50 ya uhuru

Watu wa uhandisi. Hebu acheni kubishana. Tuna kazi kubwa sana za kufanya zaidi ya kubishana. Wahandisi hutenda zaidi ya kuongea, hucalculate zaidi ya kuandika, hureason zaidi ya kushangaa, hutafuta solution badala ya kurepair problems. Kama Tz haina wahandisi basi pia haina madaktari, wahasibu, walimu et el bali ina wanasiasa na wezi watupu! Chezeya engineering wewe, watakucheka watu!
 
NN,

Watu kama akina Mponzi wa iliyokuwa MECCO, ndiyo walichora na kusimamia ujenzi wa BoT zamani na Soko la Kariakoo.

Mecco hiyo hiyo ilipoingiliwa na Mafisadi, imebaki mifupa mitupu.

Kuna Ngosha mmoja kutoka Tabora, alidesign bwawa la maji USA na akashinda katika washindani. Leo hii yupo Tanzania anafundisha wanafunzi tuition tu.

Kuna mtu kama Dr. Bamwenda ambaye alijadiliwa sana hapa JF, amefanya kazi kibao kama Mkemia nchi za Japan na Canada. Kaja Tanzania akaonekana ni mchovu tu. Sina uhakika kwa sasa yupo wapi.

Kuna mshikaji mmoja yupo mikoani huko na jamaa ni Traffic Engineer mzuri tu. Foleni Dar kibao na yeye hana kazi maana watu kama Lowassa ndiyo wanaamua kuwa wapangaji wa magari barabarani.

Mnara wa kuongozea meli wa bandarini Dar
, umefanywa/jengwa kwa asilimia 100 na Watanzania.

Mabank mengi kwa sasa yana wahandisi wa Kitanzania na IT wameshika vijana kadhaa ambao nawafahamu kama wahandisi na hata BoT nako wapo. Haya mabadiliko unayoyaona ni wao.

JAMIIFORUMS, kwa asilimia kubwa ni Wahandisi wa Tanzania.

Kuna machinjio kubwa inajengwa Ruvu, meneja wa mradi ni Mhandisi na ni Mtanzania ambaye pia alichora lecture room mpya ya UDSM ambayo hadi leo hii wanafunzi wanatumia, ingawa utaona ni kampuni iitwayo NOREMCO ambako yeye alikuwa akifanya kazi.

Kale nako kakujisifia? Halafu nakataa sio 100% meza za kuchorea zilikuwa za Kitanzania? kalamu za kuchorea? makaratasi? kompyuta na software zake? vifaa vyote mule? Usijidai 100%, futa hiyo:

Tufanyieni kitu kama hii 100%: tuwasifu:
central_chinese_television-cctv_beijing.jpg

porojo kawaida yako wewe ... NAMTAENDELEA KUONGEZEA BEI ZA UMEME BARABARA MBOVU NA MIND SET ZENU ZA WAHANDISI WAKITANZANIA NI WAZUGAJI[/QUOTE

tatizo kubwa nnaloliona ni wivu!kama vp somen nanyi muwe wahandc!nchi imejaa siasa kaz za kihandc zmeingliwa na politic!unaweza kuambiwa ufanye kaz wkt fedha ndogo kumbe mwenzio analenga kupata kur ukifanya lazma iwe mbovu tu maana sehem ya nondo 4 ukiweka 2 unategemea nini?
 
Am a Tanzanian Mining Engineer, i do designing and planning of mine excavations to meet production targets and run the mine profitably. Ulitaka nifanye nini zaidi ufurahi??? Nadhani huelewi kazi na wajibu wa wahandisi, labda ni mmoja wa watanzania walioathiriwa na siasa. Our job is purely professional!
 
Kale nako kakujisifia? Halafu nakataa sio 100% meza za kuchorea zilikuwa za Kitanzania? kalamu za kuchorea? makaratasi? kompyuta na software zake? vifaa vyote mule? Usijidai 100%, futa hiyo:

Tufanyieni kitu kama hii 100%: tuwasifu:
central_chinese_television-cctv_beijing.jpg

sema profeshen yako kwanza tuione imefanikiwaje hapa bongo sio unatunisha mashavu kuwasema wahandc,kama vp soma nawe uitwe eng faizafox
ingawa hata hainogi!
 
