Wafuatao wasirudi bungeni 2016...hawa ni hatari na janga kwa Taifa

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Hivi wabunge hawa wafuatao walichaguliwa na nani? walijichagua wenyewe au walichaguliwa na wananchi?

MWIGURU
,LUSINDE,WASIRA, E.S MANYANYA na JOHN SHIBUDA....hakika hawa si wabunge wala si wawakilishi wa wananchi, Hawa ni watu hatari sana kwa mustakabali wa Taifa letu....yaani hawa watu ni zaidi ya mashabiki wa CCM waliokunywa maji ya bendera ya chama...yaani wako teyari nchi iingie kwenye machafuko ilimradi ccm itawale milele...hawa watu ni zaidi ya propaganda.

Ombi langu nalielekeza kwa wananchi wa majimbo husika walikotokea wabunge hawa chonde chonde hakikisheni uchaguzi wa mwaka 2015 hawa watu hamuwachagui tena.

Pia nawaombeni viongozi wa CDM hakikisheni munapata watu bora na makini ambao mtawasimamisha kupambana na hawa watu (SUMU) kwenye majimbo husika....vinginevyo nchi itaingia kwenye machafuko ya hatari sana.

Nawasilisha kwa hoja pana.
 
Mkuu umemsahau fisadi A.chenge aka vijisenti mara kajiita mtemi wa ufisadi
 
Basil Mramba-Ufisadi
Edward Lowassa-Ufisadi
John Chenge-Ufisadi
Anna Makinda-Ukihiyo na kuburuza bunge
Mohamed Dewji-Ufisadi kununua ule uwanja wa Mkullo
Mustafa Mkullo-Ufisadi
Anna Abdallah-Ufisadi
Mudhihir Mudhihir- Ufisadi
Sofia Simba-Ufisadi
Gosbert Blandess-Ufisadi
Shukuru Kawambwa-Uzembe
Jumanne Maghembe-Uzembe
George Mkuchika-Ufisadi
Adam Malima-Ufisadi na uhuni
Mathias Chikawe-Uzembe
John Komba-Ufisadi na Uzembe
Mary Nagu-Kughushi
Emanuel Nchimbi-Kughushi
endelea.....
 
Basil Mramba-Ufisadi
Edward Lowassa-Ufisadi
John Chenge-Ufisadi
Anna Makinda-Ukihiyo na kuburuza bunge
Mohamed Dewji-Ufisadi kununua ule uwanja wa Mkullo
Mustafa Mkullo-Ufisadi
Anna Abdallah-Ufisadi
Mudhihir Mudhihir- Ufisadi
Sofia Simba-Ufisadi
Gosbert Blandess-Ufisadi
Shukuru Kawambwa-Uzembe
Jumanne Maghembe-Uzembe
George Mkuchika-Ufisadi
Adam Malima-Ufisadi na uhuni
Mathias Chikawe-Uzembe
John Komba-Ufisadi na Uzembe
Mary Nagu-Kughushi
Emanuel Nchimbi-Kughushi
endelea.....
For me hawa uliyowataja hapa wala hawasumbui....mkuu hao niliowaorodhesha pale juu ni janga kwa Taifa
 
Hivi wabunge hawa wafuatao walichaguliwa na nani? walijichagua wenyewe au
walichaguliwa na wananchi? MWIGURU,LUSINDE,WASIRA, E.S MANYANYA na JOHN
SHIBUDA....hakika hawa si wabunge wala si wawakilishi wa wananchi, Hawa ni watu
hatari sana kwa mustakabali wa Taifa letu....yaani hawa watu ni zaidi ya mashabiki
wa ccm waliokunywa maji ya bendera ya chama...yaani wako teyari nchi iingie kwe
nye machafuko ilimradi ccm itawale milele...hawa watu ni zaidi ya propagan

Ombi langu nalielekeza kwa wananchi wa majimbo husika walikotokea wabunge hawa
chonde chonde hakikisheni uchaguzi wa mwaka 2015 hawa watu hamuwachagui tena.

Pia nawaombeni viongozi wa CDM hakikisheni munapata watu bora na makini ambao mu
tawasimamisha kupambana na hawa watu(SUMU) kwenye majimbo husika....vinginevyo
nchi nchi itaingia kwenye machafuko ya hatari sana. - Nawasilisha kwa hoja pana.
Tena ongea taratibu kwani hujui hao watatu wa kwanza ndiyo wanaotegemewa kama vichwa?
 
he! Yani we unaona mtu kama Makinda ni bora!? Wakat yeye ndo anaewapa hifadhi wabunge vichwa maji.
Mkuu, sikatai ni kweli Makinda nae ana matatizo....lakini hao wa4 hapo juu ni hatari na janga kubwa kwa Taifa letu
yaani hao wako teyari kusema RED ni black na BLACK ni red
 
Basil Mramba-Ufisadi
Edward Lowassa-Ufisadi
John Chenge-Ufisadi
Anna Makinda-Ukihiyo na kuburuza bunge
Mohamed Dewji-Ufisadi kununua ule uwanja wa Mkullo
Mustafa Mkullo-Ufisadi
Anna Abdallah-Ufisadi
Mudhihir Mudhihir- Ufisadi
Sofia Simba-Ufisadi
Gosbert Blandess-Ufisadi
Shukuru Kawambwa-Uzembe
Jumanne Maghembe-Uzembe
George Mkuchika-Ufisadi
Adam Malima-Ufisadi na uhuni
Mathias Chikawe-Uzembe
John Komba-Ufisadi na Uzembe
Mary Nagu-Kughushi
Emanuel Nchimbi-Kughushi
endelea.....

LUKUVI-utumwa
MWANJALI- elimu duni
G. ZAMBI- kigeugeu
WASIRA- Muchknow + utumwa
endelea
 
Back
Top Bottom