Mbona mama yako kakeketwa na siyo mchaga?!
hii kitu ilikuwepo but not exist now,imeisha baada ya kampeniza fgm kushamimiri.that the truth.
...........wachaga wa sasa hawajuimambo hayo..................
wachaga wanakeketa, lakini si wote. asilimia kubwa ya wale waliozaliwa na kukulia vijijini huko klm wamekeketwa, labda hao wanaozaliwa mijini ndio hawakeketwi. wa mjini wanaachwa, ila wale wa vijijini wanakeketwa. nawafahamu wanawake wengi tu wamekeketwa ni wa kichaga, tena wa Rombo. kuna mmoja anafikisha miaka 35 kuolewa haolewi, ni mzuriii, kila mwanaume akienda anakuta hana beans, anamlamba mara moja tu analala mbele. this is one of the most traumatic thing to live with, kukeketwa. nimeshalamba wanawake wengi tu wa kichaga na wamekeketwa, mimi mwenyewe ni mchaga. tuombe Mungu mambo haya yaishe kwani yamepitwa na wakati.
Aiseee chaliii angu tupoooo! Umemsahau na nanihiiii,kileo alikuwepoo! Tarimo alikuwepooo! Urasa alikuwepoooo! Shirima alikuwepoooo! Ye woooooomi kiki elanyie!
hii kitu ilikuwepo but not exist now,imeisha baada ya kampeniza fgm kushamimiri.that the truth.
Kweli mkuu makabila mengi hapo miaka ya nyuma walikuwa wakikeketa ila hayo mambo yamepungua miaka ya hivi karibuni. Ila ukigonga wenye miaka 40 na kuendelea lazima utaikosa memory card! Makabila kama wapare, wachaga, wagogo, wakurya, nk. walikuwa wakikeketa. Kuna wengine wameacha ila wengine wanafanya kwa siri mfano huko Ukuryani na ugogoni.
Nimeshangazwa na taarifa kuwa takribani wanawake wote wa kichaga wamekeketwa. Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa watu wanne ambao ni wachaga na wanawake. Wao pia wamekiri kuwa wamekeketwa ila tangu wakiwa wadogo.
Je, ni kweli kuwa ukeketaji uanendelea kimya kimya katika makabila mengi TZ? Je hii ndo sababu ya hawa jamaa kudaiwa kutojua mambo?
Tujadili.
wachaga wanakeketa, lakini si wote. asilimia kubwa ya wale waliozaliwa na kukulia vijijini huko klm wamekeketwa, labda hao wanaozaliwa mijini ndio hawakeketwi. wa mjini wanaachwa, ila wale wa vijijini wanakeketwa. nawafahamu wanawake wengi tu wamekeketwa ni wa kichaga, tena wa Rombo. kuna mmoja anafikisha miaka 35 kuolewa haolewi, ni mzuriii, kila mwanaume akienda anakuta hana beans, anamlamba mara moja tu analala mbele. this is one of the most traumatic thing to live with, kukeketwa. nimeshalamba wanawake wengi tu wa kichaga na wamekeketwa, mimi mwenyewe ni mchaga. tuombe Mungu mambo haya yaishe kwani yamepitwa na wakati.
kwa kweli tangu nimekua na akili zangu najua wachaga hawafanyi hii kitu labda wakurwa
You are among the fewest inds, coming from that area, who know how to approach issues intelligently. Kutukana pekee hakutoshi kama unachokitolea matusi kina ukweli ndani yake.
Una kichaa? Au unaripoti toka kuzimu? Hao wanawake ni wa hapa duniani au ni wa huko ulipo kuzimu?
Mama yako labda ndio amekeketwa.
ata mimi nimembonyeza housegirl hapa nyumba ni mchaga na memory card imechomolewa haipo.
Smile and be happy, kama haikuhusu huna haja ya kuwa na jazba Smile. Wewe lete hoja tu, kukataa au kukubali.