Watu wa uhandisi. Hebu acheni kubishana. Tuna kazi kubwa sana za kufanya zaidi ya kubishana. Wahandisi hutenda zaidi ya kuongea, hucalculate zaidi ya kuandika, hureason zaidi ya kushangaa, hutafuta solution badala ya kurepair problems. Kama Tz haina wahandisi basi pia haina madaktari, wahasibu, walimu et el bali ina wanasiasa na wezi watupu! Chezeya engineering wewe, watakucheka watu!
waambie hao wanadhan engineering masikhara ebo!tatzo wivu
 
Kale nako kakujisifia? Halafu nakataa sio 100% meza za kuchorea zilikuwa za Kitanzania? kalamu za kuchorea? makaratasi? kompyuta na software zake? vifaa vyote mule? Usijidai 100%, futa hiyo:

Tufanyieni kitu kama hii 100%: tuwasifu:
central_chinese_television-cctv_beijing.jpg

FF this simple structure my daughter can do it for u! cant waste time on designing a straight forward load structure kama hii na simple geometrical paved road kama hii! nitakua sijatendea haki kodi za watanzania.
 
Watu wa uhandisi. Hebu acheni kubishana. Tuna kazi kubwa sana za kufanya zaidi ya kubishana. Wahandisi hutenda zaidi ya kuongea, hucalculate zaidi ya kuandika, hureason zaidi ya kushangaa, hutafuta solution badala ya kurepair problems. Kama Tz haina wahandisi basi pia haina madaktari, wahasibu, walimu et el bali ina wanasiasa na wezi watupu! Chezeya engineering wewe, watakucheka watu!

eewaaa basi fanyeni mambo tuyaone na si kuandika tu kwenye maforum kwamba mnaweza hili na lile wakati hamna hata cha kutuonyesha!
 
Msiwe wajinga, mainjinia wapo, tena wana uwezo mzuri tu, lakini kwa sera za kipumbavu za nchi yetu mara nyingi wamejikuta wapo katika mazingira magumu kiutendaji.

Typical Watanzania. Kila mmoja wetu ana mwenzake wa kumlaumu lol!

Mimi bado kabisa kuona kazi yoyote ya maana iliyofanywa na wahandisi wa Kitanzania. Sijaona bado. Nilichoona ni ubabaishaji tu kama ilivyo kwenye nyanja zingine.
 
  1. WHAT IS ENGINEERING?
    • The art and science concerned with the practical application of scientific knowledge, as in the design, construction, and operation of roads, bridges, buildings, machines etc.
Tuanze na hapo kwenye design, construction, na operation za bridges, buildings, na machines.

Ni barabara gani Tanzania iliyojengwa na Mtanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho? Manake huku Uswazi ni full mivumbi na mitope.

Ni madaraja gani yaliyojengwa na wahandisi wa Kitanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho? Lile ambalo juzi juzi Kikwete alienda kulifungua kule Morogoro? Lol
 
FF this simple structure my daughter can do it for u! cant waste time on designing a straight forward load structure kama hii na simple geometrical paved road kama hii! nitakua sijatendea haki kodi za watanzania.
Eng.Fighter achana kubishana na ma-lopolopo hawajui wasemayo na utapoyeza muda wako bule,kunawatu humu vichwa vyao vigumu kuelewa na ndio maana unajikuta unaanza kuwapa watu shule wakati hawajalipa ada.wanabishi tu ilimladi mzidi kuwapa elimu.
Jalibu kuuliza
1.wanasheria wamefanya nini cha maana kama hata kesi ya dowansi walisimama na hewa mahakamani ikawashinda na mwishowe dowans akalipwa?
2.wachumi alifanya nini cha maana kama uchumi wa Tz leo hii unadolola wakati nchi ina lasilimali kibao?
3.wahasibu wamefanya nini cha maana kama wao si round about wa wizi unaotokea serikalini?na kisha kutumia proglam/mifumo ya kihasibu toka nje?
Pamoja na mengine mengi naona tatizo ni kuitwa jina ukianza na eng.XXXX kwani ni vigumu kuanza na mwanasheriXXXXX au MhasubuXXXAXX bora hata kuna mwal,XXXX.hili ndo linawauma
MKUBALI MSIKUBALI ENGINEER ATABAKI KUWA ENGINEER TU ABUNI KITU KIONEKANE NA ASIBUNI KITU KIKAONEKANA.HABARI NDIO HYO POLE SANA KONDAKTA NYANI NGABU,POLE SANA HOUSEKEEPER FAIZA FOX KWA KAZI ZENU KUTOANZA NYUMA YA MAJINA YENU.
 
