Wahandisi wa Tanzania baada ya miaka 50 ya uhuru

Mimi ningependa kuona matokeo ya kazi za ma engineer wa kibongo....nani anaweza kunionyesha?
Wacha longolongo bana...wewe nionyeshe kazi za hao ma engineer wenu tuzipitishe kwenye tanuru tuone kama zinafikia viwango!
Mi nitakuonyesha kazi za wansiasa ndio nyingi zaukwamishaji!!
I am an Electrical Engineer, I designed the MILLENIUM TOWER PHASE II Power and lighting systems to be build in Tabata Area. I also designed the a number of building projects in that category apart from consultation work I do everyday. However, NN have a point, just like others do. The problem is that people can't really differentiate who is an Engineer, Technician and the so called Fundi. For any Engineering project, Kutokana na sheria zetu lazima Mhandisi pale awepo kuanzia planning stage, design stage and Implementation. Tatizo hapa ni uelewa wa wabongo kuwatumia wahandisi wazawa kwenye miradi yao mbali mbali, Hata kwenye hiyo Anesthasia device, an Engineer was involved hapo NN especial in transforming your expertise into its control system. Mfano: NN akitaka kujenga nyumba sidhani kama atafanya consultation ya kutaka kumuona mhandisi wa maumbo jengwa, atakusanya pesa yake na kumtafuta fundi tena siyo fundi mchundo (just a person calling himself fundi) basi atamfanyia hiyo kazi yake hata kwa thamani isiyoakisi kile kiasi alichokusanya. Yes, the number of Engineers in our country is a good indication how far we are in building a strong economy, in solving our society problems. Just like the number of medical doctors, Teachers, Professors in University and so on. Tunakimbilia kujaza vyuo vya wapiga dili za njia za panya badala ya kuongeza Technical Universities and Colleges tunajenga vyuo vya Utalii, Introduction to Computer, Marketing and Language! wakati huo huo mnataka kuona good results from Engineering fields with Lowest cost. That will never happen.If you go to the mining industries, utakutana na Engineers kutoka Tanzania, Canada, US, South Africa, Australia, UK! they talk the same language, hakuna blah blah.
 
Nimefuatilia hii thread muda mrefu na nilitaka nione michango ya wenzangu kabla sijachangia. Nadhani sasa ni wakati muafaka.

To declare interest, Mimi ni Structural (civil) Eng. Na nimepratice for 7yrs. Nimefanya structural design ya majengo mengi sana hapa Arusha na hakuna hata moja lenye tatizo na yanatumika. Ni magorofa ya floor 1 hadi 10. Ningeweza kutaja lakini nadhani itaniletea shida kwenye ID yangu ya jf.

Ndugu yangu NN, tatizo la Engrs wa Tz ni kutambuliwa, kudhaminiwa, na kupewa nafasi.

KUTAMBULIWA.
Leo unazungumzia mitaro mibovu, barabara vumbi miundnmbinu mibovu ya maji, umeme, nk. This has got nothing to Engrs! Kuna town planners na ndio hasa wanahusika. Hii sio kazi ya Engr ingawa Engrs can do! Majengo yamejengwa hovyo na ni chini ya kiwango. Embu uliza ni watz wangapi waliotumia Engrs kwenye ujenzi wa nyumba zao. Ni wangapi wanafahamu nafasi ya Engr anapotaka kujenga nyumba. Hata anapobanwa na sheria, anamlipa na kumtumia acordingly? Au anataka mihuri yake tu alafu waachane?

KUTHAMINIWA NA KUPEWA NAFASI
Nenda leo kwenye hayo makampuni ya kijapani, china, america na kwingineko yanayofanya kazi hapa nchini. Angalia technical dept uone walivyojaa Engrs wakitz! Akisema yeye ndiye aliyefanya technical part ya kazi iliyofanyika hakuna anayekubali. Leo kampuni za kitz zikiomba kazi zinakosa kwasababu tu watoaji wa kazi wanaona akihongwa na tz atauza na itamletea shida. Ndio maana wanaprefer wageni. Watz hawathaminiwi kabisa kwasababu za kijinga kabisa! Hawapewi nafasi ya kusimama peke yao wala kuwezeshwa ndio maana wanaishia kwenye makampuni ya wageni na hata kazi wanazofanya, sifa wanapata wageni.

