Wachaga wakeketaji mahiri!

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Nimeshangazwa na taarifa kuwa takribani wanawake wote wa kichaga wamekeketwa. Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa watu wanne ambao ni wachaga na wanawake. Wao pia wamekiri kuwa wamekeketwa ila tangu wakiwa wadogo.

Je, ni kweli kuwa ukeketaji uanendelea kimya kimya katika makabila mengi TZ? Je hii ndo sababu ya hawa jamaa kudaiwa kutojua mambo?

Tujadili.
 
Hata mimi nimeshamkwaa mmoja. na pia nimeshasikia kuwa ni wakeketwaji ila sijui ni wa-Cg wa sehemu gani
 
Chaga kabila celebrity bongo,ukitaka thread yako ichangiwe sema,kashfu ,tukana ,zomea wachaga na walivyo wengi humu kazi kweli kweli!
 
Wewe wameshakukeketa?

Mpaka wa leo nimeshalamba wachaga si chini ya 9 na sijakutana hata na mmoja aliyekeketwa. Mimi wasiwasi wangu ni jinsia yako. Iweje ukayajadili haya na wamama wa4 wa kichaga na kuuita huo ni uchunguzi.
 
wewe ndo utakua umekeketwa KOTEKOTE...mm nina mke mchaga ki-bean kipo...of all tribes...ukaangukia uchagani?...umekwisha...subiri mvua iishe!
 
Nimeshangazwa na taarifa kuwa takribani wanawake wote wa kichaga wamekeketwa. Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa watu wanne ambao ni wachaga na wanawake. Wao pia wamekiri kuwa wamekeketwa ila tangu wakiwa wadogo.

Je, ni kweli kuwa ukeketaji uanendelea kimya kimya katika makabila mengi TZ? Je hii ndo sababu ya hawa jamaa kudaiwa kutojua mambo?

Tujadili.

Mama yako labda ndio amekeketwa.
 
Thats true wachaga wengi wamekeketwa ila ni wasiri sana, nakumbuka betty Mkwasa alishawahi fanya utafiti mwanzoni mwa 2 mwaka 2000, na aliwahoji wanaweke wengi wa uchagani walikiri hilo
 
Haya mawe ngoja nifiche uso wangu maana yanavyovurumishwa hakuna wakupona!!wasije kunishukia nasubiri kuchukua majeruhi!!
 
Una kichaa? Au unaripoti toka kuzimu? Hao wanawake ni wa hapa duniani au ni wa huko ulipo kuzimu?

Smile and be happy, kama haikuhusu huna haja ya kuwa na jazba Smile. Wewe lete hoja tu, kukataa au kukubali.
 
Kuna mtu nasubiria post yake then nahama hapa maana ishakuwa vita!
 
Back
Top Bottom