Wahandisi wa Tanzania baada ya miaka 50 ya uhuru

My ignorance of "engineering functions" is far better than the incompetence and ineptitude of Tanzanian so called engineers.

ukipenda waite mafundi mchundo au wahandisi.....these guys are so funny na hawataki kuambiwa ukweli.

Ukitaka kugombana nao waulize wamefanya nini zaidi ya kujazana halmashauri kugonga mihuri na vikao hewa.
 
Chonde chonde...fani nyingine zimefanya nini? Huu upuuzi tunaoushuhudia ni wa wahandisi peke yao? I think neno sahihi la kutumia ni tujiambie ukweli,tumefanya nini toka miaka 50 ya uhuru. Maana wahasibu ndo hao tena kila kukicha ni kugushi na kutumia vibaya fedha, wachumi ndio wako front wakiongozwa na Rais wetu mpendwa wanaendelea tu kuboresha nchi kwa kuongeza mfumuko wa bei, walimu ndo hao tena wanabidii ya kufundisha watu wanaomaliza hawajui kusoma na kuandika.....hebu niambie profession gani ina afadhali???
 
Wahandisi wapo tena wazuri tu!! mbaya ya nchi hii siasa ndio mbele kuliko utaalamu!! kama unataka kujua hii angalia studies mbalimabli zilizofanywa ambazo ni majibu ya mengi ya matatizo ya nchi hii lkn wapi bana! ikifikia implementation mwanasiasa ndio anaamua!! napenda kukuakishia NN wapo wazuri tu lkn hawasikilizwi na hawana support.

Mhandisi ambaye hasikilizwi bado anajiita mhandishi? je hatua gani anapaswa kuchukua kama hasikilizwi?? je wahandisi wamezichukua hatua hizo?? mhandisi akikaa kimya wakati kati inaharibiwa na wanasiasa elimu yake kama mhandishi inatosha kweli??? (mfano daktari hawezi kuambiwa na mwanasiasa atoe dawa gani, ampasue mtu vipi, sasa mhandishi amekumbwa na nini???)
 
ukipenda waite mafundi mchundo au wahandisi.....these guys are so funny na hawataki kuambiwa ukweli.

Ukitaka kugombana nao waulize wamefanya nini zaidi ya kujazana halmashauri kugonga mihuri na vikao hewa.

The progress of this country is a collective responsibility from all stakeholders. Kwa muda mrefu tunapenda sana kudgharau kazi za watu wengine...sijui fani yako [MENTION]Chalii Yangu [/MENTION]lakini kwani watu wa fani yako wameifanyia nini Tanzania?
 
zipo fani zimefanya kama inavyotakiwa, pia zipo nyingi zimechechemea, lakini wahandisi TZ wameongoza kwa uozo wa kufa mtu.
 
zipo fani zimefanya kama inavyotakiwa, pia zipo nyingi zimechechemea, lakini wahandisi TZ wameongoza kwa uozo wa kufa mtu.

Hivi vitu tanzania wahandisi na wasaidizi wao au fani mzunguko mtaweza??? au sie hapa bongo ni viberiti tu, tension and forces zimekomea kwenye vitabu?
582334_337432916325991_100001778567928_816870_1444769401_n.jpg
 
Chonde chonde...fani nyingine zimefanya nini? Huu upuuzi tunaoushuhudia ni wa wahandisi peke yao? I think neno sahihi la kutumia ni tujiambie ukweli,tumefanya nini toka miaka 50 ya uhuru. Maana wahasibu ndo hao tena kila kukicha ni kugushi na kutumia vibaya fedha, wachumi ndio wako front wakiongozwa na Rais wetu mpendwa wanaendelea tu kuboresha nchi kwa kuongeza mfumuko wa bei, walimu ndo hao tena wanabidii ya kufundisha watu wanaomaliza hawajui kusoma na kuandika.....hebu niambie profession gani ina afadhali???

Wanajamvi tupunguze jazba. Rasilimali za nchi ziko mikononi mwa UTAWALA. Sasa utawala ukishindwa kuwatumia wataalamu wa fani mbalimbali waliopo ili kuweka sera zinazotekelezeka halafu tukaanza kunyoosheana vidole wenyewe kwa wenyewe hatutafika! Nikumbushe hapa kwamba ukiona maji yanatoka kwenye bomba ujue kuna mhandisi anakesha, umeme, simu n.k Ukiona nondo zinauzwa ujue kuna wahandisi wanakesha kuzalisha, cement, bia, soda n.k Hatahivyo kwa tz mhandisi mmoja anahudumia watu 4,000 wakati Japan mhandisi mmoja anahudumia watu 54. Kwa hiyo ni kweli maendeleo ya nchi ni directly propotional na idadi ya wahandisi. Siungi mkono hoja!
 
Kibarabara cha Bagamoyo sasa hivi kinajengwa na Wajapan....(Konoike).

Selander bridge ilijengwa na Kajima!

Where was Tanzanian engineering?

Kajima, Konoike n.k ni kampuni lakini wanaojenga zile barabara ni wahandisi... tatizo la tanzania ni capital siyo know-how. Kama huamini katembelee hizo kampuni za kigeni uone jinsi wahandisi wazalendo wanavyochapa kazi zilizokwenda shule
 
Sasa hata kiwanda cha toothpick; taulo za kina mama, mkasi, cotton buds, nailcutter tuagize nje ya nchi, hata kama watawala wanawalet down, kwanini msije juu kudai mpewe nafasi ya kuendeleza nchi; majengo mengi dar hayana ubunifu, sijui wachoraji ni feki au nyinyi ndo hamwezi michoro mikali???? hao wahandisi uchoraji/desingers ndo hivyo tena.
 
nimefwatilia vizuri sana hii mada...nimejifunza mengi na ntajitahidi niyajue na kuyafanyia kazi.....
 
Wahandisi wa uhakika wa Tanzania wote wako nje ya Tanzania. Hapa kuna makanjanja tu, huoni ma boksi yaliyojaa Kariakoo?

Si waliopo Serikalini si waliopo mitaani. Yote mikanjanja, tena hao waliopo Serikalini ndio kabisa hawana ubunifu, hawana kuona hapa hili osa, wao michuzi tu, ikiwakatia wako tayari kufanya chochote hata kupinda sheria, ndio maana tumeon a mighrofa kadhaa ikiporomoka, tumeona watu wakijenga hovyo sehemu za wazi kama bonde la Jangwani, hawa wahandisi walikuwa wapi?

Yote hiyo ni mikanjanja tu.

Acha uongo.kama wewe mjuzi kwa nini hesabu ulishindwa.si ungesomea uhandisi!
 
Back
Top Bottom