Mfumo na uendeshaji wa nchi yetu umesababisha weledi kumezwa na rushwa, selfish, majungu na siasa. Ndio maana kazi za Engrs walizofanya hazionekani direct but indirect! I'm very sorry but that is the reality.

Naomba niishie hapa kwa sasa. Baadae nitarudi

. . .

Filipo naona umejitahidi kufunguka nahisi ulikuwa unavibrate kama nokia ya tochi kwa hasira....lakini katika kufunguka kwako umesahau kutueleza ni kampuni ngapi za kibongo zimeshapewa kazi na kuprove failure? Tatizo la baadhi ya Eng's wana njaa kali sana sijui hata niwafananishe na nini ni madaraja mangapi yamejengwa bila viwango kwa kuwatumia Eng's wetu? (Naomba unijibu)

Ninaamini mtu anapata mmbadala baada ya kushindwa na kilichopo,

Kuna majengo mengi mabovu yaliyojengwa na Eng's wazawa lakini utakuja na sababu ya kuwa mwenye mali ameamua iwe hivyo, je ethics za professional yako zinaruhusu ufanye hivyo? Kama materials hayajatosheleza acha kukubali hiyo kazi fuateni ethics za kazi zenu msitangulize njaa mbele,

Huko unakosema kwa makambuni ya nnje wamejazana ma Eng's wa kibongo ni sawa ndo mnavyotaka kwa sababu background zenu ni mbovu! Ila mkiwa huko mkisimamiwa kikoloni koloni mnafanya kazi kama punda, sasa ulitaka credit bado zije kwenu?

Kajipangeni upya, na kwa mfano ndo wabongo mmepewa daraja la kigamboni mie ntapiga mbizi tu aka ntajimagufuli daily,
 
mimi nimeumuuliza aniambie kazi ya ENGINEER ni nini anairushia mimi tena ni mjibu wakati yeye anasema ajaona kazi za WAHANDISI ni joke kubwa watu wako nayo
SIASA ZA NCHI HII ZIMEAHARIBU VICHWA WATANZANIA WENGI SANA ... MADAKTARI WAMEKOGOMA WAMAEANZA KUONA IMPACT DONT YOU EVER DARE KUONA MUHANDISI AMESTRIKE WAAJIRI WANAJUA IMPACT YA MIGOMO YETU ..
 
Filipo naona umejitahidi kufunguka nahisi ulikuwa unavibrate kama nokia ya tochi kwa hasira....lakini katika kufunguka kwako umesahau kutueleza ni kampuni ngapi za kibongo zimeshapewa kazi na kuprove failure? Tatizo la baadhi ya Eng's wana njaa kali sana sijui hata niwafananishe na nini ni madaraja mangapi yamejengwa bila viwango kwa kuwatumia Eng's wetu? (Naomba unijibu)

Ninaamini mtu anapata mmbadala baada ya kushindwa na kilichopo,

Kuna majengo mengi mabovu yaliyojengwa na Eng's wazawa lakini utakuja na sababu ya kuwa mwenye mali ameamua iwe hivyo, je ethics za professional yako zinaruhusu ufanye hivyo? Kama materials hayajatosheleza acha kukubali hiyo kazi fuateni ethics za kazi zenu msitangulize njaa mbele,

Huko unakosema kwa makambuni ya nnje wamejazana ma Eng's wa kibongo ni sawa ndo mnavyotaka kwa sababu background zenu ni mbovu! Ila mkiwa huko mkisimamiwa kikoloni koloni mnafanya kazi kama punda, sasa ulitaka credit bado zije kwenu?

Kajipangeni upya, na kwa mfano ndo wabongo mmepewa daraja la kigamboni mie ntapiga mbizi tu aka ntajimagufuli daily,

Mkuu, Siwezi ku vibrate maana nafahamu na ninaamini ninachoandika. Hakuna kazi isiyokuwa na matatizo. hapo hatuwezi kuwalaumu Engrs wa kibongo. Kampuni ya kijapani imechemsha barabara ya kilwa lakini bado mnawasifu Engrs wao!!!!? Shtuka!:A S 465:
 
mkuu hawezi stuka huyo maana hata hajui maana ya VISUALIZATION mwenye macho aambiwi tazama am proud to be engineer mwajiri wangu anaiona impact yangu ndio maana anapay respect nyie msiojua who is engineer na impact yake kwenye hii DEVELOPING COUNTRY mnashida sana
 
Wahandisi wa uhakika wa Tanzani wote wako nje ya Tanzania. Hapa kuna makanjanja tu, huoni ma boksi yaliyojaa Kariakoo?

Si waliopo Serikalini si waliopo mitaani. Yote mikanjanja, tena hao waliopo Serikalini ndio kabisa hawana ubunifu, hawana kuona hapa hili osa, wao michuzi tu, ikiwakatia wako tayari kufanya chochote hata kupinda sheria, ndio maana tumeon a mighrofa kadhaa ikiporomoka, tumeona watu wakijenga hovyo sehemu za wazi kama bonde la Jangwani, hawa wahandisi walikuwa wapi?

Yote hiyo ni mikanjanja tu.

Ashuakumu si matusi, I agree with you FF. Wahandisi wengi ubunifu ni sifuri. nao wako katika mishe mishe za kutafuta deal. Na kusema ukweli, mechanical engineers ambao wana wajibu wa kudesign na kutengeneza machines zinazosaidia kwenye shughuli nyingi ndo wamelala kabisaaa. Wengin wanataka kufanya kazi za kuuza sura au kuwa mameneja.
As a result manufacturing industry imelala usingizi wa pono. Kinachosumbua kichwa ni kuwa kwa mfano ukuaji wa sector kama ya gasi halafu na ufuaji wa chuma kule mchuchuma, bila wahandisi wazalendo itakuwa ni kutwanga maji kwenye kinu.
Kidogo civil engineers wana wanalofanya. The so called chemicals, mhhhh! Wale wa umeme wengi wanazima na kuwasha generator za kwenye minara ya simu, a routine job for very qualified people. When it comes to wahandisi, I don't know whom to turn to!
 
Mi sijakuelewa,labda nina kichwa kigumu embu toa mfano wa unataka wafanye nn labda?na je hujaona mafanikio yoyote ya wahandisi?kazi za wahandisi unazijua?

Basically training ya wahandisi kama wa UDSM ni kuwa wabunifu na kutengeneza yale wanayobuni. Lakini hilo linakuwa gumu maana kazi nyingi hazina ubunifu wa kuongezewa tija.Kwa mfano, inawezekanaje mpaka leo design ya barabara nyingi za vijijini ambazo zinatumia mamilion ya pesa ni kumwaga vumbi na kutawanya tu. Can't we do more than that? I mean kama approach yetu iko hivyo ina maana mpaka miaka miambili ijayo barabara zitakuwa ni za vumbi tu.
Uhandisi wa mitambo, unafanya nini? Mitambo inahitajika sana kusukuma shughuli ndogondogo ziwe na tija zaidi. Nani anayetengeneza hiyo mitambo? Nchi zilizo endelea wana base kubwa sana ya viwanda vya kati ambavyo huwa vinafanya kazi hata kwenye garage ndogo za nyumbani. What about us here?
TIRDO ambao wanafanya tafiti za viwanda na ubunifu wa machine, kitu pekee walichobuni ni satelite dish ambalo ukinunua na kuweka kwenye nyumba yako lazima ianguke kwa jinsi lilivyo kubwa. How could they competite with more appealing small dishes?
All in all, uhandisi unasua sua na umekaa kisiasa zaidi kuanzia kwenye body ERB mpaka kwenye utekelezaji.
 
In Japan: 1 Eng serves 50 people,

In Tanzania: 1 Eng serves 5000 ~ 7000 people. Mnaweza kuona jinsi hali ilivyo! we need Engineers everywhere! Kila mtaa kunatakiwa wawepo wahandisi nk. Hao mnaosemea walishachoshwa na maneno ya wanasiasa wanajifanya kujua wasivyovijua. Hawatuheshimu! Ukipeleka BOQ ya project, wanataka cha juu, what do you expect. Kupata tender ya project bila kuwa na mkono mrefu utafunga ofisi na utakula nyasi. Tunajitahidi, lakini sera zinazotungwa kwa ajili ya kutujengea uwezo zimewekwa kwenye makabati ya wizara, which is rediculous.

Engineers wana mkono wao kwenye hili. Hili tatizo linaharibu sana fani na tukubali ukweli, rushwa ni kubwa mno kwenye shughuli nyingi za kihandisi mpaka kunafika sehemu kazi zinafanya kuwa mbaya. Tuliona hapa uhandisi wa majengo na madaraja fulani kule Rudewa. Yule mhandisi sijui kama anajua analofanya
 
Nimefuatilia hii thread muda mrefu na nilitaka nione michango ya wenzangu kabla sijachangia. Nadhani sasa ni wakati muafaka.

To declare interest, Mimi ni Structural (civil) Eng. Na nimepratice for 7yrs. Nimefanya structural design ya majengo mengi sana hapa Arusha na hakuna hata moja lenye tatizo na yanatumika. Ni magorofa ya floor 1 hadi 10. Ningeweza kutaja lakini nadhani itaniletea shida kwenye ID yangu ya jf.

Ndugu yangu NN, tatizo la Engrs wa Tz ni kutambuliwa, kudhaminiwa, na kupewa nafasi.

KUTAMBULIWA.
Leo unazungumzia mitaro mibovu, barabara vumbi miundnmbinu mibovu ya maji, umeme, nk. This has got nothing to Engrs! Kuna town planners na ndio hasa wanahusika. Hii sio kazi ya Engr ingawa Engrs can do! Majengo yamejengwa hovyo na ni chini ya kiwango. Embu uliza ni watz wangapi waliotumia Engrs kwenye ujenzi wa nyumba zao. Ni wangapi wanafahamu nafasi ya Engr anapotaka kujenga nyumba. Hata anapobanwa na sheria, anamlipa na kumtumia acordingly? Au anataka mihuri yake tu alafu waachane?

KUTHAMINIWA NA KUPEWA NAFASI
Nenda leo kwenye hayo makampuni ya kijapani, china, america na kwingineko yanayofanya kazi hapa nchini. Angalia technical dept uone walivyojaa Engrs wakitz! Akisema yeye ndiye aliyefanya technical part ya kazi iliyofanyika hakuna anayekubali. Leo kampuni za kitz zikiomba kazi zinakosa kwasababu tu watoaji wa kazi wanaona akihongwa na tz atauza na itamletea shida. Ndio maana wanaprefer wageni. Watz hawathaminiwi kabisa kwasababu za kijinga kabisa! Hawapewi nafasi ya kusimama peke yao wala kuwezeshwa ndio maana wanaishia kwenye makampuni ya wageni na hata kazi wanazofanya, sifa wanapata wageni.

Mfumo na uendeshaji wa nchi yetu umesababisha weledi kumezwa na rushwa, selfish, majungu na siasa. Ndio maana kazi za Engrs walizofanya hazionekani direct but indirect! I'm very sorry but that is the reality.

Naomba niishie hapa kwa sasa. Baadae nitarudi

. . .

Nashukuru kwa maoni yako; lakini ningependa hoja ijadiliwe kwa kina, kama wewe ni engineer wa aina yoyote utakubali kuna meoneo mengi sana engineers do share, ndo maana masomo ya miaka ya kwanza kwanza ya engineers yanafanana kama sio aina moja, walau ile concept ya uinjinia.

KUTAMBULIWA

Kwani we kama eng. kipi kinaanza. unaanza kutambuliwa kwanza ndo unakuwa na mchango kwa umma au kinyume chake? ambacho kwa maoni yangu ni sahihi. Ukiona mtu binafsi anajenga bila kutumia eng. ni kwa vile amejiridhisha tofauti haipo, hivyo hawezi kumtambua eng. ambaye hana tofauti na fundi mchundo, for the sake of gharama anakwenda kwa mchundio ambaye ni sawa na eng. kiutendaji inapofika kwa eng. wa KiTz.

Zaidi hilo linathibitishwa na mainjinia wenyewe kuwa wao ni HEWA TUPU tu, hebu fikiria hoja yako eti wajenga nyumba mfano wanahitaji muhuri tu hata sheria inapowalazimisha, ANAYETOA MUHURI TU si ndio huyo injinia ambaye hajui lolote maana angejua asingetoa muhuri tu hata iweje. INAPOKUBALI KUMPA MKULIMA TU MHURI BADO UNATAMANI KUTAMBULIWA KIVITENDO????

KUTHAMINIWA
Ili kuthaminiwa unahitaji kutambulika, so kwa kufail kutambulika huwezi kuthaminiwa.