Wapi mlipotendea haki mtuoneshe mfano? Kwa kuongea tu mahodari, action speaks louder than words.
 
[/LIST]
[/LIST]
Tuanze na hapo kwenye design, construction, na operation za bridges, buildings, na machines.

Ni barabara gani Tanzania iliyojengwa na Mtanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho? Manake huku Uswazi ni full mivumbi na mitope.

Ni madaraja gani yaliyojengwa na wahandisi wa Kitanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho? Lile ambalo juzi juzi Kikwete alienda kulifungua kule Morogoro? Lol

Hawana lolote walilofanya.
 
Hili BOX unafikiri lina kazi kujenga? Kitu cheupe kabisa hiki wala kisikutishe.

Ule Mnara unapigwa na wind Forces ambazo huwa ni hatari sana kwa sababu ni horizontal Forces.

Huo M-box unauona, wameunga mivyuma na kupata Sceleton na baadaye wanauziba tu na kutenga floor ili wasiojua majengo waone kuwa ni kitu kigumu sana kujenga.

Katika majengo magumu kujenga kwa Tanzania unaweza kuanzia misikiti yenye SPAN ndefu na makanisa yenye minara mirefu au span kubwa. Hiyo mijengo ya Sceleton na kuziba ni majengo ambayo kama ni chakula, basi ingelikuwa Fast Food. Uzuri wake haya majengo ni uwezo wa kusafishwa kirahisi.

Angalia mejengo yanayoheshimika duniani na wala si makubwa au kutisha. Hii ndiyo Architect Engineering. Mambo ya Mzee Gaudi wa Barcelona baby............... MZee wa kutumia Mwanga wa jua kumulika ndani ya majengo.

​
gaudi_casa_batllo_04_jpg.jpg

Kale nako kakujisifia? Halafu nakataa sio 100% meza za kuchorea zilikuwa za Kitanzania? kalamu za kuchorea? makaratasi? kompyuta na software zake? vifaa vyote mule? Usijidai 100%, futa hiyo:

Tufanyieni kitu kama hii 100%: tuwasifu:
central_chinese_television-cctv_beijing.jpg

Eng.Fighter achana kubishana na ma-lopolopo hawajui wasemayo na utapoyeza muda wako bule,kunawatu humu vichwa vyao vigumu kuelewa na ndio maana unajikuta unaanza kuwapa watu shule wakati hawajalipa ada.wanabishi tu ilimladi mzidi kuwapa elimu.
Jalibu kuuliza
1.wanasheria wamefanya nini cha maana kama hata kesi ya dowansi walisimama na hewa mahakamani ikawashinda na mwishowe dowans akalipwa?
2.wachumi alifanya nini cha maana kama uchumi wa Tz leo hii unadolola wakati nchi ina lasilimali kibao?
3.wahasibu wamefanya nini cha maana kama wao si round about wa wizi unaotokea serikalini?na kisha kutumia proglam/mifumo ya kihasibu toka nje?
Pamoja na mengine mengi naona tatizo ni kuitwa jina ukianza na eng.XXXX kwani ni vigumu kuanza na mwanasheriXXXXX au MhasubuXXXAXX bora hata kuna mwal,XXXX.hili ndo linawauma
MKUBALI MSIKUBALI ENGINEER ATABAKI KUWA ENGINEER TU ABUNI KITU KIONEKANE NA ASIBUNI KITU KIKAONEKANA.HABARI NDIO HYO POLE SANA KONDAKTA NYANI NGABU,POLE SANA HOUSEKEEPER FAIZA FOX KWA KAZI ZENU KUTOANZA NYUMA YA MAJINA YENU.

Wewe nawe ni engineer? :lol::lol::lol:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom