Wahandisi wa Tanzania baada ya miaka 50 ya uhuru

wewe una matatizo kwani ni Tanzania tu maghrofa yanaporomoka hujasikia rio, india recently embu google hapo uone, haya sasa kwa nini unasema engineer ndio ana makosa kwa nini? how is an engineer involved in the collapsing of the building?

Failure ya structure yoyote haina jibu moja yaweza kuwa

  • Insufficient design
  • Poor material used
  • Poor workmanship
  • Unforeseen events kama flood, earth quake ambazo sio normal kwenye region fulani.
Sasa analysis lazima ifanyike kujua sababu ya failure sio kila kitu Engineer tu, mnadezaniwa vizuri mnaenda chukua watoto wa wajomba wenu kusupervise project au mafundi likaanguka mnasema muhandisi p..u..mbafu.
 
I am an Electrical Engineer, I designed the MILLENIUM TOWER PHASE II Power and lighting systems to be build in Tabata Area. I also designed the a number of building projects in that category apart from consultation work I do everyday. However, NN have a point, just like others do. The problem is that people can't really differentiate who is an Engineer, Technician and the so called Fundi. For any Engineering project, Kutokana na sheria zetu lazima Mhandisi pale awepo kuanzia planning stage, design stage and Implementation. Tatizo hapa ni uelewa wa wabongo kuwatumia wahandisi wazawa kwenye miradi yao mbali mbali, Hata kwenye hiyo Anesthasia device, an Engineer was involved hapo NN especial in transforming your expertise into its control system. Mfano: NN akitaka kujenga nyumba sidhani kama atafanya consultation ya kutaka kumuona mhandisi wa maumbo jengwa, atakusanya pesa yake na kumtafuta fundi tena siyo fundi mchundo (just a person calling himself fundi) basi atamfanyia hiyo kazi yake hata kwa thamani isiyoakisi kile kiasi alichokusanya. Yes, the number of Engineers in our country is a good indication how far we are in building a strong economy, in solving our society problems. Just like the number of medical doctors, Teachers, Professors in University and so on. Tunakimbilia kujaza vyuo vya wapiga dili za njia za panya badala ya kuongeza Technical Universities and Colleges tunajenga vyuo vya Utalii, Introduction to Computer, Marketing and Language! wakati huo huo mnataka kuona good results from Engineering fields with Lowest cost. That will never happen.If you go to the mining industries, utakutana na Engineers kutoka Tanzania, Canada, US, South Africa, Australia, UK! they talk the same language, hakuna blah blah.

Sina haja ata ya kutaja nimedesign na kumanage a lots of projects ambazo zingine NN anfikiri ni wajapan na wachina tu!!
 
unajua kazi za wahandisi embu zitaje kwa kiswahili vizuri au kiingereza na toa mfano wa aina moja ya mhandisi na wajibu wake na uzembe wake?

Kuhandisi, mfano halisi:
2w3s3mf.jpg

 
heshima mbele mkuu zungumza kwa taafiti wewe mimi MHANDISI WA UMEME KAZI NIYAYO FANYA HAPA BONGO NII ONLY FEW ENGINEERS WANAWEZA FANYA HIVI MBONA MNADHARAU SANA MIMI NIAMBIE KAZI YANGU NINI KWANZA HALAFU ELEZA MAPANGUFU KWENYE KAZI YANGU NDIO TUTAELEWESHANA.. WEWE ETI TUNAZIMA NA KUWASHA GENERATOR DAAAAH

Kazi gani unafanya wewe, wakati umeme wenyewe mnashindwa kutuletea? maji kibao Tanzania, steigler gorge mnangoja mpaka waje wa Brazil kui design, kinawashinda nini kama kweli si makanjanja, ngojeni waje mahandisi nyie muwe matarishi wao, fanya hivi, hapa sio, fanya vile, kutumwa tu ndio mnacho kiweza. Hatujaona hata kimoja cha kusema hiki tunajivunia wahandisi wa Tanzania. Aibu tupu.
 
99% majengo ya Kariakoo ni sub standard, hakuna hata basics za emergency, hakuna facilities za walemavu, unaweza kupanda ngazi nyingine inabidi uiname unajigonga kichwa mara ya pili ndefu. Hakuna parking, hata maji machafu au taka hawajui zitatokea wapi? zingine hata pakuanikia nguo hakuna. Jengo la kuishi watu, humo humo kuna godown la matairi, godown la nguo, godown la viatu. Hakuna ubunifu kabisa. Halafu mnataka kusema kuna wahandisi, mkiniambi kuna "wahandis" wa gomba nakubali, wahandisi hakuna, ni makanjanja tu.

