Wafuatao wasirudi bungeni 2016...hawa ni hatari na janga kwa Taifa

Yani huyu wasira ndo namchukia kupita wote,huyu werema nae uwezo wa kupembua mambo ni mdogo,vle vle hajitambui.

Huyu werema muda si mrefu kj atampiga chini yan kichwa chake kimejaa nywele kibao lakin ataki kunyoa sijui kwa nn?
 
Kwa mkoa wa Ruvuma (anakotoka) na kwa CCM anayotoka, hawezi kushindana au kumtoa Nchimbi, Komba, Kawawa, na wale jamaa wa Tunduru labda jimbo la Mbiga mashariki (kwa kayombo), nafasi aliyonayo labda agombee huko huko mkoa wa Rukwa.

Huyu mama anatoka jimbo moja na komba kijijini kwao ni njambe,kihagara kule watu wanatumia vichwa kufuga nywele tu.
 
Dr mrema - kujipendekeza kwa JK kwa mambo ambayo ni wajibu wa kiongozi wa taifa kufanya kuweka barabara kujenga soko ongezea
 
Mmemsahau yule mwenyekiti wa "kamati ya ufundi" ya CCM-huyu naye asirudi, sababu: Ulozi
 
Basil Mramba-Ufisadi
Edward Lowassa-Ufisadi
John Chenge-Ufisadi
Anna Makinda-Ukihiyo na kuburuza bunge
Mohamed Dewji-Ufisadi kununua ule uwanja wa Mkullo
Mustafa Mkullo-Ufisadi
Anna Abdallah-Ufisadi
Mudhihir Mudhihir- Ufisadi
Sofia Simba-Ufisadi
Gosbert Blandess-Ufisadi
Shukuru Kawambwa-Uzembe
Jumanne Maghembe-Uzembe
George Mkuchika-Ufisadi
Adam Malima-Ufisadi na uhuni
Mathias Chikawe-Uzembe
John Komba-Ufisadi na Uzembe
Mary Nagu-Kughushi
Emanuel Nchimbi-Kughushi
endelea.....
Naona raha sana.
 
Basil Mramba-Ufisadi
Edward Lowassa-Ufisadi
John Chenge-Ufisadi
Anna Makinda-Ukihiyo na kuburuza bunge
Mohamed Dewji-Ufisadi kununua ule uwanja wa Mkullo
Mustafa Mkullo-Ufisadi
Anna Abdallah-Ufisadi
Mudhihir Mudhihir- Ufisadi
Sofia Simba-Ufisadi
Gosbert Blandess-Ufisadi
Shukuru Kawambwa-Uzembe
Jumanne Maghembe-Uzembe
George Mkuchika-Ufisadi
Adam Malima-Ufisadi na uhuni
Mathias Chikawe-Uzembe
John Komba-Ufisadi na Uzembe
Mary Nagu-Kughushi
Emanuel Nchimbi-Kughushi
endelea.....

Wilbord Slaa ---Uzinzi (Huyu hayupo tuhakikishe hafiki mjengoni)
John Mnyika---Uwongo
Tundu Lissu--- Kavunja Kiti Chake bungeni....uharibifu wa mali ya uma
 
Mnalalama sana ndugu zangu! Hapo bungeni wabunge mbona nikiwahesabu hata hawafiki 10! Changanya CHADEMA na CCM wote utapata ambao hata 10 hawafiki! Mbunge hapo kula , Mnyika, Deo, Tundu, Zitto mwenyewe siyo yule ninayemjua, sasa mwingine ni yupi?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mwingulu anafrustration za kukosa kuteuliwa uwazir ndo mana anatafuta sifa za kijinga sasa hiv!.. Kila kukicha anaonyesha udhaifu
 
tehe tehe yaani Mwigulu, Lusinde na Wassira ndio vichwa nyinyim kweli umenichekesha
 
Back
Top Bottom