Wafuatao wasirudi bungeni 2016...hawa ni hatari na janga kwa Taifa

Huwezi tambua uwezo wa mtu aliye kimya amekaa au kasimama, ila akianza kuongea tu na baadaye kutenda chochote hakika unaweza kumfaham IQ yake.
Hao jamaa kimsingi ni waropokaji sana na huwa hawajali wanaropoka nini.
Ahsante sana
 
Wabunge wote Wa CCM kwani ni wanafiki ...

wabunge wote wa chadema ni wauwaji,juzi apa wameuwa kule iramba,wengine jana hukumu imetoka waliuwa huko igunga,mwingine ambae ndio kinara wao leo anafanya sherehe kufuatia kuzama kwa meli na kuua watu huko zanzibar.watanzania endeleeni kuwapuuza hawa watu wabaya sana.
 
Huwezi tambua uwezo wa mtu aliye kimya amekaa au kasimama, ila akianza kuongea tu na baadaye kutenda chochote hakika unaweza kumfaham IQ yake.
Hao jamaa kimsingi ni waropokaji sana na huwa hawajali wanaropoka nini.

hivi kwa nini mnyika na chadema yake wameenda iramba kuua kijana wa watu badala ya kueleza sera?au ndio sera zenu.
 
Well hiwapo kazi ya mmbunge ni ku- scrutinize the government expenditure na policies zao, na kitu ambacho wabunge wengi hawaitumii hiyo nafasi, kwa kweli sioni sababu ya wengi mno kurudi. Maana wao wapo kutetea tu uozo wa serikali na kujibu kwa staili za mipasho.

Wakati kila kukicha ajali haziishi barabarani na majini. Clearly Kama bunge na wabunge lingekua linafanya kazi za checks zake kwa manufaa ya umma waziri husika angekuwa keshatoa maelezo na measure to be taken in the future hili haya mambo kutojirudia or else kazi hana.

Hawa hawawezi hata kuuliza simple social catastrophes ambazo zinatokea kila kukicha unategema kweli wataweza uliza maswala ya changamoto za kuulizia maendeleo ya wanao wawakilisha kweli. wao wapo ku support ufujaji wa hela za walipa kodi tu, hicho ndio wanchojua kukiwakilisha (ama tuseme kujiwakilisha) as for the interest of their constituents amna kitu na hii ndio sababu mawaziri wengi hawaoni sababu ya kutaka kuwajibika kwenye matumizi za bajeti zao bunge halina checks.

That is to say wengi tu wakutorudi huko bungeni binafsi nasema Iddi hazan afai na asirudi yule kuna mambo mengi analiangusha jimbo lake or yeah na mmbunge wa sasa anaewakilisha jimbo ambalo kijiji cha Nyabula kilipo somewhere in I....a
 
nenda wewe ukapunguze kwanza ujinga ndipo urudi kujadili mada alokuambia kuwa hawana elimu nani hao kina lusinde mwigulu wenye vyeti vya matusi je?
 
Kweli jamani hao ni janga la kitaifa... ni waganga njaa tu. Ongeza na Pinda kwemye list
Nikheri nimuongeze Lukuvi kuliko Pinda....Sikatai ni kweli Pinda nae ni janga, lakini Lukuvi ni sumu kwa Taifa
 
Viti maaluma...no value for money...hatuitaji kuwalipa watu kwa kazi ya kuitikia ndiyo...
 
Kwa kifupi bunge liwe na wabunge wachache wa CCM na raisi wakutoka chama kingine maana so far tumejaza siasa za kijambazi na viongozi wasio na vision ya pakulipeleka taifa jamani tukubali CCM wameshindwa they have had their chances.

Naambiwa mfano Samwel Sitta wakati anasoma master yake hapo UDSM in the early 70's tayari alishakuwa dean wa chuo hapo hapo ungali mwanafunzi, surely these people have been in senior positions for too long and have lost touch with reality si ajabu watu wanaona sawa tu kujenga majengo makubwa ya ofisi za kiserikali au hata mabarabara vijiji mwao without measured economic success nationally on their expenditures.

Its about time we got rid on a majority of CCM mp's especially wazee wazee na wengine wote wa upinzani wasiotaka mabadiliko Shibuda akiwa mmoja wapo.
 
wote watang'oka ila huyo Manyanya ni Viti Maalum strategy iweje? anyway Majimbo mengi yakichukuliwa naamini na yeye atakuwa hayumo, umesahau Prof.Maji Marefu
 
Back
Top Bottom