Wachaga wakeketaji mahiri!

Wewe wameshakukeketa?

Mpaka wa leo nimeshalamba wachaga si chini ya 9 na sijakutana hata na mmoja aliyekeketwa. Mimi wasiwasi wangu ni jinsia yako. Iweje ukayajadili haya na wamama wa4 wa kichaga na kuuita huo ni uchunguzi.

Teh teh teh teh teh teh teh .........! Kama wanakeketa basi ni tamaduni tu! Nimefichua siri nini?
 
wewe ndo utakua umekeketwa KOTEKOTE...mm nina mke mchaga ki-bean kipo...of all tribes...ukaangukia uchagani?...umekwisha...subiri mvua iishe!

hahahahahahahahah......! Angalia kisije kikawa kipo robo na hujaona. Vip hasumbui kihisia na mchaka mchakachinja anaiweza?
 
Kuna documentary moja ya mdada mmoja hivi wakimarekani ambaye baba yake ni mchaga anaitwa Kimaro kama sikosei na mama yake ni mkorea ya kusini!Documentary yake inahusu maisha ya wanawake wakichaga,hili la ukeketaji alilitaja pia miongoni mwa ukatili wa aina nyingi wanaokutana nao wanawake wa kichaga!!Lakini sidhani kama mpaka leo wanakeketa!!
 
Kuna documentary moja ya mdada mmoja hivi wakimarekani ambaye baba yake ni mchaga anaitwa Kimaro kama sikosei na mama yake ni mkorea ya kusini!Documentary yake inahusu maisha ya wanawake wakichaga,hili la ukeketaji alilitaja pia miongoni mwa ukatili wa aina nyingi wanaokutana nao wanawake wa kichaga!!Lakini sidhani kama mpaka leo wanakeketa!!

Mkuu, nakuunga mkono kabisa kuwa hii kitu ipo chaggani ila sikuleta hoja kutukanwa na wala sikuwa na nia mbaya. Ni kweli hii kitu ipo na wafanya hivi kwa siri sana kiasi kwamba si rahisi kujulikana. na ndo maana unaona wachangiaji wengi wanakuwa aggressive kwakuwa wanaona either siri inafichuka au ni kitu cha kuwadharirisha ila its a researchable issue.
 
yesuuuu wanguu....na manka alikuwepo,kileo alikuwepo,kimaro alikuwepo,mremi alikuwepo,shayo alikuwepoo,ahaha keku nae anlikuwepo ni memsahau NANIIII CHUAAAA NAE ALIKUWEPO,wachagga na sisi tumooo tuna represent this s h it for real.ilaa kuhusu la kukeketwaa sithani ni wanawake wa kare kuanzi 20 ilikuwa zamani sanaaa,sasa hivi watu wameelimikaa BIG UP KWAMACHALI WANGU WA ROMBOO,TARAKEA,MKUU....
 
Kwa nini watu mnapenda kuita black white huku mnajua ni black. Makabila kadhaa hapa Tz yana mila za kukeketa wanawake including wachaga. Lakini mlivyokuja juu kusema jamaa kadanganya. Mngeweza jitetea kwa kusema kuna wale ambao ni wa mujini hawakubali hizi mila potofu kuliko kuukana ukweli. Wachaga wanakeketwa mwaya mtoa mada you are very right. Ila wao hawafanyi sherehe baada ya hiyo shughuli (hawako wazi) kama watani zangu wakurya.
 
Una kichaa? Au unaripoti toka kuzimu? Hao wanawake ni wa hapa duniani au ni wa huko ulipo kuzimu?
wachagga wa eneo moja la kibosho....maeneo ya kifuni..na umbwe...kule kibosho juu (sijui kama ni wakibosha wote)wanakeketa mabinti....hili nimelishuhudia mwenyewe wakati nikifanya tafiti juu ya jambo hili....niliamua kwenda kibosho umbwe mpaka kifuni..kutafiti na nikakuta ni kweli mabinti wa kule wanakeketwa...tena binti kabla hajaanza ngono lazima akeketwe...sema wao hawakati sana kama wanavyofanya wasomali......wao wakibosho wanakata clitoris(harage)....Sijui sasa kama hii mila inaendelea bado kule baada ya kelele nyingi kupigwa miaka ya karibuni maana tafiti hii nilifanya miaka ya 1992-1993(ulikuwa na umri gani hapa wewe?).......
 
hahahahahahahahah......! Angalia kisije kikawa kipo robo na hujaona. Vip hasumbui kihisia na mchaka mchakachinja anaiweza?

yuko fresh...sarakasi anaziruka fresh tu...anaibua mpaka vilivyopotelea chini ya uvungu...
 
jamani wachaga msibishe tu bila mpangilio. kubalini kua ukeketwaji ulikuwepo lakini kwa sasa hakuna tena. tena wachaga walikua wakikeketwa mabinti wakubwa kabisa, darasa la 7 nadhani, lakini waliacha miaka mingi, ila mama zao nadhani wamekeketwa. mimi sikatai kabila langu pia walikua wanakeketa ili waliacha miaka ya 70 mwanzoni nadhani, wakabaki wachache. Ila wachaga mpaka miaka ya 80 za mwanzo kamchezo hako kalikua kanaendelea. hivyo msibishe, semeni hamjui lakini mkibisha wakati watu tunawajua wengi waliokeketwa mnajichoresha tu.
 
Nimeshangazwa na taarifa kuwa takribani wanawake wote wa kichaga wamekeketwa. Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa watu wanne ambao ni wachaga na wanawake. Wao pia wamekiri kuwa wamekeketwa ila tangu wakiwa wadogo.

Je, ni kweli kuwa ukeketaji uanendelea kimya kimya katika makabila mengi TZ? Je hii ndo sababu ya hawa jamaa kudaiwa kutojua mambo?

Tujadili.

Inawezekana ndiyo maana baadhi yao hawatoi ushirikiano unaoeleweka kunako 6x6 kwa kisingizio kwamba wao wanafikiria pesa zaidi (au wamekaa kibiashara/kiutafutaji zaidi). Hili linawezekana, kwasababu mwanamke ambaye hana harage hata hisia hapati au ukipata ni kwa kiasi kidogo sana. Na wengi wa wanawake waliotairiwa ni kwamba hawana hisia tena za kimapenzi na wanakuwa kama wana t... bo tu.

Yawezekana kwamba kwasasa wameacha, kwani hata makabila mengine mengi tu nayo yameachana na mila nyingi za zamani.
 
wewe uliokula 9 tunajuaje kama ndio wale bila kuzima taa haisimami?kama hujui foreplay utaionaje?chumvini unaenda?
 
Poleni jamani kumbe wanawake wana memorycard ckujua je za GB ngapi? Nami nahitaji
 
Back
Top Bottom