Halafu mnasema wahandisi? tena tukileta wahandisi wa nje wenye kujuwa na kufata "fundamentals na ethics" za uhandisi wakaja kukagua majengo ya Tanzania yaliyo buniwa, kusimamiwa na kuhalalishwa na makanjanja wetu, nna uhakika hakuna hata moja litabaki, yoooote mtaambiwa mbomowe.
 
Refer post ya juu! structure failure,

Yaani hiyo picha ni poor materials used na workamanship na najua project hiyo alisimamia fundi

Wahandisi hawakukagua materials? hawakuidhinisha kila stage? unataka kusema nini? wakati ukifunga tu nondo inatakiwa mhandisi aje akague na aidhinishe kabla hujamwaga zege, zege lenyewe wakati wa kuchnganya na kumiminwa inabidi mhandisi awepo, aandike formula iliyotumika na aidhinishe, na kabla ya kuanza tena tena ghorofa nyingine ni lazima akague na aidhinishe, walikuwa wapi? mahandisim toa d, wa manispaa hawakuidhinisha?
 
Failure ya structure yoyote haina jibu moja yaweza kuwa

  • Insufficient design
  • Poor material used
  • Poor workmanship
  • Unforeseen events kama flood, earth quake ambazo sio normal kwenye region fulani.
Sasa analysis lazima ifanyike kujua sababu ya failure sio kila kitu Engineer tu, mnadezaniwa vizuri mnaenda chukua watoto wa wajomba wenu kusupervise project au mafundi likaanguka mnasema muhandisi p..u..mbafu.

Analysis zinataka zifanyike kabla, kujuwa kwa nini isi fail ikijengwa, na record zote kuwekwa, kuwa material hii ilifanyiwa analysis hizi na ikapita kutokana na standard hii na hii na hii, kuanzia soil analysis kabla hata hujachimba msingi inatakiwa ifanyike, na kwa kila material kila stage kuna "fundamentals" za analysis, sio kufanyika baada, halafu na wewe unajiita mhandisi? kama hayo unayoyaandika ndio mhandisi, nakuambia hufai hata kidogo.

Tumeona mifano ya wahandisi kuagiza aina fulani ya mchanga ambayo inapatikana nje ya hapo walipo kwa kujengea kitu fulani, na bila huo kuletwa kazi haiendi amma kwa ubora uliotakiwa amma kwa "cosmetic" tu.
 
In Japan: 1 Eng serves 50 people,

In Tanzania: 1 Eng serves 5000 ~ 7000 people. Mnaweza kuona jinsi hali ilivyo! we need Engineers everywhere! Kila mtaa kunatakiwa wawepo wahandisi nk. Hao mnaosemea walishachoshwa na maneno ya wanasiasa wanajifanya kujua wasivyovijua. Hawatuheshimu! Ukipeleka BOQ ya project, wanataka cha juu, what do you expect. Kupata tender ya project bila kuwa na mkono mrefu utafunga ofisi na utakula nyasi. Tunajitahidi, lakini sera zinazotungwa kwa ajili ya kutujengea uwezo zimewekwa kwenye makabati ya wizara, which is rediculous.

Huwezi ku compromise "fundamentals" kwa rushwa. Ripua. na ulale na njaa lakini utabaki kukumbukwa na kuheshimiwa daima. It takes two to tango, mpokea rushwa ataipokea wapi kama hakuna mtoa rushwa? hiyo sio excuse.
 
Mnajua hapa tz mpaka mtu aitwe mhandisi ni stage gani amepitia?mnajua level mbali mbali za wahandisi na limitations zao,please back off if ur into politics than proffesion

Kuitwa mhandisi haitoshi na stage ipi umepitia haitoshi, nini mmekifanya ndio muhimu. Yale maboksi ya Kariakoo yasiyo na viwango?

Ukiliona jengo lina viwango ujuwe wahandisi ni wa nje wa ndani humu walikuwa ni matarishi wa hao wahandisi. Hakuna zaidi.
 
Sina haja ata ya kutaja nimedesign na kumanage a lots of projects ambazo zingine NN anfikiri ni wajapan na wachina tu!!
But in terms of how we work as engineers, what is the driver? The projects that are being initiated by other people who are able to put some thoughts and get their acts together or we come up with our own initiatives and make a marketing plan for them?
We might all become repair engineers if we continue working the way we work.....just give some thought
 
Umehandisi nini cha kujivunia binafsi au Kitaifa?