Nadhani halina ubishi kuwa Nyerere wakati anaanzisha vyuo hivi, alithamini sana mchango wa injinia, sasa thamani hii iliishia wapi, lazima tena tujiulize kuhusu kipi kinaanza, ninakuthamini mpaka unionesha kuwa huna thamani yoyote. Nyerere aliwathamini ilipofika kuwa mmeonesha hakuna kitu ndo tulipoanza kuwatelekeza na kuazima injinia kutoa nje, this is common sense tu. Kama unakijana aliyeiva na kubarehe utaenda kuazima kijana wa jirani kufanya shughuli za familia????? haiingii kichwani kabisa lazima ugundue kwanza kijana wako anauidhaifu mkubwa maana hata ukiwa mdogo utajaribu kufumbia macho.

Kama eti hoja ni 10% ndo maana serikali inadili na wa nje, haina mashiko hata kidogo. maana hao wa nje wanapotoa hiyo 10% inakuwa humo humo kwenye tenda sio kwenye mali zao za zamani. Sasa kwani nyie mnashindwa ku include 10% ili mpate kazi??? hoja ni HAMUIWEZI KAZI, sio hamna 10% ambayo kimsingi iko kwenye kazi hiyo hiyo.

Ninakupa kazi unashindwa, unaiingiza serikali kwenye hasara, napoteza ile imani yangu na wewe, naacha kukuthamini sikupi kazi tena. Ndo kilichoikuta TZ ya Nyerere. Natujua tuliwathamini sana hapo mwanzo baadaye sio serikali tu hata mtu binafsi anaomba mhuri tu, hakuhitaji, na wewe engineer unakulibali huhitajiki unatoa mhuri biashara inaishia hapo. Very sorry for Tz engineers.
 
Kibarabara cha Bagamoyo sasa hivi kinajengwa na Wajapan....(Konoike).

Selander bridge ilijengwa na Kajima!

Where was Tanzanian engineering?
By then we didn't have the capacity...ila leo hii kuna makampuni yanayojenga barabara hizo bila matatizo yoyote. By the way Konoike inafanya kazi na subcontractors wanne amabo ni locals(ESTIM Construction, Ravji, MAC etc. Majengo mengi makubwa pia yanajengwa na makampuni ya hapa ndani. Naamini kama kungekuwa na drive kama za China tungeweza kabisa kuwa na makampuni yenye uwezo kama huo. Where is MECO? Unaikumbuka? It was meant to be like CRJE or CHICO or anything but as usual tuliua hizi kampuni zooote
 
Ashuakumu si matusi, I agree with you FF. Wahandisi wengi ubunifu ni sifuri. nao wako katika mishe mishe za kutafuta deal. Na kusema ukweli, mechanical engineers ambao wana wajibu wa kudesign na kutengeneza machines zinazosaidia kwenye shughuli nyingi ndo wamelala kabisaaa. Wengin wanataka kufanya kazi za kuuza sura au kuwa mameneja.
As a result manufacturing industry imelala usingizi wa pono. Kinachosumbua kichwa ni kuwa kwa mfano ukuaji wa sector kama ya gasi halafu na ufuaji wa chuma kule mchuchuma, bila wahandisi wazalendo itakuwa ni kutwanga maji kwenye kinu.
Kidogo civil engineers wana wanalofanya. The so called chemicals, mhhhh! Wale wa umeme wengi wanazima na kuwasha generator za kwenye minara ya simu, a routine job for very qualified people. When it comes to wahandisi, I don't know whom to turn to!
heshima mbele mkuu zungumza kwa taafiti wewe mimi MHANDISI WA UMEME KAZI NIYAYO FANYA HAPA BONGO NII ONLY FEW ENGINEERS WANAWEZA FANYA HIVI MBONA MNADHARAU SANA MIMI NIAMBIE KAZI YANGU NINI KWANZA HALAFU ELEZA MAPANGUFU KWENYE KAZI YANGU NDIO TUTAELEWESHANA.. WEWE ETI TUNAZIMA NA KUWASHA GENERATOR DAAAAH
 
Mkuu NN km pangekua na mchakato wazi wa kuwainua local Engineers tungefika mbali,tatizo hii mentality ya wanaofanya vyema inabidi watoke ulaya ama kua na ngozi nyeupe ndiyo inayofanya wahandisi wetu ndani wazidi kutukanwa kwa makosa waliyofanya wengine...Hata hao China na Japan waliwaamini kwanza wataalamu wao na ndipo nao wakadhihirisha kua wanaweza kuimplement kile walichofundishwa chuoni...

Its obvious hakuna mpango wa kuwainua local engineers...but what do they do to improve their professional and add value to the society? Does it need a politician?
 
