Wafuatao wasirudi bungeni 2016...hawa ni hatari na janga kwa Taifa

Naona hii imekaa kichama zaidi kuliko kitaifa. Hili ndilo tatizo la Jf. Wapiga debe wa Chadema wanaponda wabunge wa CCM tu na wale wa CCM wanaponda wa Chadema; uzalendo haupo. Hii ndio maana CCM itatawala kwa miaka mingi sana. Tunataka maendeleo ya nchi na si chama. Ni upungufu wa mawazo kufikiria kuwa kama CCM ikiondoka basi chama kingine kitaifanya nchi iendelee kwa kasi; inaweza ikawa tofauti sana na tukajuta kama walivyojuta Zambia baada ya kuingoa UNIP.
 
Umenisikitisha sana kumsahau JOB NDUGAI kwenye hii list yko...........!!!! Ni technical error au haraka ya ku post?
Mkuu, ahsante kwa kunikumbusha....kiukweli nilisahau hawa watu wawili, NDUGAI na LUKUVI' hata hivyo teyari wako kwenye list
 
Umesau Lukuvi
Makinda
Viti maalum Ccm
Maghembe
Matayo David
Ole Medeye
Sendeka mnafiki
 
Naona hii imekaa kichama zaidi kuliko kitaifa. Hili ndilo tatizo la Jf. Wapiga debe wa Chadema wanaponda wabunge wa CCM tu na wale wa CCM wanaponda wa Chadema; uzalendo haupo. Hii ndio maana CCM itatawala kwa miaka mingi sana. Tunataka maendeleo ya nchi na si chama. Ni upungufu wa mawazo kufikiria kuwa kama CCM ikiondoka basi chama kingine kitaifanya nchi iendelee kwa kasi; inaweza ikawa tofauti sana na tukajuta kama walivyojuta Zambia baada ya kuingoa UNIP.

Na kibaya zaidi historia huwa inajirudia!
Umenena vyema mkuu.
 
Hivi wabunge hawa wafuatao walichaguliwa na nani? walijichagua wenyewe au walichaguliwa na wananchi?

MWIGURU
,LUSINDE,WASIRA, E.S MANYANYA na JOHN SHIBUDA....hakika hawa si wabunge wala si wawakilishi wa wananchi, Hawa ni watu hatari sana kwa mustakabali wa Taifa letu....yaani hawa watu ni zaidi ya mashabiki wa CCM waliokunywa maji ya bendera ya chama...yaani wako teyari nchi iingie kwenye machafuko ilimradi ccm itawale milele...hawa watu ni zaidi ya propaganda.

Ombi langu nalielekeza kwa wananchi wa majimbo husika walikotokea wabunge hawa chonde chonde hakikisheni uchaguzi wa mwaka 2015 hawa watu hamuwachagui tena.

Pia nawaombeni viongozi wa CDM hakikisheni munapata watu bora na makini ambao mtawasimamisha kupambana na hawa watu (SUMU) kwenye majimbo husika....vinginevyo nchi itaingia kwenye machafuko ya hatari sana.

Nawasilisha kwa hoja pana.

Mkuu mbona hawa wote ni cha mtoto. Haya mambo yao ni umalaya na utoto tu. Tumeshawasahau mafisadi waliotufikisha hapa.
 
Hydrobenga Jr mbona kwenye hako kamchezo ka chini umesahau kuweka Jakaaya au ni yale ya kupakana matope mwanangu? Jitahidi ufikiri kwa faidi badala ya kufikiri kinepinepi hata kimasaburi mwanangu.
 
Mkuu mbona hawa wote ni cha mtoto. Haya mambo yao ni umalaya na utoto tu. Tumeshawasahau mafisadi waliotufikisha hapa.
Bora hata ya hao mafisadi kuliko SUMU hizi mkuu....yaani wanaropoka ujinga ujinga mtupu
 
Huyu mama anatoka jimbo moja na komba kijijini kwao ni njambe,kihagara kule watu wanatumia vichwa kufuga nywele tu.

basi kama ni hivyo, automatic Manyanya hatakuwepo hio 2016, maana najua wamatengo wa huko ni afadhali ya Komba kumshinda yeye, ila kwa kuwa Komba naye hatarudi, naamini sauti ya umma itaamua atakeyefaa
 
Back
Top Bottom