Halfu huyu anaesema yupo "Location : Tahiti"

Hahaha ahahaha ahaha!!!! Uhandisi ni biashara bibie, sio kujivunia gone are those days!!!!!!!!! By the way katiba ya nchi inaniruhusu kuwepo kwenye location yeyote ile.
 
heshima mbele mkuu zungumza kwa taafiti wewe mimi MHANDISI WA UMEME KAZI NIYAYO FANYA HAPA BONGO NII ONLY FEW ENGINEERS WANAWEZA FANYA HIVI MBONA MNADHARAU SANA MIMI NIAMBIE KAZI YANGU NINI KWANZA HALAFU ELEZA MAPANGUFU KWENYE KAZI YANGU NDIO TUTAELEWESHANA.. WEWE ETI TUNAZIMA NA KUWASHA GENERATOR DAAAAH

Unajuaje mimi sio mhandisi? By the way kama wapo designers, how many of them? Wengine wanaangalia mafuta kwenye generator za minara na kubadilisha electronic circuit zilizo fail....Is that an engineering job? Na wale wa Dar tech wanafanya nini?
What I don't understand is this...why have we given ourselves a comfort zone in the place that does not exist? We can do much better than what we do now...tusianze kujidanganya hapa kwamba we are doing what we are supposed to do. I know what we are capable of doing and sad, we do very little.
 
Refer post ya juu! structure failure,

Yaani hiyo picha ni poor materials used na workamanship na najua project hiyo alisimamia fundi

Hii isije ikawa ndo ile project ambayo design and supervision were from India...but mhandisi akapewa hela jina lake likawekwa kwenye bango kama ndiye aliyefanya kazi za structural design na kusimamia. Lilipoporomoka na professional yake nayo ikaenda na maji,....kwa hela ndogo tu kuendekeza hizi njaa zetu
 
Wahandisi wa uhakika wa Tanzania wote wako nje ya Tanzania. Hapa kuna makanjanja tu, huoni ma boksi yaliyojaa Kariakoo?

Si waliopo Serikalini si waliopo mitaani. Yote mikanjanja, tena hao waliopo Serikalini ndio kabisa hawana ubunifu, hawana kuona hapa hili osa, wao michuzi tu, ikiwakatia wako tayari kufanya chochote hata kupinda sheria, ndio maana tumeon a mighrofa kadhaa ikiporomoka, tumeona watu wakijenga hovyo sehemu za wazi kama bonde la Jangwani, hawa wahandisi walikuwa wapi?

Yote hiyo ni mikanjanja tu.

Wengine wako bungeni, wengine wakuu wa mikoa, it is very interesting.
 
Wengine wako bungeni, wengine wakuu wa mikoa, it is very interesting.

Na bado wanajiita eng so and so....kaazi kweli kweli.Nishati tatizo, barabara tatizo, mitambo ya kuwasaidia wakulima na wafugaji tatizo, miundo mbinu ya kusaidia maendeleo ya haraka karibu yote ni matatizo.
Siku hizi pengine tunaona maghorofa mengi yanajengwa mijini...I bet you hata hayo maghorofa waandisi wanakuwa mbali...ni wenye mali ndio wanajenga kwa kutumia majina ya wahandisi.
What do we do then? Are we political engineers?
 
Hahaha ahahaha ahaha!!!! Uhandisi ni biashara bibie, sio kujivunia gone are those days!!!!!!!!! By the way katiba ya nchi inaniruhusu kuwepo kwenye location yeyote ile.

Ndio maana nikasema huko juu, mahandisi haswa Wakitanzania hawakai Tanzania, wangekuwepo kusingekuwa na maboksi. Hilo la biashara nakubaliana na wewe 100% lakini biashara yenyewe wanayoifanya bagumashi, utakuta bango lina mtaja mhandisi ambae hajafika wala pengine hajui hilo jina lake linakwenda kutumiwa wapi, mradi yeye kapewa chake.
 
Ndio maana nikasema huko juu, mahandisi haswa Wakitanzania hawakai Tanzania, wangekuwepo kusingekuwa na maboksi. Hilo la biashara nakubaliana na wewe 100% lakini biashara yenyewe wanayoifanya bagumashi, utakuta bango lina mtaja mhandisi ambae hajafika wala pengine hajui hilo jina lake linakwenda kutumiwa wapi, mradi yeye kapewa chake.

Njaa mbaya FF...ndo maana tunauza mihuri yetu. We adui yako muombee njaa tu. Akiwa anakula, lazima atakuwa na jeuri.
 
Back
Top Bottom