Kale nako kakujisifia? Halafu nakataa sio 100% meza za kuchorea zilikuwa za Kitanzania? kalamu za kuchorea? makaratasi? kompyuta na software zake? vifaa vyote mule? Usijidai 100%, futa hiyo:

Tufanyieni kitu kama hii 100%: tuwasifu:
central_chinese_television-cctv_beijing.jpg

eti jamani whats so difficult in designing this tatizo hamjui tunafanya nini please guys think harder ok engineers whats the challenge in this?
 
Teh teh teh....kuna moja lilidondoka pale Kariakoo lol....funny but it's really not funny.

wewe una matatizo kwani ni Tanzania tu maghrofa yanaporomoka hujasikia rio, india recently embu google hapo uone, haya sasa kwa nini unasema engineer ndio ana makosa kwa nini? how is an engineer involved in the collapsing of the building?
 
fanya hivi chukua structural drawing ya eng wa tz, eng wa kenya, eng wa anywhere in the world of the same building and then tell me the difference, actually do you know what is the structural drawing can you read any engineering drawing Nyani Ngabu?
 
Engineers wana mkono wao kwenye hili. Hili tatizo linaharibu sana fani na tukubali ukweli, rushwa ni kubwa mno kwenye shughuli nyingi za kihandisi mpaka kunafika sehemu kazi zinafanya kuwa mbaya. Tuliona hapa uhandisi wa majengo na madaraja fulani kule Rudewa. Yule mhandisi sijui kama anajua analofanya

heshima mbele mkuu zungumza kwa taafiti wewe mimi MHANDISI WA UMEME KAZI NIYAYO FANYA HAPA BONGO NII ONLY FEW ENGINEERS WANAWEZA FANYA HIVI MBONA MNADHARAU SANA MIMI NIAMBIE KAZI YANGU NINI KWANZA HALAFU ELEZA MAPANGUFU KWENYE KAZI YANGU NDIO TUTAELEWESHANA.. WEWE ETI TUNAZIMA NA KUWASHA GENERATOR DAAAAH

wewe una matatizo kwani ni Tanzania tu maghrofa yanaporomoka hujasikia rio, india recently embu google hapo uone, haya sasa kwa nini unasema engineer ndio ana makosa kwa nini? how is an engineer involved in the collapsing of the building?

Tanzania kila kona kunanuka rushwa!!
 
kila kitu hatuwezi hatuwezi ndio maana tanzanite itaibwa na hamna anayenufaika kwa sababu ya huu upuuzi wa kuamini mzungu anaweza tu,maeng wapo na wanafanya vitu sana tu hivi hata common sense hamtumii sa si coet ifungwe?embu kuweni wazalendo.
 
Ashuakumu si matusi, I agree with you FF. Wahandisi wengi ubunifu ni sifuri. nao wako katika mishe mishe za kutafuta deal. Na kusema ukweli, mechanical engineers ambao wana wajibu wa kudesign na kutengeneza machines zinazosaidia kwenye shughuli nyingi ndo wamelala kabisaaa. Wengin wanataka kufanya kazi za kuuza sura au kuwa mameneja.
As a result manufacturing industry imelala usingizi wa pono. Kinachosumbua kichwa ni kuwa kwa mfano ukuaji wa sector kama ya gasi halafu na ufuaji wa chuma kule mchuchuma, bila wahandisi wazalendo itakuwa ni kutwanga maji kwenye kinu.
Kidogo civil engineers wana wanalofanya. The so called chemicals, mhhhh! Wale wa umeme wengi wanazima na kuwasha generator za kwenye minara ya simu, a routine job for very qualified people. When it comes to wahandisi, I don't know whom to turn to!

Wewe, NN, na FF mko kundi moja ni kutojua kazi za Engineer!, ndio maana napataga tabu sana hata kwa jamaa zangu anakuja aisee wewe si muhandisi naomba nicholee nyumba!,

Jamani our main duities ni planning, designing and managing, sasa kama kuna mtu anataka kuniuliza aanzie hapo!!,

Kama FF na NN hata kutafoutisha Engineer, Architect na Draft man hawajui utaanzia wapi mjadala, na ndio maana FF kwenye post yake ya kwanza kasema tunadesign mabox kariakoo!! kwa taarifa yako we only for structure stability kama tumekua fully involved kwenye project.
 
Back
Top Bottom