Wafuatao wasirudi bungeni 2016...hawa ni hatari na janga kwa Taifa

Mwigulu na wasira si ndio wanaoibomoa chadema?wana shida gani, waache waendelee kutoa elimu ya uraia kwa umma.
 
Hivi wabunge hawa wafuatao walichaguliwa na nani? walijichagua wenyewe au
walichaguliwa na wananchi? MWIGURU,LUSINDE,WASIRA, E.S MANYANYA na JOHN
SHIBUDA....hakika hawa si wabunge wala si wawakilishi wa wananchi, Hawa ni watu
hatari sana kwa mustakabali wa Taifa letu....yaani hawa watu ni zaidi ya mashabiki
wa ccm waliokunywa maji ya bendera ya chama...yaani wako teyari nchi iingie kwe
nye machafuko ilimradi ccm itawale milele...hawa watu ni zaidi ya propaganda.

Ombi langu nalielekeza kwa wananchi wa majimbo husika walikotokea wabunge hawa
chonde chonde hakikisheni uchaguzi wa mwaka 2015 hawa watu hamuwachagui tena.

Pia nawaombeni viongozi wa CDM hakikisheni munapata watu bora na makini ambao mu
tawasimamisha kupambana na hawa watu(SUMU) kwenye majimbo husika....vinginevyo
nchi nchi itaingia kwenye machafuko ya hatari sana. - Nawasilisha kwa hoja pana.

lazima mkome nyie chademu,hawa lazima waendelee kuwanyima usingizi na uchaguzi ujao lazima wapite bila kupingwa,hakuna kulala mpaka hawa wachaga wasambaratike.
 
lazima mkome nyie chademu,hawa lazima waendelee kuwanyima usingizi na uchaguzi ujao lazima wapite bila kupingwa,hakuna kulala mpaka hawa wachaga wasambaratike.

Kumbe, Mnyika, Lissu, Mdee, na wengine wanaochachafya bunge nao ni Wachaga??? U-kabila utakutoka lini "mgongoni"??
 
Mwigulu madelu lameck nchemba,kimbiza mwizi meeeen!chapa hao chademu mboko za mgongo hadi watie adabu.
 
Kumbe, Mnyika, Lissu, Mdee, na wengine wanaochachafya bunge nao ni Wachaga??? U-kabila utakutoka lini "mgongoni"??
Mkuu, ndiyo maana mie nikaja na mada hii ya kuwa hao 4 wasirudi tena mjengoni....maana hao ndiyo mabingwa wa propa
ganda hizo. Na ukiona mtu yeyote anakuja na hoja za udini na ukabila basi usiumize kichwa ila ujue hayo ni matunda kutoka kwa hao 4 hapo juu. Ongeza na Lukuvi
 
Kweli jamani hao ni janga la kitaifa... ni waganga njaa tu. Ongeza na Pinda kwemye list
 
Kumbe, Mnyika, Lissu, Mdee, na wengine wanaochachafya bunge nao ni Wachaga??? U-kabila utakutoka lini "mgongoni"??

wachaga watupu au hujui mkuu,mnyika ni mchaga mpare,mdee ni mchaga origino na lissu ni mchanganyiko wa mchaga na mnyaturu.hawana lolote zaidi ya matusi na vituko vya kitoto tu wale.af mkuu buko kule kwetu ni panya flani wale wakubwaa,lina mana hyo au?
 
Huwezi tambua uwezo wa mtu aliye kimya amekaa au kasimama, ila akianza kuongea tu na baadaye kutenda chochote hakika unaweza kumfaham IQ yake.
Hao jamaa kimsingi ni waropokaji sana na huwa hawajali wanaropoka nini.
 
Back
Top Bottom